Good.Viongozi wetu wakuu waliokwisha kutangulia kama Mwalimu Nyerere na Mkapa wanaonekana “kupumzika kwa amani”, lakini yupo mmoja wao John Magufuli anayeonekana kutoachwa “apumzike kwa amani”...
Hao uliowataja hawana kundi la kuwatetea mitandaon maan, waliyofanya hayahitaj watetezi!! NB; Kama kuna mazuri kafanya mtu je kuna haja ya kuwepo kikundi cha kumtetea ama la!Viongozi wetu wakuu waliokwisha kutangulia kama Mwalimu Nyerere na Mkapa wanaonekana “kupumzika kwa amani”, lakini yupo mmoja wao John Magufuli anayeonekana kutoachwa “apumzike kwa amani”...
Nyerere na Mkapa hawajapumzika kwa amani.Viongozi wetu wakuu waliokwisha kutangulia kama Mwalimu Nyerere na Mkapa wanaonekana “kupumzika kwa amani”, lakini yupo mmoja wao John Magufuli anayeonekana kutoachwa “apumzike kwa amani”...
Kila rais ataongelewa kwa mema na mabaya lakini Magufuli ametia fora kuongelewa kwa mabaya, sio bure kuna sababu.Nyerere na Mkapa hawajapumzika kwa amani.
Kuna vitabu vitatu vimeandikwa na Profesa Shivji na wenzake kuhusu maisha ya Nyerere...
Kwaiyo Magufuli yupo motoni?Nyerere na Mkapa hawajapumzika kwa amani.
Kuna vitabu vitatu vimeandikwa na Profesa Shivji na wenzake kuhusu maisha ya Nyerere...
Kutotaka kupangiwa/kushauriwa.Viongozi wetu wakuu waliokwisha kutangulia kama Mwalimu Nyerere na Mkapa wanaonekana “kupumzika kwa amani”, lakini yupo mmoja wao John Magufuli anayeonekana kutoachwa “apumzike kwa amani”....
Motoni ndiyo wapi?Kwaiyo Magufuli yupo motoni?
Nimekupa sababu hapo juu, labda unataka zako ulizokuja nazo mfukoni mwako.Kila rais ataongelewa kwa mema na mabaya lakini Magufuli ametia fora kuongelewa kwa mabaya, sio bure kuna sababu.
Sasa andiko langu na point zako hasa point number 3 kuna ukinzani gani yakhe.Nimekupa sababu hapo juu, labda unataka zako ulizokuja nazo mfukoni mwako.
1. Ni rais w akwanza kufa madarakani, hili halijawahi kutokea.
2. Amekufa ndiyo kwanza miaka miwili imepita, kumbukumbu bado ziko fresh.
3. Alikuwa rais katili, mshenzi, mkora na mwenye siasa za ulaghai sana, kwa namna ambayo haijawahi kuonekana wazi hivi Tanzania.
Unataka sababu gani zaidi ya hizi?
Wewe umekuw bingwa wa kuandika kwa mafumbo na vitendawili kama kawaida ya Watanzania wengi.Sasa andiko langu na point zako hasa point number 3 kuna ukinzani gani yakhe.
Si bure kuna jambo, inakuwa fumbo kwako?Wewe umekuw bingwa wa kuandika kwa mafumbo na vitendawili kama kawaida ya Watanzania wengi.
Ndiyo maana Watanzania wengi wanaweza kuwa wanaongea kitu kimoja, lakini hawaelewani.
Kwa sababu wengi mnapenda kutumia mafumbo na vitendawili kama "si bure kuna jambo".
Mimi nimeweka wazi sababu, halafu wewe unaendelea kuleta mafumbo na vitendawili vya "si bure kuna jambo".
Lazima tusielewane hata kama tunazungumz akitu kimoja.
Jambo gani? Bila kueleza jambo gani "si bure kuna jambo" ni fumbo.Si bure kuna jambo, inakuwa fumbo kwako?
Ushetani wake ndiyo unamfanya alaaniwe hata huko kuzimu aliko sasaViongozi wetu wakuu waliokwisha kutangulia kama Mwalimu Nyerere na Mkapa wanaonekana “kupumzika kwa amani”, lakini yupo mmoja wao John Magufuli anayeonekana kutoachwa “apumzike kwa amani”. Je, Kuna nini nyuma ya jambo hili la kihistoria?
Kwa mtazamo wangu Nyerere na Mkapa (kwa kiwango kikubwa) waliwaachia watu uhuru wa kusema na kutoa maoni yao kupitia vyombo vya habari na mikusanyiko mbalimbali, ila uhuru huu ulikosekana wakati wa utawala wa Magufuli.
Kinachotokea sasa ni watu kutumia uhuru wao wa kujieleza ulioporwa enzi za Magufuli na hivyo kumfanya Magufuli kutopumzika hadi watu watakapomaliza kusema.