Hivi Nyerere ata akiwa anaongea waziwazi ungeenda kumteka? Au unaweza kwenda nyumbani kwake kuchukua hata sisimizi?. Kama mlivyoenda kwa polepole?.If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo
#KAZI IENDELEE