Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Tranding ya matukio nayo inachangia usilalamike sana.Ingekuwa ni ustadh wa madrasa tungeona mtiririko mrefu lakini mwalimu wa kanisa kimyaaa.
Angekuwa mtoto wako ndio kafanyiwa hvyo ungejiskiaje kumuona mhusika mtaan baada ya akipewa msamaha? Vip hali ya mtoto wako atakayo kuwa nayo atakapo ona mtu aliemfanyia hicho kitendoMama mwema na mpole, Samia Suluhu Hassan, ampe msamaha kama alivyofanya kwa wengine siku za kwanza za Urais wake.
Sio mimi.Angekuwa mtoto wako ndio kafanyiwa hvyo ungejiskiaje kumuona mhusika mtaan baada ya akipewa msamaha? Vip hali ya mtoto wako atakayo kuwa nayo atakapo ona mtu aliemfanyia hicho kitendo
mshafukua
ingekua ni mkobazi amefanya hivi, siredi ingegonga page ya 100 sasaKuna watu wajinga sana wanapenda kuleta mada za kuwagawa watanzania na kuleta chuki za kidini miongoni mwao ni huyu mpumbavu Azarel
ingekua ni mkobazi amefanya hivi, siredi ingegonga page ya 100 sasa