Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Nimeona kwa Joyce kiria wanasema huyo dada alikua anaishi kwenye nyumba ya familia yaani ni extended family,jamaa alioa na kwenda kuishi na mke hapo nyumbani kwao ambapo pia wanaishi ndugu wengi wa mume na watoto wao
Dada joy hyu binti anaitwa Flora kuna kingine Vick Marik mzaliwa wa Rombo ila ameolewa dar anaish extended family ameuawa na mtoto wa shemeji yake juzi wakat wanamkimbiza hos akafariki tupinge ukatili wa kijinsia jamani.Tupaze sauti
Dada Joy taatifa za kuuwawa kwa ndugu yetu Florah Mariki ni kweli kabisa ameshambuliwa na visu na ndugu wa mume msiba upo Tabata segerea na upande wa mume hawatupi ushirikiano tujue chanzo ni nini. Binti aliyemshambulia ndugu yetu na visu huyu hapa anayo miaka 22 ni mtoto wa shemeji yake. Ndugu yetu aliyeuawa ni huyu naomba utusaidie kisheria kupaza sauti.” TUUNGANE PAMOJA KUKEMEA ONGEZEKO LA UKATILI MAJUMBANI.
inakuwaje mashosti wanadai haki badala ya ndugu wa mwanamke

Kwa hiyo inaonekana mke kawa tishio kwa ndugu walazimisha misaada wakaja na mwafaka wa kuua, wana uhakika hiyo approach itawasaidia au itazidisha chuki, visasi na kuna uwezekano wa watu kwenda kunyea debe.