Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

"Watu wengi hawaifahamu power aliyonayo Rais, especially wa kwetu huku". Hatari zaidi ni pale ambapo Rais mwenyewe anaposhindwa kujua the ripple effects za kauli zake.

Rais anachosema bahati mbaya sana kinachukuliwa kuwa amri, hata akiongea kwa utani au akiwa amelewa.
 
Kama yy aliona katiba inampa rais kua mungu mtu na yy ndie aliekua raise mbona akubadili katiba ili kumuondolea kazi kubwa rais ? Asitueke watanzania kama wapofu wa macho
Yy ndio aliusika na katiba mbovu tulionae
Hoja yako iko poa ila hujagusia swali la mtoa hoja. Kuna ukweli kwenye hilo?
 
Mie naomba niongeze kwa upande wa burudani...🙂
Kitimoto hachomwi mshikaki......😉
Pia haliwi kwa chipsi....🙄
Lakini hunoga kwa ugali,ndizi na tu mchicha.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Haka kazee kalikuwa kanaona mbali au kalikuwa na mzizi Aliona kuwa yupo rais asiye na busara anakuja, na ameshawasili tayari.
 
Kwa bahati mbaya Yeye na Sisi hatukuchukua hatua yo yote. Leo hii Yeye hayupo, sisi tupo, hatuna la kufanya kwani tulitakiwa tupate ufumbuzi wakati ule ule alipotumbia. Yetu macho tu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu" - Mwl. Nyerere 1982!
Tunakukumbuka mwalimu kokote iliko roho yako
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom