Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

Braza Embu nifungue kitu kuhusu IMF
Mkuu historia ya IMF na Nyerere ni ndefu sana,Baada ya vita vya Kagera,alitaka msaada kwao nao wakampa za usoni,akabakia maskini jeuri,akatofautiana ushauri aliopewa na Waziri wa fedha Mr Mtei gwiji la maswala ya fedha na uchumi former BOT governor,Sio hilo tu alitofautiana na marehemu Professor Rweyemamu aliekuwa mshauri wa Rais Nyerere wa Uchumi.Hao jamaa walijiuzuru na Rais Kambarage akaanza kupuyanga na washauri 'ndio bwana',akaitumbukiza nchi yetu katika lindi la ufukara na urofa.
Tulipanga foleni ya kila kitu isipokuwa majani ya chai.Walimwaga askari na mgambo nchi nzima kupekua kama umebeba kiroba cha mahindi.
Lakini IMF alizidi kumbana na kumkaba kama mpira wa kona akasalimu amri bila maadalizi ya kubadilisha mfumo wa uchumi,akangatuka kuliko "fedheha"
Hapana chezea IMF enzi za Rais Reagan wa USA
 
Hakuna rais nayemlaani kama Nyerere,

①.aliwafukuza wakoloni kabla hawajafanya maendeleo yoyote ukilinganisha na nchi zilizo cherewa kupata Uhuru
②.alishindwa kuona miaka 100 za Uhuru wa Tanganyika itakuweje
③.alijijengea sifa kwamba kwa kila akiongeacho ni chema, hamjui kama yale maneno yaliwafaa watu wa wakati ule?
④.aliahindwa kuimalisha mising ya elimu na afya ambayo ingejengeka hata kesho
⑤. Alipo ilaani Israel, hapa ndo aliwalaani watanzania sasa, maana maneno matakatifu hayatanguki, imeandikwa ,: AILAANIE ISRAEL, AMELAANIWA!
⑥.aliutangazia ulimwengu kwamba Tanzania haina dini, kosa kubwa hili maana yake haina njia ya kumtafuta mungu, kama inaongozwa ibilisi vile, hapa aka kamjaa kalishindwa kuwajengea wananchi hofu kwa Mungu naye kweli akatuacha, ndo maana viongozi wanafanya kazi Kama mawakala wa ibilisi
⑦hana sababu za msing juu ya muungano ambao hauna faida pande zote,

Ukinena mabaya juu ya Israel, utaangamizwa pasipo kujua sababu, mf. Nyrr, Gardaff, sadam,

Ni wakat wa kutubu kwa elajili ya aka kamzee tusijelaaniwa milele↠↛↝↔↪↦✞✟✝
wewe ni mwanadini uliyejaa ujinga wa kidini, MUNGU si DINI wala DINI si MUNGU, DINI ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu, Mungu hana mwanzo wala mwisho, DINI zina mwanzo na zina mwisho, zingine zilianzishwa na zishatoweka, lkn MUNGU anaishi, asili ya DINI zote ni UJINGA, na wewe umejaa ujinga wa DINI.

sasa hivi kuna mamilioni ya DINI lkn uovu ndo unazidi kupanda chati, hizo dini zinatusaidia nini? hakuna taifa teule duniani, ambalo MUNGU amelichagua, maandishi hayo ni unafiki wa wayahudi kujipalilia kujenga taifa lao ili liheshimike, mtumishi wa MUNGU au mteule wa Mungu ni mtu yeyote yule aliyechukia na kuachana na uovu, haijalishi ni myahudi, mzungu, mwarabu, Mhindu au mwafrika, ukisema IZIRAELI ni taifa teule hivi hakuna wasenge, wanyang'anyi, mafisadi, wakatili, wasagaji ktk IZIRAELI? km wapo na wao ni wateule?

