JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,487
- 2,599
Nimekutana na wanafamikia,pia taarifa rasmi ya familia imetumwa kwenye group la dodoma secondary na msemaji wa familiaKila mtu anataarifa yake, ukienda msiban ndio utajua taarifa sahihi
Nimekutana na wanafamikia,pia taarifa rasmi ya familia imetumwa kwenye group la dodoma secondary na msemaji wa familiaKila mtu anataarifa yake, ukienda msiban ndio utajua taarifa sahihi
Na usibiri mpaka wasome historia ya marehemu ndiyo utajua....ila zile za pale nje wakisubiri wali maharage na kipande cha nyama aaghh story utapata kama hizi hiziKila mtu anataarifa yake, ukienda msiban ndio utajua taarifa sahihi
Familia yake ndio imesema mkuu. Na gari iliyomgonga ipo kituoni
Nimekutana na wanafamikia,pia taarifa rasmi ya familia imetumwa kwenye group la dodoma secondary na msemaji wa familia
Taarifa kama hizi sasa ndiyo zinachanganya maana ulishasema unasikia kama hearsay tu, mara umeonana na familiaMbona nasikia aligongwa na gari pale area A? Ipi ni taarifa sahihi maana nimetoka hapo makole jioni hii
Kwani ukionana na familia ukiambiwa hiyo si ndio kuambiwa? Au ulitaka nisisikie? Wewe upon kwenye group la dodoma secondary? Unawafahamu wanafamikia? Mimi tangu amepotea nilipewa taarifa na Jana niliipost InstagramTaarifa kama hizi sasa ndiyo zinachanganya maana ulishasema unasikia kama hearsay tu, mara umeonana na familia
Kuna wakati nyumbu mnapswa kuacha ungese uliopitiliza aisee; hakuna mafanikio ya kimamlaka yanayokuja kwa namna hiyo. Hayo aliyasema katika muktadha gani?¡!! Mbona wengine nyie ni watu wazima lakini?!!!!! Ujinga ujinga mwingine ndo maana Mungu anaamua tu kumtunuku mtu sababu anaona maadui zake wanavyotengeneza hila za wazi..Dah hiyo kifo ni kifo tu inapita na wengi sana...tumetoka kupata habari kule Arusha miili mitatu ya kifo ni kifo tu imeeopolewa...Mama ya kweli haya kifo ni kifo tu ?
Haijalishi alisema akiwa msikitini,kanisani,barabarani ama ofisini.Kuna wakati nyumbu mnapswa kuacha ungese uliopitiliza aisee; hakuna mafanikio ya kimamlaka yanayokuja kwa namna hiyo. Hayo aliyasema katika muktadha gani?¡!! Mbona wengine nyie ni watu wazima lakini?!!!!! Ujinga ujinga mwingine ndo maana Mungu anaamua tu kumtunuku mtu sababu anaona maadui zake wanavyotengeneza hila za wazi..
Sasa Samia wa nini hapo we mpumbavu? Umeharibu ujumbe mzima.Mwalimu Paul Mpandiko, gwiji wa Book Keeping, mpenda mazoezi, asiye na makuu.
Alipotea tangu juzi, leo mwili wake umekutwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti ukiwa na majeraha ya mapanga.
"kifo ni kifo tu" Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3295253
We ngedere unajua miiko ganiHaijalishi alisema akiwa msikitini,kanisani,barabarani ama ofisini.
Unapokua kiongozi zingatia miiko ya uongozi.
KIFO NI KIFO TU.
Mimi ngedere sijui miiko yoyote.We ngedere unajua miiko gani
Jifunze kuzoea vifo, ila kikimhusu kiongozi wa CCM hakikubaliki na hakivumiliki, kifo ni kifo tu.Dah! Pole Kwa familia yake apumzike Kwa amani, mauaji yamekuwa mengi sana nchi hii
una uhakika na unachokisema au unaropoka tu?Mademu wa watu
Utaiandika hiyo sentensi mara bilioni Moja Hadi 2030......kazi mnayo.Haijalishi alisema akiwa msikitini,kanisani,barabarani ama ofisini.
Unapokua kiongozi zingatia miiko ya uongozi.
KIFO NI KIFO TU.
Kauli hiyo ni ya kumuonea huruma alieitamka coz anaonekana frustrated sana na kashindwa kudhibiti hali!!Haijalishi alisema akiwa msikitini,kanisani,barabarani ama ofisini.
Unapokua kiongozi zingatia miiko ya uongozi.
KIFO NI KIFO TU.
Wewe na nani?Utaiandika hiyo sentensi mara bilioni Moja Hadi 2030......kazi mnayo.
Kila la heri katika kuzuia kwako uchaguzi, nyumbu. Si tupo Huku Nanjilinji tubalima ufuta.