Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM akiwa mafichoni tusipende kujikweza

Muda ni mwalimu mzuri
Hivi unaju kuwa vyama vya siasa vina asisiwa na vinamilikiwa na CCM covertly??, anaye misbehave anakuwa deleted for good (CDM), and there is nothing u can do.
Kuiangusha CCM ni lazima vyama viungane, na wakijenge chama kimoja kikubwa cha upinzani angalao kwa miaka angalao 5, lkn haiwezekani kwa sababu wote ni haohao, same family :CaptFailFish:
 
Hivi unaju kuwa vyama vya siasa viasisiwa na vinamilikiwa na CCM??, anaye misbehave anakuwa deleted for good (CDM), and there is nothing u can do.
Kuiangusha CCM ni lazima vyama viungane, na wakijenge chama kikubwa cha upinzani angalao kwa miaka angalao 5, lkn haiwezekani kwa sababu wote ni haohao, same family
Jibu moja kete namba 4 na namba 6 zitaliwa tu
 
Kwani yeye hayupo kwenye kikundi?
Wewe unapiga maneno ya bure tu hapa, wakati huko vikao vyenu vimeahirishwa leo vya tarehe 18 na 19 nenda kachangie uzi kama huna habari
 
Jibu moja kete namba 4 na namba 6 zitaliwa tu
U tell me HOW???, NRNE imekufa ingawa die hard folks bado wanaamini masia wao TAL atawafikisha nchi ya ahadi, mnaudumaza ubongo wenu bila sababu ya msingi
Wenye amani ya afya ya akili tunakuwa ni non-partisan, we are just enjoying the CIRCUS:DoctorPls:
 
Dawa ni kuundwa Mahakama ya kuwashughulikia WAHUNI iwe sawa na Mahakama ya MAFISADI
 
Muda ni mwalimu mzuri
kwani hakuna time frame ya ku-unseat CCM??, i.e ni kama wakristo wanavyomsubiri YESU/ISSA kuja kuwachukua, wachungaji wanasema "iko siku/time will tell" the saviour will come😀
 
Hawa chawa wa Bongo uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. Ni hasara na aibu kwa taifa kuwa na viumbe wa namna hii nchini kwetu
 
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo.

N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika viunga vya Ukumbi wa CCM Dodoma.

#KAZI IENDELEE
Mwaka huu amedhamiria kwa dhati kuwatoa wahuni wote mapangoni acheni kuruka ruka,hamjui kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake.Tulieni sindano iingie.Hiyo ni ya Mr.Slow bado ya NRNE
 
Wewe unapiga maneno ya bure tu hapa, wakati huko vikao vyenu vimeahirishwa leo vya tarehe 18 na 19 nenda kachangie uzi kama huna habari
Kwani ni mara ya kwanza kuahirisha, wanaopanga si ni wao weyewe?
 
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo.

N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika viunga vya Ukumbi wa CCM Dodoma.

#KAZI IENDELEE
Je,Mkapa au Mwinyi wangeweza kumteka Nyerere au dada yake?
 
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo.

N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika viunga vya Ukumbi wa CCM Dodoma.

#KAZI IENDELEE
Akili ipo ama umeuza
Hapo unamzungumzia nyerere wa miaka hiyo,na wengine wa miaka hii,sio lazima wewe ufanane na mwingine,kila mtu na awe yeye
 
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo.

N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika viunga vya Ukumbi wa CCM Dodoma.

#KAZI IENDELEE

Kuna mtu angeweza kumpiteza Mwl. Nyerere? Yupo asiyejulikana wa kumteka au kumdhuru Baba wa taifa?
 
Hawa chawa wa Bongo uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. Ni hasara na aibu kwa taifa kuwa na viumbe wa namna hii nchini kwetu
Unaweza fikiria kuwa wewe uko smart, kumbe ni kwa sababu ya changaoto zako za maisha binafsi, unafikiria kuna chama cha siasa kitakukwamua
 
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo.

N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika viunga vya Ukumbi wa CCM Dodoma.

#KAZI IENDELEE
Na kama Yuko sahihi mhuni Slowslow na Gwajiboy Kwa nini wanajificha?
 
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo.

N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika viunga vya Ukumbi wa CCM Dodoma.

#KAZI IENDELEE
Pengine wewe ulikuwa hujazaliwa.
Wakati wa Mwalimu hapakuwahi kuwepo wasiojulikana.
 
Back
Top Bottom