Smaki,
Ahsante kwa ufafanuzi tuendelee na mjadala ulioko mezani.
Nimesema haya yafuatayo:
"Azarel,
Kucheza bao ni mila ya makabila mengi na sisi watu wa pwani tumo.
Wazee wetu walikuwa wanapenda kucheza bao kujiburudisha.
Yawezekana kwenu mna namna yenu ya kujiburudisha kama kwenda kwenye vilabu vya pombe za kienyeji na kutumia ulevi.
Makubadhi, seluni au msuli, kanzu,koti na kofia ni moja ya vivazi vyetu vya asili na havina uhusiano wowote na uwezo wa kufikiri.
Sijui ni kitu kipi kinakufanya wewe kila ukinyanyua kalamu ni kutukana."
Haya ndiyo majibu yangu kwa kile nilichoona si maneno ya kiungwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using
Jamii Forums mobile app