TANZIA Mwalimu Paul Mpandiko wa shule ya Sekondari Dodoma auawa na watu wasiojulikana

Dah hiyo kifo ni kifo tu inapita na wengi sana...tumetoka kupata habari kule Arusha miili mitatu ya kifo ni kifo tu imeeopolewa...Mama ya kweli haya kifo ni kifo tu ?
 
Mbona nasikia aligongwa na gari pale area A? Ipi ni taarifa sahihi maana nimetoka hapo makole jioni hii
Unaamini ya kuambiwa? Kwenye issue kama hizi mtu anakusimlia scenario nzima hadi mdomo unakauka utafikiri alikuwepo afu mwishoni ukimuuliza anakwambia amesimliwa na yeye. Apumzike kwa amani huyo baba
 
Hivi yule mfanyabishara wa Mwanza na Tarime kijana Chonchorio Daniel alipatikana? Maana naona vyombo vya habari vimetulia Mwenyezi Mungu amsimamie huko aliko, kuna yule mama mfanyabiashara wa Geita sijui nani kimori alipotelea custom ya Kenya pale sirari hadi leo haijulikani alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…