Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

T
Tunaomba picha full ya huyu mwalimu wa kike, Witness.Unamnyima mwl mkuu unategemea nini? Halafu unajifanya kuchonga eti simtaki na nimeshampiga chini mara oooh, amenitongoza.Kwani ukitongozwa ni lazima utangaze au unataka uonekane special? Hivi PJ na Aunt Lindi Kuna chemistry gani? Sam ni shida
 
Kabla ya kuhukumu siku zote ni vema kusikiliza upande wa pili........
No matter the situation....
No, hata kama Witness alisema neno lolote ambalo (labda) lilimuudhi huyo mwalimu mkuu, bado hakupaswa kuchukua hatua yoyote ya kudhuru mwili. Alipaswa kufuata taratibu na sheria. Mwalimu mkuu anatakiwa awe mfano bora kwa walimu na wanafunzi, badala yake anakuwa mtovu wa nidhamu! Huyu kweli alipata mafunzo kupitia vyuo vyetu? Je, wanafunzi na walimu katika shule yako ( kama mwalimu mkuu), watajifunza nini toka kwako? Jitafakari kwanza mwenyewe kabla hujachukuliwa hatua.
 
Usikute huyo mwalimu alikuwa anapigwa β€˜mtungo’ na hao vijana3, itakuwa vizuri kama na mwl mkuu hasira na yeye akiweka hazaran sababu ya kutoa kichapo…..
 
Pole kwa mwalimu Witness
Kumpiga mwenzio haikubaliki hata awe mke wa ndoa, vyovyote vile itakavyokuwa.

Lakini tuelezeni ikiwa mwalimu mkuu sio kichaa kwanini aliamua kumpiga Witness na sio kumpiga mwalimu mwingine?
Mwalimu mkuu sio kichaa bali wivu wa mapenzi unahusika
 
Kwa hii Picha tu hapa ya huyu Mwalimu ( Mwanamke ) aliyepigwa na Mwalimu Mkuu ( Mwanaume ) nitakuwa wa mwisho Kutokuamini kuwa sababu Kuu na ya Msingi ni 'Mbunye' na hakuna kingine na tusipotezeane muda katika Kulihoji.

Na ifike muda sasa Wanaume tuambiane Ukweli ni Ushamba ( Umbwiga ) na Upumbavu ( Upopoma ) kudhani au Kuhalalisha kuwa kila Mwanamke utakayemtongoza tu hata kama una Cheo na Pesa basi ni lazima akupe 'Mbunye' yake.

Wewe ni nani usikataliwe? Anakataliwa GENTAMYCINE tena Mtoto wa Mjini ( Down Town ) kabisa utakuwa Wewe uliye Kijijini ( Mashinani ) huko? Mkiambiwa Siku moja moja Nyege zikiwapanda muwe mnapunyetika ( mnapiga Nyeto ) ili kuwa sawa au kununua 'Malaya' Kimtindo hamtaki matokeo yake mnanyimwa 'Mbunye' na mnaishia kumaliza Hasira zenu kwa Kupiga na Kujeruhi Watoto wa Watu.

Huyo Mwalimu Mkuu apimwe tu Akili!!!
 
kupiga) unless ulikuwa katika struggle ya kuokoa maisha yako.
....nikweli lakini tutajuaje la Wit alikuwa anaandaa kikosi kazi (wasichana watatu) kummaliza mwalimu Hasira(jokes).
===
Uonevu na provocation ili mtu atende kosa havikubaliki (serious)
 
Mh!
 
Kwa hii sura ya witness inaonekana amekula hela za boss wake na kisha kumchanganya kimapenzi na boda boda πŸ˜‚ na baada ya kuulizwa akajibu fyoko kama kawaida yao wanawake, hali iliyopelekea kipigo cha mbwa koko!
Ukisikia mtanzania mpe muhutasari tu habari atamalizia yeye ndo hii..πŸ˜‚
 
Ungempa mzigo tuπŸ˜… maana huo ulegi sio kitoto
 
Uyu mwalimu wako mkuu makalio ya shangazi yake
 
Aulizwe huyo mwl witness wananini kilichojificha ambacho wengine hawakijui, mkuu atoke na kumpiga tu au ni kanyumba kadogo kwa mkuu? Pole yake lakini afuate sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…