Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

Hapana
Tusiitetee busara kama kigezo cha kuhalalisha kosa ama nia ya kutenda kosa.

Hapo kuna kesi mbili.
1. Kujeruhi
2. Kutishia kuua

Naamini kwamba endapo huyo gaidi atapata nafasi tena anaweza akamuua huyo mwalimu mwenzake hata kwa mbinu nyingine.

Tuendelee kusubiri polisi wakishamalizana na CHADEMA labda watashughulikia hili suala
 
Atakuwa alimkatalia.

Sasa mwalimu mkuu ngoja ukawe mkuu ukuu vile hauna akili
 
tatizo la wanawake wa sikuiz wanatumia uanamke wao kama point of weakness, kujivimbisha na kuleta kiburi na madharau, wakijua watatetewa na sheria au mamlaka iliyopo.

Hapo hakuna cha mswalia mtume, sheria ichukue mkondo wake kwa usawa na wote wawajibishwe kwa kadri ya makosa yao.
 
Pamoja na hayo lakini hakumpi mwanaume yoyote haki ya kujichukulia sheria mikononi mwake. Huyo Mwalimu Mkuu anaweza kabisa kupoteza kazi ná kuishia lupango akabaki na majuto mjukuu.

 
Nyooo si nilikuwa navaa za chini ya magoti si zinaruhusiwa? Sasa hivi najipigia kimini na guu langu la bia utaniambia nini?
 
Hongera kwa kujikomboa kutoka utumwani. Headmaster anayo mamlaka ya kumsimamia ufundishaji wa mwalimu wake darasani?
Kuna wakaguzi wanakujaga naxwanatoaga taarifa, yeye tulikuwa tumetofautiana ndo akaamua kunifanyia hivyo.thank God nilikuwa namzidi kinge hata pale natoka nilinyooka ka kinge kazuri nikatoka nanina zake
 
Sio kesi 2 tuu mkuu; bali ongezea 3.Kudhalilisha (si alimshika bila ridhaa yake wakati anampiga? si alimpiga mbele ya wanafunzi wake?)
4. Kusababisha uvunjifu wa amani mahali pa kazi (Sheria, Kanuni na Maadili ya mahali pa kazi zinakataza kabisa kupigana au kufanya ghasia na fujo mahali pa kazi)
5. Kukiuka na kuonesha mfano mbaya kabisa wa Utovu wa Nidhamu wa kiwango cha juu Shuleni kwake. - Hafai tena kabisa kuitwa Mwalimu ila ni Mbabe.
6. Kusababisha Hasara ya mali na Muda Shuleni - si Shule nzima na Wanafunzi iliingiwa na Taharuki?Kutakuwa kuna vitu vilivunjika/haribika e.g. meza, viti n.k. wakati wa tukio.
Hapa naona kama vile malaika wake tena naye ameandika Usiue, Usizini,Usimtamani mwanamke asiye kuwa Mke wako, Usimtendee mwenzako kile ambacho wewe hupendi kutendewa- mpende jirani yako kama nafsi yako.........😭
 
Nyooo si nilikuwa navaa za chini ya magoti si zinaruhusiwa? Sasa hivi najipigia kimini na guu langu la bia utaniambia nini?
Hey! wacha bhana..mtoto wa kike.com au siyo?🤣🤣
Lakini mwenzio huko keshapewa mwanya kwa nguvu.
 
Hii pisi lazma walinguana tu kwenye mambo yetu yale!
 
...lakini sababu nini? Haiwezekani Mwalimu wa Kiume akatoka huko aliko navkumpa kisago Mwalimu mwenzake wa Kike bila sababu! Kamkataa?
 
Huu ni uhuni mwalimu mkuu kushusha kipondo kwa mwalimu mwenzake, nikiwa kijana mdogo na mgeni kwenye ajira ya ualimu mwalimu mkuu alileta za kuleta kwangu halafu ni mtu mzima kwangu alinikwinda shati ili anipe kichapo mbele za wanafunzi na walimu, ilibidi nami nikunje ngumu kulinda heshima yangu kwa wanafunzi na walimu wenzangu. TSD wanapaswa kuwawajibisha kinidhamu walimu wanaodhalisha wenzao ikiwemo adhabu ya demotion kabla ofisa elimu kuamua huo utovu wa nidhamu kazini.
 
Daaaaah
 
Ni kama ukoo wa Matumla, awe Matumla wa kike au kiume lazima awe mwanamasumbwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…