TANZIA Mwalimu Paul Mpandiko wa shule ya Sekondari Dodoma auawa na watu wasiojulikana

TANZIA Mwalimu Paul Mpandiko wa shule ya Sekondari Dodoma auawa na watu wasiojulikana

RIP Mwalimu, Dodoma sio sehemu salama kwangu ndugu yangu alikua anafanya kazi Uhamiaji tumemzika mwezi uliopita huko Tukuyu,Mbeya alikua anafanya mazoezi akaja kuokotwa na polisi alfajiri kifo chake hata hakieleweki inaonekana wanaouawa hapo Dodoma ni wengi sana ila wanaotangazwa ni wachache..
RIP Mwalimu.
 
Kuna wakati nyumbu mnapswa kuacha ungese uliopitiliza aisee; hakuna mafanikio ya kimamlaka yanayokuja kwa namna hiyo. Hayo aliyasema katika muktadha gani?¡!! Mbona wengine nyie ni watu wazima lakini?!!!!! Ujinga ujinga mwingine ndo maana Mungu anaamua tu kumtunuku mtu sababu anaona maadui zake wanavyotengeneza hila za wazi..
It's a genuine question needing a genuine answer na sio hisia Bro, this is happening.

 
Anti-nyumbu kadhaa......namaanisha tunaojitambua.

Kila la heri katika kuzuia kwako uchaguzi kamanda....naamini utafanikiwa!
Huwezi ukawa unajitambua na ukawa unadai unajua lilipo soko la virusi vya ebora na M-pox na wateja ama wanunuzi una wafahamu ambapo wanaleta kwa ajili ya kuwadhuru Watanganyika lkn hujawakamata wakati ukimiliki vyombo vyoooote vya ulinzi na usalama na mahakama.
 
Daah Ticha langu hilo,Pole kwa Familia nzima alikuwa hana noma na mtu hadi uingie kwenye mifumo yake hautoamini.
 
Huwezi ukawa unajitambua na ukawa unadai unajua lilipo soko la virusi vya ebora na M-pox na wateja ama wanunuzi una wafahamu ambapo wanaleta kwa ajili ya kuwadhuru Watanganyika lkn hujawakamata wakati ukimiliki vyombo vyoooote vya ulinzi na usalama na mahakama.
Kila la kheri kamanda katika kuzuia uchaguzi hapo mwezi Oktoba......tutamisi sana nyuzi na comments zako kwa siku kadhaa ambazo utakuwa mstari wa mbele kupambana.
 
RIP Mwalimu, Dodoma sio sehemu salama kwangu ndugu yangu alikua anafanya kazi Uhamiaji tumemzika mwezi uliopita huko Tukuyu,Mbeya alikua anafanya mazoezi akaja kuokotwa na polisi alfajiri kifo chake hata hakieleweki inaonekana wanaouawa hapo Dodoma ni wengi sana ila wanaotangazwa ni wachache..
RIP Mwalimu.
Ni kweli dodoma wanaweza kukuvamia kwako kwa kukuibia sukari na mchele nusu kilo tu.

Maisha magumu Dom, siunajua ardhi kame.
 
Duuh...! Yaani ikifikia hatua ya wasiojulikana Tanzania hii. Nakosa amani kabisa moyoni. Hawa wa hiyo rangi hawana rafiki wa kudumu. We jitekenye kwamba upo upande wao. Ipo siku
 
Anti-nyumbu kadhaa......namaanisha tunaojitambua.

Kila la heri katika kuzuia kwako uchaguzi kamanda....naamini utafanikiwa!
Watazuia uchaguzi hawajipendi! Watakula mkong'oto hadi hawatoamini.

Kwa manufaa ya nani? Kwanza hawawezi kuzuia uchaguzi, hao wanaowahadaa wana tiketi za ndege wakishachafua hali ya hewa wanaruka zao ulaya
 
Back
Top Bottom