Mwalimu wa Kanisa ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti

Mwalimu wa Kanisa ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti

Inasikitisha sana kijana miaka 22 unakwenda gerezani miaka 30 kwa tamaa za kijinga sana. Namuona katika gharika huyo kijana. Jela pasikieni ni nusu jahanam.
 
Ingekuwa ni ustadh wa madrasa tungeona mtiririko mrefu lakini mwalimu wa kanisa kimyaaa.
Tranding ya matukio nayo inachangia usilalamike sana.
Ila kiujumla haijalishi wewe ni una iman gan unapofanya jambo la kipumbavu lazma lisemwe na kukemewa
 
Mama mwema na mpole, Samia Suluhu Hassan, ampe msamaha kama alivyofanya kwa wengine siku za kwanza za Urais wake.
Angekuwa mtoto wako ndio kafanyiwa hvyo ungejiskiaje kumuona mhusika mtaan baada ya akipewa msamaha? Vip hali ya mtoto wako atakayo kuwa nayo atakapo ona mtu aliemfanyia hicho kitendo
 
Angekuwa mtoto wako ndio kafanyiwa hvyo ungejiskiaje kumuona mhusika mtaan baada ya akipewa msamaha? Vip hali ya mtoto wako atakayo kuwa nayo atakapo ona mtu aliemfanyia hicho kitendo
Sio mimi.

Ni Mama Suluhu Hassan ndio anatoa misamaha kwa serial rapists and killers.

Ampe msamaha na huyu.
 
Back
Top Bottom