Mwalimu Shule ya Msingi, Flora Mariki auawa kwa kuchomwa kisu na mtoto wa shemeji

Mwalimu Shule ya Msingi, Flora Mariki auawa kwa kuchomwa kisu na mtoto wa shemeji

Unakuta kaka wa watu alikuwa analipia school fees madogo zake, anamkumbuka kila mwisho wa mwez mama yake walau kwa chumvi, gafla wanaanza kuvuna sabab na excuses zisizoisha hapo lazima kikao kikaliwe mafigani na kuanza kusaka chanzo cha tatizo
Ndipo anatokea Kunta Kapten Meja General Manyota mmoja wa familia anaikomboa familia kwa kumrest In pisi adui😃
 
....Umekurupushwa Mkuu? Mwalimu wa Shule Gani??
RIP Mwalimu.
Sababu ilikuwa nini hadi kuchomwa Kisu na Shemeji yake?....hadi ndugu zake wazuiwe kushiriki Msiba wa Ndugu Yao???
 
Ndipo anatokea Kunta Kapten Meja General Manyota mmoja wa familia anaikomboa familia kwa kumrest In pisi adui[emoji2]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2] japo ni majonzi ila umenichekesha sana, na usichezee mama ambae ana jeshi, mama akisha laumu tu basi watoto huumia sana moyoni na kuamua kurescue Mungu wao wa pili Duniani.

Hapo huwa lazima kinuke tu
 
Kwa hiyo inaonekana mke kawa tishio kwa ndugu walazimisha misaada wakaja na mwafaka wa kuua, wana uhakika hiyo approach itawasaidia au itazidisha chuki, visasi na kuna uwezekano wa watu kwenda kunyea debe.
 
suala la kujiuliza kwa nn mara nyingi wahanga wa kuuliwa wanakuwa wanawake ktk maisha ya ndoa?
wanawake jitafakarini na mchukue hatua sahihi kwa wakati sahihi, vinginevyo kila siku tutaendelea kushuhudia mauaji yakiendelea.
1. kabla hujaingia kwenye mahusiano jiridhishe kiasi cha kuondoa shaka juu ya mwenza wako na familia yake, angalau jua historia yake ya nyuma, tusinogewe na mapenzi tu tukasahau uhai, n.k
pole kwa wafiwa.
 
Wakiingia kwenye familia wana akikisha wanaziba mipenyo ya kusaidia ndugu..
Ova
Dah kuna mshua wangu ameoa Mpare asee huyu mshua ana mkwanja mbaya mbovu na position nzuri tu ya kuweza hata kuwapa ndugu ajira ila kusaidia anasaidia upande wa mkewe tu mama.e

Nimekuja kuamini uchawi kwenye mapenzi upo.
 
Back
Top Bottom