Mwalimu Nyerere kwanini alichagua Twiga? Ni Mnyama dhaifu sana!

Ant Nyerere kazini

Twiga ni mnyama mzalendo,mpole,mwenye hekima,asiemwonevu mwenye kupenda haki,mtetevu wa wanyonge hasa wanyama wadogo,

Twiga ni Tunu yetu

Tuendelee kumuunga mkono
 
UjΓ―nga mtupu hakuna logic hata kidogo zaid ya hoja mfu kutoka kwa shabiki la jaribio la kumuua Lissu. Bichwa lako na Δ·ilichomo ni simba ndo mana unafurahia kumwaga damu za watu
Aisee kwa hii comment yako mjinga umekuwa wewe sasa..kweli mjinga hajijui
 
Tungechagua faru. Huyu mnyama mkorofi sana.Ukorofi mpaka kwenye moto anakojolea na kuukanyaga basi tu ilimradi aonekane mbabe peke yake.
 
Kwa akili zako hata democracy hutaki !!. Masikini Tz
 
Kimsingi sijakubaliana na hoja yako.Kwa kutolea mfano nchi kama Uganda wamamtumia crane kama symbol yao.Haimaanishi ni dhaifu bali ni kwamba wanapatikana sana nchini mwao.Ukifika Uganda ni lazima ukutane na Crane.Ndio maana timu yao ya taifa inaitwa Uganda cranes.Kwenye bendera yao pia yupo etc

China wanaye panda kutokana na kupatikana pekee huko kwao.

Kuhusu twiga ni kwamba ni mnyama mzuri,mpenda amani,anajali wanyama wengine na anapatikana kwa wingi Tanzania and etc.So for me is a good choice kama symbol ya taifa.
 


China ni Dragon, na hii ni kihistoria huyo Panda ni wa juzi tu shauri ya udiplomasia, kuhusu Uganda sijui zaidi.
 


Alikosea sana kufanya Twiga kuwa nembo ya taifa, ilitakiwa iwe Kondoo.🐏🐏
 
Alikosea sana kufanya Twiga kuwa nembo ya taifa, ilitakiwa iwe Kondoo.🐏🐏


Hahaha huo ni utani sasa, kondoo hujiongoza kwa makundi mpaka machinjioni bila ya ubishi.
 
Kwani kubeba mimba kuna kosa lipi ikiwa huyo ni mamalia? Mbona tunaelezwa kuwa malkia wa Ungereza ana watoto pia?
Umechunguza kwa karibu sifa zote za twiga?? Madhaifu ya Tai je?? Ya Simba je?? Hujiulizi kwanini Simba jike ndiyo anasifiwa ni hatari linapokuja suala la kuwinda ajabu bado anabeba mimba??
Eba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…