Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM akiwa mafichoni tusipende kujikweza

If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo

#KAZI IENDELEE
And you, if you are bold enough and you think you have mass support, acheni kuwateka nduguze. You also don't have what you demand from him. Ndo maana mnateka,ua, poteza, kufungua kesi za mchongo na kuwaweka ndani wenye kuwapa challenges za ki fikra.
 
Kwa umuhimu upi ulionao Hadi uanze kupangia watu waseme nini waache nini? Wewe Nani kakupangia kuandia huu uharo?
hupangiwi cha kusema ili usilete maigizo ili kujitengenezea relevance usiyokuwa nayo.
 
And you, if you are bold enough and you think you have mass support, acheni kuwateka nduguze. You also don't have what you demand from him. Ndo maana mnateka,ua, poteza, kufungua kesi za mchongo na kuwaweka ndani wenye kuwapa challenges za ki fikra.
Hii sio mada ya kutekana usitafute sympathy ya uongo na kweli hapa
 
Sasa kama dadake anavamiwa wazi na wasiojulikana, yeye akijitokeza si mtamnywa supu kabisa?. Kutojitokeza kwake kunahusiana kabisa na tabia ya utekaji anaozidi kushamiri.
 
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo

#KAZI IENDELEE
hakuna mwanadamu aliyekamilika akili anayeweza kuongea hiki ulichoongea kwa mazingira halisi ya Tanzania sasaivi ndugu yangu, kwa sababu unajua kabisa kwamba akijitokeza, mnamuua kama mlivyozoea. hii nchi ni ya kwetu sote, sio kampuni ya familia zenu, pia mwogopeni Mungu, hata hiyo pumzi mnayotumia na manguvu mnayotumia kukandamiza, ni yeye amevishikilia.
 
Hivi kule Ubalozini Cuba ...kama kweli Serikali ingekuwa na fikra hiyo ingeshindwa kumfikia?
Yaani kwa akili yako unaamini kabisa Kuwa Hawezi kufikiwa kama akitakiwa kukamatwa??

HOJA YA MSINGI
Kama angekuwa mzalendo,mwenye nia njema na mwenye msimamo huo anaotaka kutuaminisha angetoka hadharani na kuyasema bila shaka yoyote.
Kinachomuogopesha ni kipi kama ayasemayo ni kweli,haki na huru?
 
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo

#KAZI IENDELEE
Hao ni nguchiro tu na mengi wanaoyaongea hawana uhakika nayo
 
Sasa kama dadake anavamiwa wazi na wasiojulikana, yeye akijitokeza si mtamnywa supu kabisa?. Kutojitokeza kwake kunahusiana kabisa na tabia ya utekaji anaozidi kushamiri.
Unao uthibitisho wa dada yake kuvamiwa?Nani aliyemvamia na kwa lengo lipi?
 
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo

#KAZI IENDELEE
Baada ya kumkosa mkambeba dada mtu kwa hasira..kenge nyie
 
NRNE means hamtashiriki uchaguzi kwa sababu hakuna reforms mnzotaka, bora muachane na huo uchaguzi "fake", hopefully 2030 reforms zitakuwa tayari ili CDM washiriki
Halafu kodi zetu zitumike kufanya maigizo ya uchaguzi,wakati uchaguzi siyo wa ushindani?
Si bora hizo hela waajiri watu.
 
Baada ya kumkosa mkambeba dada mtu kwa hasira..kenge nyie
Nyie ndio mlipanga kumteka muisingizie serikali...drama kama za kina nani sijui wa kule kenya
 
Back
Top Bottom