Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi mkuu, lakini huu upole unaona jinsi unavyotugharimu kipindi hiki?Lengo la twiga kama "totem" yetu pendwa ni:
1. Amani
2. Upole, uvumilivu
3. Ukarimu, unyenyekevu.
Hivi ndo vimeilinda Tanzania. Baba wa Taifa hakutaka kuchagua mnyama wa tabia na sifa za kibabe au mabavu kwa sababu kisaikolojia ingewafanya Watanzania wazichukue na kuzivaa sifa na tabia za totem huyo.
Lengo la Tz siyo kutumia ubabe na mabavu, hivyo Twiga anafaa.
Tungechagua faru. Huyu mnyama mkorofi sana.Ukorofi mpaka kwenye moto anakojolea na kuukanyaga basi tu ilimradi aonekane mbabe peke yake.
huyo huyo mkuuYule FARU JOHN!
Sisi tuna tumia mnyama Uganda CobChina ni Dragon, na hii ni kihistoria huyo Panda ni wa juzi tu shauri ya udiplomasia, kuhusu Uganda sijui zaidi.
Dah.. Simba huyu wa Mwadui? Acha utani banaa [emoji2960]
Tuanzie kwnye Majukumu ya Uchaguzi Wa Twiga mwenyewe, ni majukumu ya Rais au ni Majukum ya Taasisi fulani?
Ukishaona watu wanageukia vitu vya kijinga tena vya kiimani kama nembo na kuihusisha na mafanikio yao basi ujue hao watu ni wavivu wakubwa na wanatafuta kisingizio. Dawa ya mafanikio ni kazi tu na hakuna mbadala wake. Wakongo hapa jirani wamemweka chui lakini bado matatizo kibao. Kuna mataifa kibao alama zao ni za wanyama wakali wakali lakini bado ni maskini wa kutupwa.Leo nakuunga mkono wewe mwana Lumumba, kweli tulitakiwa kuwa na nembo ya mnyama mwenye nguvu ma akili. Nahisi twiga katufanya tumekuwa wapole kama tulivyo
Daaa umenikumbusha movie ya The Lion King. Hapo namuona akiwa na Simba.Nijuavyo mimi Dunia nzima Kihistoria nchi zimekuwa zikichagua Wanyama kama alama inayowawakilisha, yaani unaweza kusema mnyama wa nchi, na wengi hapa huchagua mnyama mwenye sifa ya UKUU na UTAWALA, ndo maana nchi nyingi kubwa kama Ujerumani, USA, na Falme nyingi kubwa Duniani wamekuwa wakichagua ndege Tai, huyu ana sifa za ajabu kama nguvu, uvumilivu, ufanisi na pia mwendo mkali kwa kifupi anatawala anga, kwanza wanasema Tai ana wa kuishi mpaka miaka 70, huku kwetu kwa nini hatukuchagua Simba? Huyu Twiga ana nini? Twiga ni alama ya Udhaifu, na hakupaswa kuwa alama ya kutuwakilisha.
Simba ndo Mfalme na mwamba Nyika, hata kwenye Biblia na vitabu vingine vitakatifu sijaona mahali Twiga akitajwa isipokuwa Simba au Ndege Tai, ...
Mfalme wa Anga Tai- USA, Ujerumani na Falme kubwa Duniani!
View attachment 1251330
Urusi brown bear.
View attachment 1251332
Huyu ndo alifaa awe alama yetu, Simba Mfalme wa Nyika na siyo huyo twiga wenu, kwanza analiwa na Simba!
View attachment 1251335
ok mziki wa twiga simba WANASANDAHajabahatika kumwona akiwa anajilinda simba inawezekana hadi wawe kuazia 4kuendelea ndipo wanaweza mpata.
Barbarosa tushukuru hata huyo twiga, ungesemaje kama angewekwa nyumbu?Nijuavyo mimi Dunia nzima Kihistoria nchi zimekuwa zikichagua Wanyama kama alama inayowawakilisha, yaani unaweza kusema mnyama wa nchi, na wengi hapa huchagua mnyama mwenye sifa ya UKUU na UTAWALA, ndo maana nchi nyingi kubwa kama Ujerumani, USA, na Falme nyingi kubwa Duniani wamekuwa wakichagua ndege Tai, huyu ana sifa za ajabu kama nguvu, uvumilivu, ufanisi na pia mwendo mkali kwa kifupi anatawala anga, kwanza wanasema Tai ana wa kuishi mpaka miaka 70, huku kwetu kwa nini hatukuchagua Simba? Huyu Twiga ana nini? Twiga ni alama ya Udhaifu, na hakupaswa kuwa alama ya kutuwakilisha.
Simba ndo Mfalme na mwamba Nyika, hata kwenye Biblia na vitabu vingine vitakatifu sijaona mahali Twiga akitajwa isipokuwa Simba au Ndege Tai, ...
Mfalme wa Anga Tai- USA, Ujerumani na Falme kubwa Duniani!
View attachment 1251330
Urusi brown bear.
View attachment 1251332
Huyu ndo alifaa awe alama yetu, Simba Mfalme wa Nyika na siyo huyo twiga wenu, kwanza analiwa na Simba!
