Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mchawi ni ccm,anataka kula huku na huku.Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano.
Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha muungano wetu. Hata waliopo kwenye madaraka tukiwahoji hawana cha maana cha kujibu zaidi wanatupia mpira Nyerere.
Kuna mambo mengi aliyoanzisha Nyerere na chama chake yanatupa taabu sana kunyoosha nchi.
Katiba, chama , kukiunganisha chama na Taasisi za kiserikali haswa majeshi etcSio Muungano tu, karata mbovu na janga ZITO ALILOTUACHIA NI HII KATIBA YA KIPUUZI.
huyo mshenzi ndo chanzo cha kubambikiza kesi pamoja na udikteta.hapa nchini! Imagine alimfunga BIBI TITI kwa kesi ya uongo kabisa! aliwasaliti wenzake ambao walishirikiana nae kupigania uhuru! HAFAI KUITWA BABA WA TAIFA!Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano.
Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha muungano wetu. Hata waliopo kwenye madaraka tukiwahoji hawana cha maana cha kujibu zaidi wanatupia mpira Nyerere.
Kuna mambo mengi aliyoanzisha Nyerere na chama chake yanatupa taabu sana kunyoosha nchi.
Hadi sasa jamaa wapo serious sana, muungano hawautaki kabisa.Wazanzibar waliwezaje kutoa mguu mmoja kwenye huu muungano wa kipumbavu,au toka mwanzo ilikuwa hiv hiv
Jamaa wako serious mpaka walimuua mwasisi wa huu ujinga,sie watanganyika tulikuwa tumelala tu
Na ni kizazi hiki hiki tutashuhudia hayo. Siku CCM imedondoka tu, Muungano unadondoka pia.Bro Tanganyika will stand one day amini nakwambia sioni kizazi kinacho kiki support hili time will tell Tanganyika ita Rudi TU piga ua garagaza one day yes