Mwalimu wa Madrasa apandishwa Kizimbani kwa tuhuma za kuwachapa fimbo (Ukatili) wanafunzi wa madrasa

Mwalimu wa Madrasa apandishwa Kizimbani kwa tuhuma za kuwachapa fimbo (Ukatili) wanafunzi wa madrasa

Mwl wa illmu ahera anaonewa. Alikuwa anatoa ujinga kwa wanaadamu.
Wakristo kushika dini hatupigwi hata siku moja tukifundishwa dini lakini tunaijua dini vizuri kwa hiari na furaha kubwa

Uislamu unatumia viboko na nguvu kutaka watu wajue dini yao hakuna hiari wala mtu kupenda
 
Sijaona kosa la huyo mwalimu. Waliompeleka mahakamani ni maadui wa maadili kwa watoto. Ila Waalimu kwa sasa wangeachana tu na ishu za kuchapa watoto kwa sababu jamii imeshakubali watoto wasiwe na maadili. Kila mtu abebe msalaba wake.
well said!!!
 
Sio kweli ndo maana watoto wengi hawana maadili lazima waadhibiwe
Uongo wasio na maadili wengi watoto wa kiislamu

Mume unakuta ana wake wanne leo anaenda kaa kwa fatuma ,kesho kwa Hadija keshokutwa kwa mwanaidi nk

Watoto wanakosa ulezi wa karibu wa baba na mama zao wakichefukwa na huyo mwanaume wanaachia watoto wajilee wenyewe mabarabarani huko huku wao wakipuyanga mchepuko huko
 
Wakristo kushika dini hatupigwi hata siku moja tukifundishwa dini lakini tunaijua dini vizuri kwa hiari na furaha kubwa

Uislamu unatumia viboko na nguvu kutaka watu wajue dini yao hakuna hiari wala mtu kupenda
Fatilia historia ya kusambaa kwa ukristo acha kelele.

Ukristo hata kutafsiri bibilia watu walifanya harakati kama za chadema😀😀😀na kuna walionyongwa unasema nini wewe.Hizi dini zinawatoa mishipa wajinga wajinga ila watu smart wanajua dini zote zimesambaa ila kwa ncha ya upanga na umwagaji damu wa kumithilika.

Punguza mahaba niuwe rudi shule usome vizuri historia mpaka hiyo dini yako inakufika watu wangapi walikatwa vichwa kijana🤝
 
Fatilia historia ya kusambaa kwa ukristo acha kelele.

Ukristo hata kutafsiri bibilia watu walifanya harakati kama za chadema😀😀😀na kuna walionyongwa unasema nini wewe.Hizi dini zinawatoa mishipa wajinga wajinga ila watu smart wanajua dini zote zimesambaa ila kwa ncha ya upanga na umwagaji damu wa kumithilika.

Punguza mahaba niuwe rudi shule usome vizuri historia mpaka hiyo dini yako inakufika watuvwangapi walikktwa vichwa kijana🤝
Mimi na ukoo wangu Ukristo hatkuupokea kwa upanga

Ila uislamu hadi leo wanaamini kwenye matumizi ya nguvu mtoto kujua dini

Sifa kuu maustaadhi uchwara wengi wanaamini ustaadhi lazima awe na fimbo vinginevyo somo halitaingia kwa watoto.anaamini fimbo ina uwezo wa kuingiza dini ndani ya kichwa cha Mtoto kuliko hata Alllah mwenyewe
 
Fuatilia historia ya kanisa la Roma ujue ukatili waliowahi kuufanya.
 
kama unataka kujua Ugumu wa kusoma dini ya kiislamu kawaulize mapadri maana wao hakuna siku utasikia wanatusi dini za wengine manaa wamesoma na wanajua yooote wewe usiyoyajua.

Uache hiyo tabia ya kutoa kashfa hovyohovyo sidhani kama wale viongozi wenu waliokula vitabu kwa miaka zaidi ya 9 ndo wanawafunza kueneza chuki.

Dini usipoielewa itakuendesha sana.Jifunze kukubali kutokukubaliana.
 
Fuatilia historia ya kanisa la Roma ujue ukatili waliowahi kuufanya.
Hawa watu wasioelewa vitu ni mtihani labda tusaidizane kuwafunza mambo.Huyu sidhani kama anaelimu zaidi ya diploma😄😄😄.

Uwezo wake wa kuengage na jamii ni mdogo mithili ya punje ya mchele.
 
Binafsi nimeangalia clip hiyo, sijaona kosa lolote. Tanzania kama tumeoitisha sheria ya kutoadhibu watoto shuleni waseme
Isitoshe hapo ni Madrasa ya kidini ambayo ruhusa kuchapa, na ukimwangalia hachapi kwa lengo la kudhuru

Nabii Suleiman anasema
Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; Lakini fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali.

Mithali 22:15
Hebu toa ujuha wako hapa. Huyo sulemani unamjua?
 
Mwalimu wa Madrasa, Musa Bashiru Musa (24) ambaye kipande cha picha jongefu (video) kilisambaa katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha akiwapiga fimbo za mikononi wanafunzi wake, amepandishwa kizimbani kujibu tuhuma zake.

Musa ambaye ni mkazi wa Mbagala Kiburugwa, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke na kusomewa mashtaka mawili ya kuwafanyia ukatili watoto wa madrasa, kinyume cha sheria.

Mwalimu huyo amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano, Februari 19, 2025 na kusomewa mashtaka yake na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Rabia Ramadhani akisaidiana na Nicas Kihemba, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Vick Mwaikambo.

Seriakli hii ina mambo ya ovyo sana. Tangu lini serikali ikaingilia masuala ya dini?
 
Back
Top Bottom