Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 1,196
- 1,456
Hivi wewe hujui waliopinga katiba ya Warioba? Uko nao hukohuko kwa chadema ambao ni Sumaye, Kingunge na Lowassa!Huwa nawalaani sana wabunge wengi wa ccm maana bila ujinga wao tungekuwa na katiba inayo enda na wakati tulionao na amabayo ingelijengea heshima taifa na maendeleo kwa ujumla ,lakin kwa kwa ujinga wao wa mshikamano wakaendelea kulipoteza taifa gizani kabisa
Kwa kweli apumzike kwa amani....kweli kabisa ... nyerere kama vile alikuwa nabii pumzikabkwa aman Mzee wetu
Duuuhh umenikumbusha mbali sana .hakika Nyerere ni baba Wa taifa .basi sisemi tena [emoji87] [emoji87]Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Pamoja nakutambua kuwa katiba ni mbovuKatiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
majuzi tulimsikia Ridhiwani mtoto WA rais aliyepita Mh. Jakaya Kikwete akisema kwamba kuna kipindi alimuuliza baba yake kuhusu ukimya wake anapotukanwa kwenye mitandao. Rais alimjibu na kusema yeye ni rais ana mamlaka makubwa sana hivyo hawezi kutamka ovyo kwa wanaomsema ovyo. Mamlaka ya rais wa Tanzania yanahitaji rais mwenye Busara sana hata kama hana akili Sana. Busara kwanza.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
ndiyo nakubaliana na kauli hiyo, refference rais Magufuli.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Marekani ilipata Uhuru mwaka gani?wakati inapata Uhuru illiteracyKatiba ya USA iliandikwa mwaka 1787 na inatumika mpaka leo. Mwl Nyerere na uwanafalsafa wake wote alichokishindwa ni kutuachia katiba itakayokidhi matakwa ya wananchi kwa miaka mingi. Ila kutuambia eti akija mtu mwenye nia tofauti katiba haifai ni udhaifu mkubwa. But kila kitu alichofanya nyerere kinaonekani ni chakishujaa
Mbeba maono. ..!
Sasa kama alilijua hilo yeye Nyerere alifanya nini kuondoa hilo tatizo?.
By the Way katiba hii hii si iliandikwa kipindi cha utawala wake?
kama jk alilijua hilo kwanini hakurekebisha sheria hizo???????...........badala yake akasaini sharia tena kwa dharura!!!!...........sheria hizo zinazo mwongezea rais madaraka ya ki-mungu.majuzi tulimsikia Ridhiwani mtoto WA rais aliyepita Mh. Jakaya Kikwete akisema kwamba kuna kipindi alimuuliza baba yake kuhusu ukimya wake anapotukanwa kwenye mitandao. Rais alimjibu na kusema yeye ni rais ana mamlaka makubwa sana hivyo hawezi kutamka ovyo kwa wanaomsema ovyo. Mamlaka ya rais wa Tanzania yanahitaji rais mwenye Busara sana hata kama hana akili Sana. Busara kwanza.
J
Namlaumu sana na hata simwombei, alijua shida itatupata na akakaa kimya.
Pale unapojua tatizo halafu usifanye chochote unakuwa wewe ndio mwenye kubeba lawama wala sio huyo aliokosa Busara
polygon shapeNatafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?
Tatizo sio mtu, tatizo ni mfumo.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Uko sawa, tufanyeje sasa? Alosababisha alishatangulia mbele ya haki.Mwl.nyerere naye katika hili aliteleza sana lijua kabisa katiba yetu ni mbovu na kwa kipindi kile alikuwa na power ya kusikilizwa chochote angetaka kiwe kwenye katiba kingekuwa hivyo hadi leo.alafu anakuja kutoa kauli kama hiyo huu ni ujinga.
mateso yote tunayoyapata yanayotokana na katiba nyerere ndio alisababisha