If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo.
N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika viunga vya Ukumbi wa CCM Dodoma.
#KAZI IENDELEE
Na huyo mpuuzi polepole,amesahaunalivyokuwa anacheza muziki ikulu
hata hawakujua atafanya alichofanya, ubalozi wake sio cuba tu, ni carrebean yote, hata sijui kama unajua hata maana ya carrebean manake sijajua akili yako kama ina uelewa. hivyo yupo huru kutembelea nchi yeyote za carrebean, na zingine hata marekani anaweza kwa diplomatic passport. na kwa minajili hiyo, bila shaka marekani na ulaya wapo nyuma yake na lazima walipanga kabla na kumpa passage. yote haya wewe na washauri wa serikali yako huwa hamfikirii kwa upeo huu na mnaamini polepole yupo peke yake na kwamba walio nyuma yake ni hawa waliopo bongo tu. kalagabaho.Hivi kule Ubalozini Cuba ...kama kweli Serikali ingekuwa na fikra hiyo ingeshindwa kumfikia?
Yaani kwa akili yako unaamini kabisa Kuwa Hawezi kufikiwa kama akitakiwa kukamatwa??
HOJA YA MSINGI
Kama angekuwa mzalendo,mwenye nia njema na mwenye msimamo huo anaotaka kutuaminisha angetoka hadharani na kuyasema bila shaka yoyote.
Kinachomuogopesha ni kipi kama ayasemayo ni kweli,haki na huru?
Sawa nimekuelewa ndugu serikali yetu tukufu iliyotumwa na kuchaguliwa na Mungu aihusiki kabisa sasa iwakamate wahusika hao wahuni iwashitaki na wahukumiwe maana polisi wetu ni mahiri kufanya uchunguzi waneshindwa nini kuchunguza na kuwakamata watekaji? Au watekaji wanaizidi nguvu na maarifa serikali yetu tukufu ya mpendwa wetu mama chaguo la Mungu? Je kama watekaji wana nguvu kiasi hicho hii nchi bado iko salama kama ambavyo mpendwa mama na wapambe wake wanatuaminisha?Prof. MPOKI ni mteule wa mfumo na ndiye aliye mwokoa LissuView attachment 3411223kama angekuwa na nia mbaya alikuwa na uwezo wa kumopteza LISSU Boy kabla hajapelekwa nje kwa matibabu ya ziada, pls watch this video below
View: https://youtu.be/CMIjEhyjY4E?si=FyuEew6rRteQTh7r
maji yepi,maji amwage huyo mpuuziInawezekana anaonekana mpuuzi. Ila maji yakishamwagika.....
kabla hujapewa kazi au mission watu hufikiria mara 500 mbele.kwa hiyo msimdanganyehata hawakujua atafanya alichofanya, ubalozi wake sio cuba tu, ni carrebean yote, hata sijui kama unajua hata maana ya carrebean manake sijajua akili yako kama ina uelewa. hivyo yupo huru kutembelea nchi yeyote za carrebean, na zingine hata marekani anaweza kwa diplomatic passport. na kwa minajili hiyo, bila shaka marekani na ulaya wapo nyuma yake na lazima walipanga kabla na kumpa passage. yote haya wewe na washauri wa serikali yako huwa hamfikirii kwa upeo huu na mnaamini polepole yupo peke yake na kwamba walio nyuma yake ni hawa waliopo bongo tu. kalagabaho.
nina uhakika wewe ulikuwa hujui mke wa polepole ni mzungu. labda kama waliachana.kabla hujapewa kazi au mission watu hufikiria mara 500 mbele.kwa hiyo msimdanganye
We hujui sheria kabisa, LISSU anawafahamu waliompiga risasi akiwafungulia kesi, mahakama itatenda haki, ila anawaaminisha CCM ndyo wanempiga rusasi, serikali wakitaka kuku delete wanafanya smoothly, katika maisha yako ogopa vitu viwili MUNGU na SERIKALISawa nimekuelewa ndugu serikali yetu tukufu iliyotumwa na kuchaguliwa na Mungu aihusiki kabisa sasa iwakamate wahusika hao wahuni iwashitaki na wahukumiwe maana polisi wetu ni mahiri kufanya uchunguzi waneshindwa nini kuchunguza na kuwakamata watekaji? Au watekaji wanaizidi nguvu na maarifa serikali yetu tukufu ya mpendwa wetu mama chaguo la Mungu? Je kama watekaji wana nguvu kiasi hicho hii nchi bado iko salama kama ambavyo mpendwa mama na wapambe wake wanatuaminisha?
