Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

Karne hii unakuwa na mawazo ya kuuana kisa madaraka?? Sio poa ndugu yangu,siasa zinataka akili badala ya mabavu,mbona sasa tunaishi kwa amani na nchi inakwenda,tusiuane kisa madaraka
Kisiasa bado hakuna chama ambacho kinauwezo WA kuitoa CCM madarakani hata wakati wa magufuli.lakini huenda kulikuwa na Jambo lingine kubwa ambalo lilisababisha hao wanaojiita wapinzani kuumia enzi hizo.hawakuwa na uwezo wa kuitoa CCM madarakani.
 
CCM hata ikitawala milele kama inaheshimu demokrasia hakuna shida
 
Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa madaraka, lengo likiwa kutawala nchi mbili. Tukija kwenye ishu ya kupiga marufuku uchifu hakuna kingine zaidi ya uroho wa madaraka, kupiga marufuku vyama vingi pia ni uroho tu wa madaraka, mpaka kijana wake akamuita madaraka.

Kuna mroho wa madaraka mwingine enzi hizo akiitwa Kwame Nkrumah wa Ghana, kwenye kikao cha Pan Africanism miaka ya 60 huko kidogo wazipige kavukavu na Nyerere, Kwame Nkrumah alitaka USA (United States of Africa) fasta fasta na yeye awe Rais wa hiyo State kama olivyo Biden kule USA ya America. Nyerere akawaza akaona atapoteza kiti chake maana hapa anaenda kuwa gavana, hizi nchi zote zingekuwa majimbo tu na marais wake wangekuwa magavana. Nyerere akainuka kitini akasema haiwezekani, hizi nchi zinatakiwa zijimarishe kwanza zitaunda hiyo USA taratibu taratibu, mjadala ilikuwa mkali kikaoni Nkrumah akazidiwa pwenti akataka kurusha ngumi, walinzi wakamdaka. Mwisho wa siku ndoto yake ikafeli akapinduliwa na kufa uhamishoni mwaka 1972.

Nyerere hakuwa mwizi, Nyerere hakuwa fisadi, Nyerere hakuwa na tamaa ya mali, kupenda kwake madaraka ni kwa vile alizaliwa kwenye familia ya kichief. Chief ni mfalme, mfalme hatoki kitini mpaka afe. Nyerere aking'atuka 1985 sio kwa kupenda bali maji yalimfika shingoni, shinikizo la wazungu lilimzidia.

Tuje kwa hayati JPM, huyu ni mroho wa madaraka, alivyokuwa akipata ubunge ni figisu hadaa na umafia wa hali ya juu. Kuzuia mikutano ya wapinzani, kutekana, nk ni uroho wa madaraka. Uroho wa mali nao si haba, akaunti yake kule China ina mabilioni kadhaa, bado kuna mabilioni yapo hapa nchini. Huo ndio utofauti wao na ufanano wao.

Kuna vitoto humu vinashangaa Lema na Lissu kukimbia nchi enzi za JPM. Ulizeni Oscar Kambona, rafiki wa karibu kabisa na Nyerere, alisomeshwa namba akajificha Uingereza miaka kibao.

Tuliosomea China tumeelewa kuwa mama Samia huwa anapita humu na kusema ningemkamata huyu mtoa mada ningemfinya mashavu
Na hawa wengine ni waroho wa nini? Just be fair, Tanzania ina marais sita so far. Tumegee kila mtu anasimama wapi kwa mtazamo wako. Just talking about two presidents, for me, it is very biased.
 
Waislam mnajutahidi sana kushambulia viongozi wakiristu ila mnakwama sana

NYERERE hachafuliki
Kuna marais sita..aseme kila rais anasimamia wapi. Maana uongo huwa hauendani na ukweli. Tunajua EPA, Escrow, wizi wa mali ya umma uliokirithiri, Loliondo gate etc.
Zote hizi ni za marais wawili tu?
 