Kwa kuwa umejaa ujinga wa DINI UNAOKWAMBIA KUWA Malaika, Manabii na Mitume ni watu wenye rangi nyeupe ndio sababu unokupelekea kuona kuwa NYRERE sio Nabii, darasa hili nakupa, Nabii au mtume ni mtu anayetoka kwa Mungu akiwa na ujumbe wa kimungu kwa watu wa wakati wake, kila binadamu ana mapungufu, ili kudhihirisha kuwa huyu ni mtume na nabii ni kutokana na mienendo na tabia yake, Nyerere hakuwa FISADI, WALA MALAYA KM DAUDI NA SELEMANI waliofilisi IZIRAELI, ikagawanyika IZIRAELI na SAMARIa, Nyerere ameongoza, ametuunganisha tukawa wamoja, waliokuja na kuanza kutuachanisha ni MZEE RUKSA aliyekuja na mawazo km yako kutaka nchi iwe ya kidini, hata kuandikisha nchi ikawa ya kidini (Organization of Islamic Cooperation, O.I.C) na umeona madhara yake, msimamo wa Nyerere kimungu ulikuwa sahihi, aliifanya nchi hii kuwa nchi ya AMANI na kuwa kimbilio la watu wote, baada ya kuondoka Nyerere madarakani, walofuatia walianza kuibadilisha nchi kuwa jehanam, kwanza ni laana kumtukana Nyerere.

kusema Nyererre aliwaondoa wakoloni kabla hawajatuendeleza hayo ni mawazo ya KIPUMBAVU, hivi wewe nyumbani utamsubiri mtu aje akujengee mji wako km mwanaume kweli? si kuolewa huko? halafu peleleza ujue chanzo au sababu zilizopelekea kuwapo kwa Muungano, acha maneno ya kwenye kahawa utaonekana kasuku, unadai Nyerere alishindwa kujenga misi ya elimu na Afya? usidakie maneno, ni hivi Nyerere aliendeleza ELIMU na AFYA vizuri, watu wote walisoma bure kuanzia Msingi hadi Chuo kikuu ambapo serikali za leo zimeshindwa kufanya, alitibu bure kuanzia ZAHANATI hadi Hosp za RUFAA pasi na malipo kwa wananchi wote, baada ya Nyerere kuondoka tumekuwa tukizalisha uozo, wezi, mafisadi, wapenda ngono ndio maana maisha yamekuwa hivi yalivyo kwa sababu tumezalisha watu wavivu wasio penda kufanya kazi km wewe,
 
nyerere Aliyendeleza Shule , Huduma Za Afya We jamaa hujui ukiongeacho ...embu sema Elimu Ipi, Hii iliyozalisha Mafisadi je kipindi anaondoka , Aliviacha hivi, je Unajua ni kwanini alienda IMF kuomba Msaada, na Kwann waliomtolea Mbavuni, na kipi kilichomfanya Akajiudhuru, punguza Mahaba, haya waachie watoto wa kike....

tafakari kama msomi usiwe kila kitu yeye tu,
 
Mkuu historia ya IMF na Nyerere ni ndefu sana,Baada ya vita vya Kagera,alitaka msaada kwao nao wakampa za usoni,akabakia maskini jeuri,akatofautiana ushauri aliopewa na Waziri wa fedha Mr Mtei gwiji la maswala ya fedha na uchumi former BOT governor,Sio hilo tu alitofautiana na marehemu Professor Rweyemamu aliekuwa mshauri wa Rais Nyerere wa Uchumi.Hao jamaa walijiuzuru na Rais Kambarage akaanza kupuyanga na washauri 'ndio bwana',akaitumbukiza nchi yetu katika lindi la ufukara na urofa.
Tulipanga foleni ya kila kitu isipokuwa majani ya chai.Walimwaga askari na mgambo nchi nzima kupekua kama umebeba kiroba cha mahindi.
Lakini IMF alizidi kumbana na kumkaba kama mpira wa kona akasalimu amri bila maadalizi ya kubadilisha mfumo wa uchumi,akangatuka kuliko "fedheha"
Hapana chezea IMF enzi za Rais Reagan wa USA
Bro natamani kujua Zaidi haya Masimulizi Maana kuna Maboya Humu haya taki kusikia Huu Ukweli...
wao kila anayempinga na kumkosoa wanamuona Msaliti na mdini
 
