TANZIA Mwalimu Paul Mpandiko wa shule ya Sekondari Dodoma auawa na watu wasiojulikana

tusisahau kukaa mbali na wake(mali) za watu.!!

apumzike kwa amani
Mbona haujiamini wewe. Mke wako ni kicheche nini ndio maana unaleta kauli za kutisha watu ?

Na utagongewa sana, ila ushauri kama unamuona amezidisha muache usije kupata stroke bure.
 
Kila la kheri kamanda katika kuzuia uchaguzi hapo mwezi Oktoba......tutamisi sana nyuzi na comments zako kwa siku kadhaa ambazo utakuwa mstari wa mbele kupambana.
Ulivyo na muendelezo wa fikra duni kila anaye wakosoa unajua ni mwana CHAADEMA.
Endelea kuagizwa pekee yako na akina kisu.
 
Kwani ukionana na familia ukiambiwa hiyo si ndio kuambiwa? Au ulitaka nisisikie? Wewe upon kwenye group la dodoma secondary? Unawafahamu wanafamikia? Mimi tangu amepotea nilipewa taarifa na Jana niliipost Instagram
Mkuu nadhani habari yako inaweza kuwa kweli ila watu wanataka isemenekane kifo kina utata.
 
Mbona haujiamini wewe. Mke wako ni kicheche nini ndio maana unaleta kauli za kutisha watu ?

Na utagongewa sana, ila ushauri kama unamuona amezidisha muache usije kupata stroke bure.
Na wewe mbona umekasirika ghafla? Inaonekana ndiyo zako hizo, hivyo jamaa anakuchoma moyo na maneno yake.
 
Mungu atawalipa wahusika sawia na matendo yao
 
Huwezi jua, Dodoma imegubikwa na wimbi la uhalifu unao ambatana na mauaji tangu mwaka jana.
Siyo mwaka jana

Miaka yote dodoma Kuna ujinga wa kuchoma visu kijinga jinga sana
 
Unamuongelea amon
 
Mke WA MTU, CCM,CDM, URUSHI,CWT
HIZI NI TAASISI AMBAZO UKIJIUNGA NAZO, WASIO JULIKANA WANAKUWA KARIBU KUKUJULIA HALI YA MAISHA YAKO KUELEKEA R.I.P
 
Taarifa kama hizi sasa ndiyo zinachanganya maana ulishasema unasikia kama hearsay tu, mara umeonana na familia
Unapewa taarifa ya kweli unaleta hoja za kupinga pinga au unazo taarifa tofauti na ajali utupe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…