maji yepi,maji amwage huyo mpuuzi
Naona unaanza ujinga sasa na sijui kwa nini kila anayeitetea serikali hii lazima awe mjinga! Nakosa ya jinai nani hushitaki ni mtu binafsi au jamuhuri? Inayoshitaki ni jamuhuri kwa sababu ndio ina vombo vya uchunguzi na ina mamlaka ya kukamata na kuhoji. Sasa Lissu anawajua aliwaona wapi yeye ana vyombo vya uchunguzi? Je ana mamlaka ya kuwakamata na kuwahoji ili wawataje na wahusika wengine? Na ukiachana na hili la Lissu watu 93 wametekwa kuanzia 2021 mpaka 2025 serikali imemkamata nani ikamuhoji na kumfikisha mahakamani?We hujui sheria kabisa, LISSU anawafahamu waliompiga risasi akiwafungulia kesi, mahakama itatenda haki, ila anawaaminisha CCM ndyo wanempiga rusasi, serikali wakitaka kuku delete wanafanya smoothly, katika maisha yako ogopa vitu viwili MUNGU na SERIKALI
Wewe ndyo JINGA/IMBECILE, vitu minor unaandika essay na mapovu mengi, mi sina chama, ila naongea facts, inje ya siasa LISSU ni criminal guy, ikampelekea kutokea yaliyotokeaNaona unaanza ujinga sasa na sijui kwa nini kila anayeitetea serikali hii lazima awe mjinga! Nakosa ya jinai nani hushitaki ni mtu binafsi au jamuhuri? Inayoshitaki ni jamuhuri kwa sababu ndio ina vombo vya uchunguzi na ina mamlaka ya kukamata na kuhoji. Sasa Lissu anawajua aliwaona wapi yeye ana vyombo vya uchunguzi? Je ana mamlaka ya kuwakamata na kuwahoji ili wawataje na wahusika wengine? Na ukiachana na hili la Lissu watu 93 wametekwa kuanzia 2021 mpaka 2025 serikali imemkamata nani ikamuhoji na kumfikisha mahakamani?
Umeandika nini hapo? Aliyesema una chama ni nani mbona unakimbilia kujilinda? Sina chama ni silaha ya machawa tena machaw wapumbavu wenye uvundo kwenye vichwa vyao. Sawa Lissu ni criminal aliwahi kushitakiwa ukiondoa kesi ya uhaini ya mchongo? Au serikali hii ambayo wewe ni lichawa lake inalinda wahalifu?Wewe ndyo JINGA/IMBECILE, vitu minor unaandika essay na mapovu mengi, mi sina chama, ila naongea facts, inje ya siasa LISSU ni criminal guy, ikampelekea kutokea yaliyotokea
Kwa ulivyoona, ana sababu ya kujificha? Kuna kibaya gani ameongea?If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi.
Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli.
Tupunguze maigizo.
N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika viunga vya Ukumbi wa CCM Dodoma.
#KAZI IENDELEE
Alivishwa baibui nasikia sijui kweliAliwakosoa wakolon wa kiingereza akiwa mapangoni mara nyingi sana na aliwahi tafutwa sana ulizia pugu alienda kufanya nini?
Ilikuwaje kwa Kambona na yule tumbo hadi wakaingia mitini achana na maneno ya wanasiasa. This country bwana is very poor
Najitosheleza 💯 %, sihitaji kuwa chawa, niko huru sanaUmeandika nini hapo? Aliyesema una chama ni nani mbona unakimbilia kujilinda? Sina chama ni silaha ya machawa tena machaw wapumbavu wenye uvundo kwenye vichwa vyao. Sawa Lissu ni criminal aliwahi kushitakiwa ukiondoa kesi ya uhaini ya mchongo? Au serikali hii ambayo wewe ni lichawa lake inalinda wahalifu?