Upendo iswa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 345
- 548
Ndugu wa mume walikuwa hawampendiKisa?
Siku hizi unapenda umbea kuliko magari!Hebu funguka basi na wewe aaaaagh![emoji57][emoji57]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Unadhani kuna kipi zaidi ya mdomoKisa?
Sio rahisi mtu achukue kisu akuchome hivi hivi.Ndugu wa mume walikuwa hawampendi
Umejuaje kama ni mchaga....??maskini dada mzuri wa kichaga ameenda zake
Kwanini unasema haya uliyoyanena...??Alikuwa MCHAGA WA MACHAME? wamemuwahi. Sio rahisi mtu achukue kisu akuchome hivi hivi.
Wewe ni ndugu yake?Ndugu wa mume walikuwa hawampendi
Kwa hiyo hawampendi tu ndio wakaamua kumchoma kisu? Kwa hiyo kama mimi ni shabiki wa Yanga na siwapendi wale wa Simba ndio niwachome kisu?Ndugu wa mume walikuwa hawampendi