Na hawa wengine ni waroho wa nini? Just be fair, Tanzania ina marais sita so far. Tumegee kila mtu anasimama wapi kwa mtazamo wako. Just talking about two presidents, for me, it is very biased.
Ukiangalia first paragraph utaelewa why JPM na Nyerere,
Mwinyi,Mkapa,Kikwete au Samia hakuna mtu aliyewahi kuwaita wazalendo au kuwafananisha na Nyerere,hata wenyewe walijistukia,Jk alikuwa anaogopa hata kutaja jina la Nyerere aliishia kusema 'yule Mzee '
 
Karne hii unakuwa na mawazo ya kuuana kisa madaraka?? Sio poa ndugu yangu,siasa zinataka akili badala ya mabavu,mbona sasa tunaishi kwa amani na nchi inakwenda,tusiuane kisa madaraka
Na minadhani tatizo sio Magufuli tuache kumsema magufuli.Tatizo ni Katiba na Sheria zetu ambazo zimewapa Marais madaraka makubwa ya kufanya chochote na haziwaadhibu wakifanya makosa eti wamepewa kinga ya kutokushtakiwa.sheria na Katiba zikiwabana mpaka viongozi wetu waliomadarakani viongozi watakuwa na nidhamu.
 
Nyerere hakuwahi kua mroho wa madaraka.
Napinga kabisa kipengele hicho.

Ila kile kipengele Cha huyu wa Jana uko sahihi.
Mambo alivyokua anawafanyiaga wapinzani wake wa ubunge jimboni kwake yanatisha.

Na alivyokua akiwafanyia wapinzani kitaifa baada ya kua Mkuu wa kaya yanatisha zaidi.
 
Na minadhani tatizo sio Magufuli tuache kumsema magufuli.Tatizo ni Katiba na Sheria zetu ambazo zimewapa Marais madaraka makubwa ya kufanya chochote na haziwaadhibu wakifanya makosa eti wamepewa kinga ya kutokushtakiwa.sheria na Katiba zikiwabana mpaka viongozi wetu waliomadarakani viongozi watakuwa na nidhamu.
Good,ndio maana swala la katiba hata mama Samia leo kaliongelea kuwa ni muhimu.
Jpm alisema katiba sio priority kwake!!!
 
Bila kikwete usingepata mkopo ba kupata hiyo kazi yako ya parallegal court clerk
Tanzania hakuna mfumo wa paralegal.

Mikopo iliyotolewa kwa wanafunzi kipindi chake ni sawa na mchanga katika bahari kwa pesa zilizopigwa awamu yake.

Kashfa kubwa kubwa zilikua awamu ya 4.

Epa, escrow,richmond you name it.

Watu wanajibebea masandarusi ya pesa .

Yote hayo kwakua mnanufaika nayo lazima muone ndio maisha.

Acheni fedha za wiiizi.

Hii nchi itarudi tu kwa wenyewe.

Shtukeni mapema tubuni maana ipo siku mtatoa hesabu ya kila senti.
 
EPA ni ilitokea kipindi cha Mkapa find out!!
Hizo kashfa ulizifahamu sababu JK alitaka uzifahamu kwa kuweka mambo hadharani
Angeamua kudhibiti taharifa za huo ufisadi usingeyajua hayo.zingeishia kuwa tetesi tu
 
[emoji23] Hili jukwaa wengi wao inaonekana walikuwa wapigaji mwamba aliwanyoosha.
Yani haipiti siku lazima wamzungumzie.
Hakuna Binadam mkamilifu, pamoja na changamoto zake, mambo aliyoyafanya, yanaonekana.
Watu wamejawa na chuki tu.
Freedom is our natural justice alitunyima hata uhuru wa kuongea yule jamaa,
 
EPA ni ilitokea kipindi cha Mkapa find out!!
Hizo kashfa ulizifahamu sababu JK alitaka uzifahamu kwa kuweka mambo hadharani
Angeamua kudhibiti taharifa za huo ufisadi usingeyajua hayo.zingeishia kuwa tetesi tu
Kijana nakushauri tu ishi a decent life usipende sana maisha ya kutegemea fedha za wizi.

Ipo siku na inakuja utajuta kwanini ulichagua maisha ya aina hiyo lakini that will be too late for you.
 
Back
Top Bottom