Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache watamalizwa wala hawajifunzi kutoka kwa wengine. Mtu umeshaona hutakiwi tena bado unaendelea kuishi pale kisa mali.Mimi nadhani hii Sheria ya "tumechuma wote" ingekuwa reviewed, halafu Mwanamke anapewa "first priority" ni hatari sana, dada zangu hawaelewi!!
Inawezekana labda mume na mke walikuwa walimu wakajifanya wanabana matumizi siunajua maisha ya maticha yalivyo na wanapenda kujinyima sana.Ifike mahali mtu unapoona migogoro isyotatulika ndani ya familia ni bora ujiondokee, naamini huyu dada hajauliwa from no where, its either kulikua na mgogoro wa muda mrefu usiotatulika ambao sasa umepelekea mauti yake
Halafu alikua anaishi kwenye nyumba ya familia na extended family, aliona ugumu gani kwenda kupanga na mumewe sehemu tofauti, ingesaidia kuepusha migogoro isyo na maana, au kama mume nae alikua sehemu ya mgogoro na wameshindwa kutatua ni heri angeondoka
Hawa watakuwa ni Wakibosho. Si bure.Mwalimu wa shule ya msingi Flora Mariki ameuawa kwa kuchomwa visu na mtoto wa shemeji yake tukio hilo limetokea jijini Dar es salaam Tabata Segerea.
Mtoto wa shemeji ni binti wa miaka 21 pia familia wanataka kuficha ushahidi ndugu wa mwanamke wamekatazwa kushiriki msiba.
Daah Mkuu nakubaliana na ww.Binafsi mkuu yaani rings za Kama mtt fulani ama sanamu za Michelin lile
Alieua kumbe ni binti? Mimi nilijua alieau ni kijana
Mungu awatie nguvu kwa kweli
Dah, halafu nimepata mchumba mkibosho...ngoja nitafakari haya maneno.Sure mkuu yaani mchaga kuishi na ndugu zako ni kazi sana Sana. Ila Sasa yeye wa kwao poa Sana mpaka na mitaji anataka uwape ya biashara. Ukikataa anakutanguliza eternal home.
Kuna mmoja ivi anaishi na ndugu wa mke Kama watatu ivi Ila mme hakuna hata mmoja wanafukuzwa kuwa ni wezi hapo mbezi temboni..
Kwa kweli. Asingemchoma bila sababu. Great thinkers tulihisi habari ilikuja nusu. Sasa tumepata picha.Nasikia Marehemu alikuwa anazuia binti aliyemchoma kisu asiende kuongea ukweli kama anachepuka na boda,Marehemu alimrushia chupa binti kichwani,binti akajibu mashambulizi kwa kumchoma kisu.
View attachment 1806296
Haahaa hahaa machinga boy umeona hii shida ya kushinda na kulala kwa dada zako?[emoji16][emoji16]....full kunifatilia, mara mtaji wa madini mara tecno[emoji1745][emoji1745]... Mwanaume kamili hawezi kuwa na hii tabia umesikia juma lokole?Acha show off za mitandao ilihal unadanga tu,
Niliona post umepewa garama za biashara ya madini ukaambiwe uwe na 15M bado ukahaha eti nyingi.
Kelele nyingi kama chiriku haKuna kitu.
Duhhh..Ndugu wa mume wana chuki tu basi na unakuta ata wengine hamjuani lakini anakuchukia bila sababu.....
Daa yaani bana itabidi Tuwe pamoja tywe tunapeana kazi mkuu. Afu na huyu mdada alikuwa ni mzuri balaa. Yaaani naweza nikaishi naye huko zenj ama bagamoyo mwezi mzima mmejificha tu ndani. Ni mwendo wa simu mnatoa Oda. Sema waweza kuta huko chini asiwe Kama anavyoonekana anakataga stimu ni balaa aisee.Daah Mkuu nakubaliana na ww.
Wanawake wenye shingo za hivyo huwa nawachukulia kiupekee sana.
Nakuomba usiogope mkuu. Omba Mungu Mana kila binadamu Ana namna alivyoumbwa. Sema mie nachojua Kuna wanaume wengi Sana wa kichaga hawali chakula Cha wake zao wakianza kuwashtukia. Wengine wanajenga mke hajui Ila wamepanga tu.Dah, halafu nimepata mchumba mkibosho...ngoja nitafakari haya maneno.
