Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Hoja yako iko poa ila hujagusia swali la mtoa hoja. Kuna ukweli kwenye hilo?Kama yy aliona katiba inampa rais kua mungu mtu na yy ndie aliekua raise mbona akubadili katiba ili kumuondolea kazi kubwa rais ? Asitueke watanzania kama wapofu wa macho
Yy ndio aliusika na katiba mbovu tulionae
Haka kazee kalikuwa kanaona mbali au kalikuwa na mzizi Aliona kuwa yupo rais asiye na busara anakuja, na ameshawasili tayari.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Acha wivuHuyo dingi nae alikua mnafiki tu kama wanafiki wengine wa Chama chake... Na kwa nini anaonekana hero kiasi hicho!?!?
Mkuu BAK toka awali tulisema humu Jukwaan kuwa Joka Pumbru Magoli hafai kuwa Rais tulipuuzwa sana! sasa wakati unaongea! na bado!"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu" - Mwl. Nyerere 1982!
Tunakukumbuka mwalimu kokote iliko roho yako"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu" - Mwl. Nyerere 1982!