Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

Karne hii unakuwa na mawazo ya kuuana kisa madaraka?? Sio poa ndugu yangu,siasa zinataka akili badala ya mabavu,mbona sasa tunaishi kwa amani na nchi inakwenda,tusiuane kisa madaraka
Kisiasa bado hakuna chama ambacho kinauwezo WA kuitoa CCM madarakani hata wakati wa magufuli.lakini huenda kulikuwa na Jambo lingine kubwa ambalo lilisababisha hao wanaojiita wapinzani kuumia enzi hizo.hawakuwa na uwezo wa kuitoa CCM madarakani.
 
CCM hata ikitawala milele kama inaheshimu demokrasia hakuna shida
 
Na hawa wengine ni waroho wa nini? Just be fair, Tanzania ina marais sita so far. Tumegee kila mtu anasimama wapi kwa mtazamo wako. Just talking about two presidents, for me, it is very biased.
 
Waislam mnajutahidi sana kushambulia viongozi wakiristu ila mnakwama sana

NYERERE hachafuliki
Kuna marais sita..aseme kila rais anasimamia wapi. Maana uongo huwa hauendani na ukweli. Tunajua EPA, Escrow, wizi wa mali ya umma uliokirithiri, Loliondo gate etc.
Zote hizi ni za marais wawili tu?
 
Na hawa wengine ni waroho wa nini? Just be fair, Tanzania ina marais sita so far. Tumegee kila mtu anasimama wapi kwa mtazamo wako. Just talking about two presidents, for me, it is very biased.
Ukiangalia first paragraph utaelewa why JPM na Nyerere,
Mwinyi,Mkapa,Kikwete au Samia hakuna mtu aliyewahi kuwaita wazalendo au kuwafananisha na Nyerere,hata wenyewe walijistukia,Jk alikuwa anaogopa hata kutaja jina la Nyerere aliishia kusema 'yule Mzee '
 
Karne hii unakuwa na mawazo ya kuuana kisa madaraka?? Sio poa ndugu yangu,siasa zinataka akili badala ya mabavu,mbona sasa tunaishi kwa amani na nchi inakwenda,tusiuane kisa madaraka
Na minadhani tatizo sio Magufuli tuache kumsema magufuli.Tatizo ni Katiba na Sheria zetu ambazo zimewapa Marais madaraka makubwa ya kufanya chochote na haziwaadhibu wakifanya makosa eti wamepewa kinga ya kutokushtakiwa.sheria na Katiba zikiwabana mpaka viongozi wetu waliomadarakani viongozi watakuwa na nidhamu.
 
Nyerere hakuwahi kua mroho wa madaraka.
Napinga kabisa kipengele hicho.

Ila kile kipengele Cha huyu wa Jana uko sahihi.
Mambo alivyokua anawafanyiaga wapinzani wake wa ubunge jimboni kwake yanatisha.

Na alivyokua akiwafanyia wapinzani kitaifa baada ya kua Mkuu wa kaya yanatisha zaidi.
 
Good,ndio maana swala la katiba hata mama Samia leo kaliongelea kuwa ni muhimu.
Jpm alisema katiba sio priority kwake!!!
 
Bila kikwete usingepata mkopo ba kupata hiyo kazi yako ya parallegal court clerk
Tanzania hakuna mfumo wa paralegal.

Mikopo iliyotolewa kwa wanafunzi kipindi chake ni sawa na mchanga katika bahari kwa pesa zilizopigwa awamu yake.

Kashfa kubwa kubwa zilikua awamu ya 4.

Epa, escrow,richmond you name it.

Watu wanajibebea masandarusi ya pesa .

Yote hayo kwakua mnanufaika nayo lazima muone ndio maisha.

Acheni fedha za wiiizi.

Hii nchi itarudi tu kwa wenyewe.

Shtukeni mapema tubuni maana ipo siku mtatoa hesabu ya kila senti.
 
EPA ni ilitokea kipindi cha Mkapa find out!!
Hizo kashfa ulizifahamu sababu JK alitaka uzifahamu kwa kuweka mambo hadharani
Angeamua kudhibiti taharifa za huo ufisadi usingeyajua hayo.zingeishia kuwa tetesi tu
 
[emoji23] Hili jukwaa wengi wao inaonekana walikuwa wapigaji mwamba aliwanyoosha.
Yani haipiti siku lazima wamzungumzie.
Hakuna Binadam mkamilifu, pamoja na changamoto zake, mambo aliyoyafanya, yanaonekana.
Watu wamejawa na chuki tu.
Freedom is our natural justice alitunyima hata uhuru wa kuongea yule jamaa,
 
EPA ni ilitokea kipindi cha Mkapa find out!!
Hizo kashfa ulizifahamu sababu JK alitaka uzifahamu kwa kuweka mambo hadharani
Angeamua kudhibiti taharifa za huo ufisadi usingeyajua hayo.zingeishia kuwa tetesi tu
Kijana nakushauri tu ishi a decent life usipende sana maisha ya kutegemea fedha za wizi.

Ipo siku na inakuja utajuta kwanini ulichagua maisha ya aina hiyo lakini that will be too late for you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…