Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Hizi Mambo zilinifanya nisioe Kanda iyo. Yaani mie niwe na Mali jamani nisaidie ndugu zangu na huku nikianza kutoa funza ndio wako pembeni yangu jamani. Yaani basi tu ndugu ni ndugu Ila mke aweza sepa wakasema kuwa huyu alikuwa ni mke wa fulani Ila undugu haufutikiDah kuna mshua wangu ameoa Mpare asee huyu mshua ana mkwanja mbaya mbovu na position nzuri tu ya kuweza hata kuwapa ndugu ajira ila kusaidia anasaidia upande wa mkewe tu mama.e
Nimekuja kuamini uchawi kwenye mapenzi upo.