Hakuna rais nayemlaani kama Nyerere,
①.aliwafukuza wakoloni kabla hawajafanya maendeleo yoyote ukilinganisha na nchi zilizo cherewa kupata Uhuru
②.alishindwa kuona miaka 100 za Uhuru wa Tanganyika itakuweje
③.alijijengea sifa kwamba kwa kila akiongeacho ni chema, hamjui kama yale maneno yaliwafaa watu wa wakati ule?
④.aliahindwa kuimalisha mising ya elimu na afya ambayo ingejengeka hata kesho
⑤. Alipo ilaani Israel, hapa ndo aliwalaani watanzania sasa, maana maneno matakatifu hayatanguki, imeandikwa ,: AILAANIE ISRAEL, AMELAANIWA!
⑥.aliutangazia ulimwengu kwamba Tanzania haina dini, kosa kubwa hili maana yake haina njia ya kumtafuta mungu, kama inaongozwa ibilisi vile, hapa aka kamjaa kalishindwa kuwajengea wananchi hofu kwa Mungu naye kweli akatuacha, ndo maana viongozi wanafanya kazi Kama mawakala wa ibilisi
⑦hana sababu za msing juu ya muungano ambao hauna faida pande zote,
Ukinena mabaya juu ya Israel, utaangamizwa pasipo kujua sababu, mf. Nyrr, Gardaff, sadam,
Ni wakat wa kutubu kwa elajili ya aka kamzee tusijelaaniwa milele↠↛↝↔↪↦✞✟✝
wewe ni mwanadini uliyejaa ujinga wa kidini, MUNGU si DINI wala DINI si MUNGU, DINI ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu, Mungu hana mwanzo wala mwisho, DINI zina mwanzo na zina mwisho, zingine zilianzishwa na zishatoweka, lkn MUNGU anaishi, asili ya DINI zote ni UJINGA, na wewe umejaa ujinga wa DINI.
sasa hivi kuna mamilioni ya DINI lkn uovu ndo unazidi kupanda chati, hizo dini zinatusaidia nini? hakuna taifa teule duniani, ambalo MUNGU amelichagua, maandishi hayo ni unafiki wa wayahudi kujipalilia kujenga taifa lao ili liheshimike, mtumishi wa MUNGU au mteule wa Mungu ni mtu yeyote yule aliyechukia na kuachana na uovu, haijalishi ni myahudi, mzungu, mwarabu, Mhindu au mwafrika, ukisema IZIRAELI ni taifa teule hivi hakuna wasenge, wanyang'anyi, mafisadi, wakatili, wasagaji ktk IZIRAELI? km wapo na wao ni wateule?
Kwa kuwa umejaa ujinga wa DINI UNAOKWAMBIA KUWA Malaika, Manabii na Mitume ni watu wenye rangi nyeupe ndio sababu unokupelekea kuona kuwa NYRERE sio Nabii, darasa hili nakupa, Nabii au mtume ni mtu anayetoka kwa Mungu akiwa na ujumbe wa kimungu kwa watu wa wakati wake, kila binadamu ana mapungufu, ili kudhihirisha kuwa huyu ni mtume na nabii ni kutokana na mienendo na tabia yake, Nyerere hakuwa FISADI, WALA MALAYA KM DAUDI NA SELEMANI waliofilisi IZIRAELI, ikagawanyika IZIRAELI na SAMARIa, Nyerere ameongoza, ametuunganisha tukawa wamoja, waliokuja na kuanza kutuachanisha ni MZEE RUKSA aliyekuja na mawazo km yako kutaka nchi iwe ya kidini, hata kuandikisha nchi ikawa ya kidini (Organization of Islamic Cooperation, O.I.C) na umeona madhara yake, msimamo wa Nyerere kimungu ulikuwa sahihi, aliifanya nchi hii kuwa nchi ya AMANI na kuwa kimbilio la watu wote, baada ya kuondoka Nyerere madarakani, walofuatia walianza kuibadilisha nchi kuwa jehanam, kwanza ni laana kumtukana Nyerere.
kusema Nyererre aliwaondoa wakoloni kabla hawajatuendeleza hayo ni mawazo ya KIPUMBAVU, hivi wewe nyumbani utamsubiri mtu aje akujengee mji wako km mwanaume kweli? si kuolewa huko? halafu peleleza ujue chanzo au sababu zilizopelekea kuwapo kwa Muungano, acha maneno ya kwenye kahawa utaonekana kasuku, unadai Nyerere alishindwa kujenga misi ya elimu na Afya? usidakie maneno, ni hivi Nyerere aliendeleza ELIMU na AFYA vizuri, watu wote walisoma bure kuanzia Msingi hadi Chuo kikuu ambapo serikali za leo zimeshindwa kufanya, alitibu bure kuanzia ZAHANATI hadi Hosp za RUFAA pasi na malipo kwa wananchi wote, baada ya Nyerere kuondoka tumekuwa tukizalisha uozo, wezi, mafisadi, wapenda ngono ndio maana maisha yamekuwa hivi yalivyo kwa sababu tumezalisha watu wavivu wasio penda kufanya kazi km wewe,