Mwalimu alikuwa na kinga ya kutoshitakiwa , jee Polepole anayo kinga hiyo?Punguza mihemko umekurupuka.If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo
#KAZI IENDELEE
Kwani yeye nani!!! Haya mambo ndio maana wanatusumbua hawa viongozi tukiwa kura zetu….We chawa kiazi unajua maana ya Baba wa Taifa?
NO REFORMS, NO ELECTION.If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo
#KAZI IENDELEE
Fikra zake zinatupa tabu mpaka sasaTuache kuishi kwa kukariri.... Nyerere siyo Mungu..
Kwa umuhimu upi ulionao Hadi uanze kupangia watu waseme nini waache nini? Wewe Nani kakupangia kuandia huu uharo?If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo
#KAZI IENDELEE
And if your boss is bold enough afanye reform aone.If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo
#KAZI IENDELEE
Unataka kumlinganisha Gwajima na Nyerere?If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo
#KAZI IENDELEE
Aliikosoa CCM kwa uwazi na bila kujificha.Aliwakosoa wakolon wa kiingereza akiwa mapangoni mara nyingi sana na aliwahi tafutwa sana ulizia pugu alienda kufanya nini?
Na huyo mpuuzi polepole,amesahaunalivyokuwa anacheza muziki ikuluIf you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo
#KAZI IENDELEE