Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Aisee kumbe, nimechanganya madesa lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kumbe, nimechanganya madesa lol
YERUSALEMU malizia basi hivyo vitukoAmestaafu toka mwaka 2005.
Yule aliyekuwa Pm?Upuuzi wa kutayarishiwa warembo alikuwa nao yule mzee wa Namtumbo.
Mfunguke vizuri tufahamu, wengine hatujui mafumbo
Huyohuyo...Yule aliyekuwa Pm?
Huyo mhaya alimtapeli mwalimu tofali zake za ujenzi. Alikuwa ashastaafu na unajua mwalimu alikuwa anapenda kazi za mikono akachukua watu wafyatue tofali, wakati wanafanya hivyo rafiki yake akawa anakuja mara kadhaa kwenye mradi.Mfunguke vizuri tufahamu, wengine hatujui mafumbo
Duuhh, Nshomile yupi huyo? Aliwahi kuongoza kitengo kipi?Huyo mhaya alimtapeli mwalimu tofali zake za ujenzi. Alikuwa ashastaafu na unajua mwalimu alikuwa anapenda kazi za mikono akachukua watu wafyatue tofali, wakati wanafanya hivyo rafiki yake akawa anakuja mara kadhaa kwenye mradi.
Siku moja akaja na gari kuyabeba walinzi wakauliza kulikoni akawakaripia kuwa hamkuona tunayakagua wote, wakaamini.
Kisa kipo humu JF nilisoma kitambo.
BATENGA'SDuuhh, Nshomile yupi huyo? Aliwahi kuongoza kitengo kipi?
Hiki kisa niliwahi kukisoma hapa JF miaka ya nyuma.Kisa cha pili, Mwalimu alikuwa na kawaida ya kuwaandaa viongozi kabla ya kuwateua.
Siku moja majira ya kiangazi Katibu tarafa mkoani alipata barua ikimtaka afike Ikulu tarehe iliyo pangwa. Yule bwana akaogopa sana kuitwa Ikulu kwa Nyerere.
Nyerere alikuwa Mwerevu na mwenye uwezo mkubwa wa kuongoza.
Aliwafumbua macho wacheza bao, wale wavaa kobasi waliokuwa na Ilmu Akhera tu.
Mohamed Said
Sent using Jamii Forums mobile app
si mlisemaga hata watoto sio wake niwa Bazili PesambiliUpuuzi wa kutayarishiwa warembo alikuwa nao yule mzee wa Namtumbo.
mi nimecheka sana ila kuna kamsamiati kamoja hapo ninawamba moderator wakupuumzishe kwa wiki mbili hivi ili kilinda nidhamu ya jukwaaMarehemu Nsa Kaisy, aliitwa na Nyerere Ikulu, alio watma wakamletea Jibu kuwa hayupo! akawambia sasa nyie TISS ninao wategemea kwa ajili ya watanzania wote hamjui! nchi hii iko salama kweli? Kusikia hivyo tu wakatimka nje wote kwenda kuanza upya!
Mmoja wao akasema twende palepale nyumbani kwake, Mkewe lazima anajua kitu, wakaenda wakambana mkewe twambie Nsa Kaisy yuko wapi? mkewe akaona isiwe tabu yupo kwa mchepuko wake sehemu fulani leo siku ya 2 hajakuja.
TISS haooo! kwa mchepuko! wakagonga mlango mrembo mzuri sana akafungua! mazungumzo yao yakawa hivi;
chepuko; mnaseamaje.
Tiss; tunamtaka huyo aliyeko ndani!
Chepuko;Nani;
Tiss; Unamjua
Nsa Kaisy akachungulia akaona mijitu imepanda kama mitano, viuononi yametunatuna hivi, Na STG 109 mpyaaa! Daaa! akajua leo yametimia. Mboo ikanywea palepale nywii! akavaa akatoka nje,
Nsa Kaisy; Ni aje wakuu!
Tiss; Unaitwa Ikulu!
Nsa kaisy; daaa!
Tiss; wakapiga kimya,
Ikulu, ofisi ya Nyerere ilikuwa na corridor ndeeefu, so yeye alikuwa anakaa konani mwisho kabisa kiusalama ili mtu akija aonekane vizuri.
Nsa Kaisy alipoingia tu akaonana macho kwa macho na Nyerere, Nyerere alilegeza ile Miwani yake akaangalia kwa juu hivi kama anachungulia shimoni, Palepale Nsa Kaisy Puuuu! chini, Akapepewa na wasaidizi waliokuwepo mara fahamu zikaja!
Nsa Kaisy akasema '' Mzee ni majungu tu! ni majungu tu! mzee! watu wabaya sana,'' Mzanaki akatabasamu akamwambia''
''Bwana wee nimekuteua uwe Mkuu wa Mkoa fulani haya yote ya nini?'' Nsa Kaisy kusikia tena hivi! kwa furaha isiyo kifani ya kuukwaa ukubwa ambao hakuwahi kuuota '' akaanguka tena chini Pwaaaa!!! akapepewa weeee! mpaka alipopona akawa kilema! Onyo Usicheze na Wazanaki!
Hahahaha dah...Inaelekea yule binti alikuwa waMtwara Girls(Mangamba).