Mwalimu Nyerere anatupa taabu sana kuirudisha Tanganyika yetu

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano.

Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha muungano wetu. Hata waliopo kwenye madaraka tukiwahoji hawana cha maana cha kujibu zaidi wanatupia mpira Nyerere.

Kuna mambo mengi aliyoanzisha Nyerere na chama chake yanatupa taabu sana kunyoosha nchi.
 
Mchawi ni ccm,anataka kula huku na huku.
 
Wazanzibar waliwezaje kutoa mguu mmoja kwenye huu muungano wa kipumbavu,au toka mwanzo ilikuwa hiv hiv

Jamaa wako serious mpaka walimuua mwasisi wa huu ujinga,sie watanganyika tulikuwa tumelala tu
 
Watanganyika Tuache kulalamika.
Tumeikalia Zanzibar kimabavu for 60+ Years hakuna la maana limefanyika sio zanzibar sio Tanganyika.

Kuulalamikia muungano kama ndo tatizo ni kukwepa hoja za Msingi, Hatuna uongozi makini wa kushughurikia matatizo yetu
 
Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano.

Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha muungano wetu. Hata waliopo kwenye madaraka tukiwahoji hawana cha maana cha kujibu zaidi wanatupia mpira Nyerere.

Kuna mambo mengi aliyoanzisha Nyerere na chama chake yanatupa taabu sana kunyoosha nchi.
huyo mshenzi ndo chanzo cha kubambikiza kesi pamoja na udikteta.hapa nchini! Imagine alimfunga BIBI TITI kwa kesi ya uongo kabisa! aliwasaliti wenzake ambao walishirikiana nae kupigania uhuru! HAFAI KUITWA BABA WA TAIFA!
 
Bro Tanganyika will stand one day amini nakwambia sioni kizazi kinacho kiki support hili time will tell Tanganyika ita Rudi TU piga ua garagaza one day yes
 
Na ni kizazi hiki hiki tutashuhudia hayo. Siku CCM imedondoka tu, Muungano unadondoka pia.

CCM ni ushenzi mtupu ndani ya hii nchi
 
Back
Top Bottom