Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitoa maoni katiba ya walioba,wafia tumbo wakaamua kuiharibuUdhaifu wake umekwisha ubaini,wewe binafsi umechukua hatua gani?
Jamani wewe hujiongezi hata nukta?? Kumbuka tulikotoka na mazingira yalivyokuwepo! Bila kuweka katiba vile hali ingekuwaje? Wasomi wachache wajinga wengi sana......tumetoka kutawaliwa ilikuwa lazima awe vile anyooshe misingi kwanza then baada Kujitambua kama Taifa la watu wanaojielewa na waliosoma then tuweke misingi mizuri ya katiba kwa maslahi ya Taifa sasa!! Soma historia vizuri then linganisha na hali ya wakati uleSasa kwanini Kipindi Anaindaa Hakuiandaa inavotakiw?
Duh! Hii nchi hata ukiwa dikteta huwezi kuthubutu kuiongoza zaidi ya miaka kumi. Yaani mlianza na killaza, mkaja juma pombe maharage, mkahamia diabomba sasa hivi mko faru jon!! Ndio maana JK alipoulizwa ikiwa atapenda kuendelea baada ya miaka 10 akasema hataki kuongeza hata sekunde ya urais wake. Mambo gani haya sasa!!!!Completely
Kama huyu faru john
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Sasa mbona alishindwa kuwaletea Watanzania katiba mpya na kinyume chake akawaachia hili shimo la jehanamu? siungi mkono kauli yake maana alijua lakini alishindwa kufanya kile kilichokuwa kinatakiwa.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Nyerere ndio alivuruga katiba mara baada ya kupata uhuru,akavunja mfumo wa demokrasia ya vyama vingi.akaharibu elimu,akafundisha na kupandikiza propaganda,akageuza nchi sera za majaribio bila wananchi kuhoji,tulimwona kama Mungu Mtu,jina maarufu MUSA akisema hageuki nyuma kuwa jiwe.Sio kweli eti alingatuka kwa hiari yake mwenyewe,ni Makali ya IMF ya kufutiwa misaada hadi nchi ikageuka marapurapu na huku wakitaka kumpindua mara nyingi tu.Sasa kama alilijua hilo yeye Nyerere alifanya nini kuondoa hilo tatizo?.
By the Way katiba hii hii si iliandikwa kipindi cha utawala wake?
Mungu mbariki Nyerere .Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Braza Embu nifungue kitu kuhusu IMFNyerere ndio alivuruga katiba mara baada ya kupata uhuru,akavunja mfumo wa demokrasia ya vyama vingi.akaharibu elimu,akafundisha na kupandikiza propaganda,akageuza nchi sera za majaribio bila wananchi kuhoji,tulimwona kama Mungu Mtu,jina maarufu MUSA akisema hageuki nyuma kuwa jiwe.Sio kweli eti alingatuka kwa hiari yake mwenyewe,ni Makali ya IMF ya kufutiwa misaada hadi nchi ikageuka marapurapu na huku wakitaka kumpindua mara nyingi tu.
100000000000000000%Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?
Mkuu punguza mahaba unabii gani wakati yeye na wenzie kumi na nane ndio waliotutungia hiyo katiba mbovu na yeye aliitunga makusudi ili imsaidie ili afanye analotakakweli kabisa ... nyerere kama vile alikuwa nabii pumzikabkwa aman Mzee wetu
wewe umeifanyia nini nchi hiii? Nyerere alikuwa binadamu km wewe, alikuwa na mapungufu yake km binadamu mwingine yeyote, ni mengi mno mazuri na makubwa aliifanyia nchi hii, ni vema ukayachukua mema yake na mabaya yake ukaweka kando hiyo itakusaidia sana, au km unachuki binafsi tuJ
Namlaumu sana na hata simwombei, alijua shida itatupata na akakaa kimya.
Pale unapojua tatizo halafu usifanye chochote unakuwa wewe ndio mwenye kubeba lawama wala sio huyo aliokosa Busara
Mkuu punguza mahaba unabii gani wakati yeye na wenzie kumi na nane ndio waliotutungia hiyo katiba mbovu na yeye aliitunga makusudi ili imsaidie ili afanye analotaka
Matatizo yote haya tunayopata yanayousiana na katiba mtu wa kwanza anaetakiwa kunyooshewa kidole ni Nyerere
Ile ni polygon mkuu....na tunaweza kukokotoa eneo na mzingo wake vilevile yani (area and circumference)Natafuta mtaalam wa hisabati aniambie kike kichwa anachokichoraga Masoud Kipanya ni umbo gani?