Huyo joyce yondo sister atawasaidia nini?sheria itachukua mkondo wake bila hata kulazmisha kupaza sauti,kesi ya mauaji haiepukikiNimeona kwa Joyce kiria wanasema huyo dada alikua anaishi kwenye nyumba ya familia yaani ni extended family,jamaa alioa na kwenda kuishi na mke hapo nyumbani kwao ambapo pia wanaishi ndugu wengi wa mume na watoto wao
View attachment 1806094
Dada joy hyu binti anaitwa Flora kuna kingine Vick Marik mzaliwa wa Rombo ila ameolewa dar anaish extended family ameuawa na mtoto wa shemeji yake juzi wakat wanamkimbiza hos akafariki tupinge ukatili wa kijinsia jamani.Tupaze sauti
Dada Joy taatifa za kuuwawa kwa ndugu yetu Florah Mariki ni kweli kabisa ameshambuliwa na visu na ndugu wa mume msiba upo Tabata segerea na upande wa mume hawatupi ushirikiano tujue chanzo ni nini. Binti aliyemshambulia ndugu yetu na visu huyu hapa anayo miaka 22 ni mtoto wa shemeji yake. Ndugu yetu aliyeuawa ni huyu naomba utusaidie kisheria kupaza sauti.” TUUNGANE PAMOJA KUKEMEA ONGEZEKO LA UKATILI MAJUMBANI.
inakuwaje mashosti wanadai haki badala ya ndugu wa mwanamke
Yaani Mkuu Daah, Ww ni mimi kabisa wengi wao wabovu dizain flan kwa chini ila wana muonekano bomba sana na roho ya huruma.Daa yaani bana itabidi Tuwe pamoja tywe tunapeana kazi mkuu. Afu na huyu mdada alikuwa ni mzuri balaa. Yaaani naweza nikaishi naye huko zenj ama bagamoyo mwezi mzima mmejificha tu ndani. Ni mwendo wa simu mnatoa Oda. Sema waweza kuta huko chini asiwe Kama anavyoonekana anakataga stimu ni balaa aisee.
Si mwalimu wa shule ya msingi Flora mariki? Ama mi ndo sijaelewa jina la shule ?....Umekurupushwa Mkuu? Mwalimu wa Shule Gani??
RIP Mwalimu.
Sababu ilikuwa nini hadi kuchomwa Kisu na Shemeji yake?....hadi ndugu zake wazuiwe kushiriki Msiba wa Ndugu Yao???
Au pisi kali siku hizi ni dress codes ??Aisee kweli tuna fleva tofauti.
Dah. Hao watu ni hatari sana.Nakuomba usiogope mkuu. Omba Mungu Mana kila binadamu Ana namna alivyoumbwa. Sema mie nachojua Kuna wanaume wengi Sana wa kichaga hawali chakula Cha wake zao wakianza kuwashtukia. Wengine wanajenga mke hajui Ila wamepanga tu.
Unakumbuka yule mchaga alikodi majambazi wakaue mmewe kule dumila miaka fulani. Mme alikuwa mkikuyu baadaye simu yake ikasikika hamjammaliza tu huyo fala. Yaani bana ji changamoto Sana.
Sema wanakuchangamsha Mali utazipata sema Sasa hapo ndo timbwili linaanza mkuu.
Wakibosho katika kabila zote za kichaga wao kisu mkononi Sana pamoja na bangi wale marasta ndo kwao huko.
Hatahivo njia zilizopelekea kifo ndg hazizuii upande wamumewake(mumewe mwenyewe kusimamia mirathi na ikitoka yeye na watotowake ndo wanufaika wengi(yeye na watoto),kwa baba mkwe kama wapo sawa watapata kama yupo atapata kama hawapo basi tena,kikubwa wanawake ishini upya nahao watoto ndg au hatawasaidiziwenu wandanSasa hata kama ndugu za huyu Mwalimu wasipopewa ushirikoano na hio familia iliyotuhumiwa kwa mauaji, Kwani sheria hazitachukuliwa dhidi yao? Hapo baadhi ya watu kwenye hio familia wanaenda Ngome muda si mrefu.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app