TANZIA Mwalimu Paul Mpandiko wa shule ya Sekondari Dodoma auawa na watu wasiojulikana

TANZIA Mwalimu Paul Mpandiko wa shule ya Sekondari Dodoma auawa na watu wasiojulikana

tusisahau kukaa mbali na wake(mali) za watu.!!

apumzike kwa amani
Mbona haujiamini wewe. Mke wako ni kicheche nini ndio maana unaleta kauli za kutisha watu ?

Na utagongewa sana, ila ushauri kama unamuona amezidisha muache usije kupata stroke bure.
 
Kwani ukionana na familia ukiambiwa hiyo si ndio kuambiwa? Au ulitaka nisisikie? Wewe upon kwenye group la dodoma secondary? Unawafahamu wanafamikia? Mimi tangu amepotea nilipewa taarifa na Jana niliipost Instagram
Mkuu nadhani habari yako inaweza kuwa kweli ila watu wanataka isemenekane kifo kina utata.
 
Mbona haujiamini wewe. Mke wako ni kicheche nini ndio maana unaleta kauli za kutisha watu ?

Na utagongewa sana, ila ushauri kama unamuona amezidisha muache usije kupata stroke bure.
Na wewe mbona umekasirika ghafla? Inaonekana ndiyo zako hizo, hivyo jamaa anakuchoma moyo na maneno yake.
 
Mwalimu Paul Mpandiko, gwiji wa Book Keeping, mpenda mazoezi, asiye na makuu.

Alipotea tangu juzi, leo mwili wake umekutwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti ukiwa na majeraha ya mapanga.

"kifo ni kifo tu" Samia Suluhu Hassan.

View attachment 3295253
Mungu atawalipa wahusika sawia na matendo yao
 
Huwezi jua, Dodoma imegubikwa na wimbi la uhalifu unao ambatana na mauaji tangu mwaka jana.
Siyo mwaka jana

Miaka yote dodoma Kuna ujinga wa kuchoma visu kijinga jinga sana
 
RIP Mwalimu, Dodoma sio sehemu salama kwangu ndugu yangu alikua anafanya kazi Uhamiaji tumemzika mwezi uliopita huko Tukuyu,Mbeya alikua anafanya mazoezi akaja kuokotwa na polisi alfajiri kifo chake hata hakieleweki inaonekana wanaouawa hapo Dodoma ni wengi sana ila wanaotangazwa ni wachache..
RIP Mwalimu.
Unamuongelea amon
 
Mke WA MTU, CCM,CDM, URUSHI,CWT
HIZI NI TAASISI AMBAZO UKIJIUNGA NAZO, WASIO JULIKANA WANAKUWA KARIBU KUKUJULIA HALI YA MAISHA YAKO KUELEKEA R.I.P
 
Taarifa kama hizi sasa ndiyo zinachanganya maana ulishasema unasikia kama hearsay tu, mara umeonana na familia
Unapewa taarifa ya kweli unaleta hoja za kupinga pinga au unazo taarifa tofauti na ajali utupe?
 
Back
Top Bottom