Bro natamani kujua Zaidi haya Masimulizi Maana kuna Maboya Humu haya taki kusikia Huu Ukweli...
wao kila anayempinga na kumkosoa wanamuona Msaliti na mdini
Mkuu usiombe hayo yajirudie,ilikuwa balaa,japo kuna watu wachache walineemeka sana.Hali ilivyozidi kuwa ngumu wapo wasomi walijisogeza karibu na Chama cha mapinduzi ili kupata afueni wakakimbia taaluma zao ndio mwanzo wa kuzalisha wanafiki wa fani.
 
katiba iliyopo ni katiba iliwachwa na wakoloni,wakoloni waliandika katiba za kutawala watu na sio kuongoza,ni katiba kandamizi zinatoa fursa kamili kwa mtawala tu wananchi hawana haki wala fursa
Kwani wanaotawala sasa si ndio hao hao
 
Mkuu usiombe hayo yajirudie,ilikuwa balaa,japo kuna watu wachache walineemeka sana.Hali ilivyozidi kuwa ngumu wapo wasomi walijisogeza karibu na Chama cha mapinduzi ili kupata afueni wakakimbia taaluma zao ndio mwanzo wa kuzalisha wanafiki wa fani.
Duu mkuu embu nifungue zaid
 
Sasa kwanini Kipindi Anaindaa Hakuiandaa inavotakiw?
Nyerere ana historia ndefu na udi***ta alipiga marufuku mult-party 1965, akavunja vyama vya ushirika, akaziua local govt, uhuru wa kujieleza na wa vyombo vya habari etc na katiba hii mbovu alitengeneza yeye, hakutegemea mambo yangekua mabaya imlazimu kuondoka na angaliondoka kukiwa na katiba nzuri hakika angefikishwa kwa pilato!
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere?

Mkuu, umesahau Nyerere huyohuyo ndo alituhakikishia kabisa kuwa Edward hafai kupewa uongozi kaka, au hilo hulijui.? Lowasa hafai kabisa {kwa mujibu wa Nyerere}
 
nyerere Aliyendeleza Shule , Huduma Za Afya We jamaa hujui ukiongeacho ...embu sema Elimu Ipi, Hii iliyozalisha Mafisadi je kipindi anaondoka , Aliviacha hivi, je Unajua ni kwanini alienda IMF kuomba Msaada, na Kwann waliomtolea Mbavuni, na kipi kilichomfanya Akajiudhuru, punguza Mahaba, haya waachie watoto wa kike....

tafakari kama msomi usiwe kila kitu yeye tu,
Pasi na shaka unasumbuliwa na laana na wenzio wanokuunga mkono, hivi wewe umeifanyia nini nchi hii? una kitu chochote unachojivunia kuhusu Tanzania? Nyerere ni makamo ya Baba yako nani Baba yako sina hakika km Baba yako ungaliweza kumtukana kiasi hichi,

Note: Habari ya Hapa sio msomi, isipokuwa ni mwanamke anayejielewa
 
Natamani ITV wangetafuta haka ka clip wakaweke kama wosia wa baba labda huyu jamaa ataelewa kuwa anatimiza unabii wa hayati Nyerere
 
Pasi na shaka unasumbuliwa na laana na wenzio wanokuunga mkono, hivi wewe umeifanyia nini nchi hii? una kitu chochote unachojivunia kuhusu Tanzania? Nyerere ni makamo ya Baba yako nani Baba yako sina hakika km Baba yako ungaliweza kumtukana kiasi hichi,

Note: Habari ya Hapa sio msomi, isipokuwa ni mwanamke anayejielewa
punguza povu acha kujitekenya jibu hoja hapo mkuu, me sijatukana popote, ...acha kunisingizia mkuu...jibu maswali yangu..sikatai na wala sitakataa , kuwa yeye ni kiongozi wa nchi hii hilo liko wazi , swali langu ni hili je aliiacha na hivo vote unavosema tanzania hii? kama aliviacha je alimuachia nani wakati mzee mwinyi alitoa hutuba kuhainisha haya?
 
Hivi chaina ni kweli walimtukuza rais wao MAO kama mungu?

Back
Top Bottom