View attachment 1251335
chonde chonde wafukua makaburi.Mkuu mng'ato ... naona unanipendekeza niwe nembo ya Taifa! .... unajua balaa letu lakini sisi kina Honey Badger aka nyegere?
![]()
Dragon wa china ni wa kufikirika si mnyama anaye exist.China ni Dragon, na hii ni kihistoria huyo Panda ni wa juzi tu shauri ya udiplomasia, kuhusu Uganda sijui zaidi.
Simba ana nguvu; mbabe anawaonea wanyama wengine. Huyo anafaa kuwa alama ya nchi kama Marekani yenye mabavumabavu zinazoonea nchi nyingine. Tanzania hatuko hivyo. Twiga ni mrefu mwenye shingo ndefu inayomuwezesha kuona mbali. Vivyo hivyo Mwalimu alikuwa anaona mbali. Kwa mfano aliona kwamba tukianza kuchimba madini yetu tutakuja kuliwa tu na wataalamu wa nje wanaokuja kuyachimba. Hivyo ni bora kuyaacha yakae ardhini tu mpaka tutakaposomesha wataalamu wetu wenyewe. Hiyo ilikuja kuwa wazi alipong'atuka waliomfuata wakaanza kuchimba madini ya kila aina. Ndiyo unakuta tunapewa mrahaba wa 3% pamoja na kuwa mali hiyo ni yetu. Ndiyo maana awamu ya sasa inapigana kuongeza hiyo asilimia mpaka 16% ingawa hata hiyo bado ni ndogo. Kwa ufupi, Mwalimu alikuwa anaona mbali na Twiga ndiye mnyama mwenye uwezo huo. Na Twiga hamuonei mnyama mwingine mdogo mdogo. Utakuta anachunga pamoja na swala au digidigi bila kugombana. Na Tanzania ndivyo tulivyo. Hatuingilii nchi nyingine isipokuwa tukilazimishwa kama alivyofanya Amin. Kinyume chake, Marekani kila kukicha yuko huko na kule kuchokoza tu kama alivyo Simba.Nijuavyo mimi Dunia nzima Kihistoria nchi zimekuwa zikichagua Wanyama kama alama inayowawakilisha, yaani unaweza kusema mnyama wa nchi, na wengi hapa huchagua mnyama mwenye sifa ya UKUU na UTAWALA, ndo maana nchi nyingi kubwa kama Ujerumani, USA, na Falme nyingi kubwa Duniani wamekuwa wakichagua ndege Tai, huyu ana sifa za ajabu kama nguvu, uvumilivu, ufanisi na pia mwendo mkali kwa kifupi anatawala anga, kwanza wanasema Tai ana wa kuishi mpaka miaka 70, huku kwetu kwa nini hatukuchagua Simba? Huyu Twiga ana nini? Twiga ni alama ya Udhaifu, na hakupaswa kuwa alama ya kutuwakilisha.
Simba ndo Mfalme na mwamba Nyika, hata kwenye Biblia na vitabu vingine vitakatifu sijaona mahali Twiga akitajwa isipokuwa Simba au Ndege Tai, ...
Mfalme wa Anga Tai- USA, Ujerumani na Falme kubwa Duniani!
View attachment 1251330
Urusi brown bear.
View attachment 1251332
Huyu ndo alifaa awe alama yetu, Simba Mfalme wa Nyika na siyo huyo twiga wenu, kwanza analiwa na Simba!
View attachment 1251335
Nijuavyo mimi Dunia nzima Kihistoria nchi zimekuwa zikichagua Wanyama kama alama inayowawakilisha, yaani unaweza kusema mnyama wa nchi, na wengi hapa huchagua mnyama mwenye sifa ya UKUU na UTAWALA, ndo maana nchi nyingi kubwa kama Ujerumani, USA, na Falme nyingi kubwa Duniani wamekuwa wakichagua ndege Tai, huyu ana sifa za ajabu kama nguvu, uvumilivu, ufanisi na pia mwendo mkali kwa kifupi anatawala anga, kwanza wanasema Tai ana wa kuishi mpaka miaka 70, huku kwetu kwa nini hatukuchagua Simba? Huyu Twiga ana nini? Twiga ni alama ya Udhaifu, na hakupaswa kuwa alama ya kutuwakilisha.
Simba ndo Mfalme na mwamba Nyika, hata kwenye Biblia na vitabu vingine vitakatifu sijaona mahali Twiga akitajwa isipokuwa Simba au Ndege Tai, ...
Mfalme wa Anga Tai- USA, Ujerumani na Falme kubwa Duniani!
View attachment 1251330
Urusi brown bear.
View attachment 1251332
Huyu ndo alifaa awe alama yetu, Simba Mfalme wa Nyika na siyo huyo twiga wenu, kwanza analiwa na Simba!
View attachment 1251335
Ukishaona watu wanageukia vitu vya kijinga tena vya kiimani kama nembo na kuihusisha na mafanikio yao basi ujue hao watu ni wavivu wakubwa na wanatafuta kisingizio. Dawa ya mafanikio ni kazi tu na hakuna mbadala wake. Wakongo hapa jirani wamemweka chui lakini bado matatizo kibao. Kuna mataifa kibao alama zao ni za wanyama wakali wakali lakini bado ni maskini wa kutupwa.