Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wq sasa hivi sio wa kupiga hata kama ni mwanaoNasemea sheria za Tz. Hakuna fimbo zimefutwa? Bunge gani
Well saidBinafsi nimeangalia clip hiyo, sijaona kosa lolote. Tanzania kama tumeoitisha sheria ya kutoadhibu watoto shuleni waseme
Isitoshe hapo ni Madrasa ya kidini ambayo ruhusa kuchapa, na ukimwangalia hachapi kwa lengo la kudhuru
Nabii Suleiman anasema
Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; Lakini fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali.
Mithali 22:15
Hili ni tatizo la utumwa wa kifikra. Hatuwezi kuwa na watoro wasioweza kuadhibiwa.Inasikitisha sana. Huko Marekani mitoto inaua wenzao kwa silaha za wazazi wao chanzo kikiwa ni ukosefu wa maadili na sheria za hovyo. Waafrika tunaacha maadili yetu mazuri na kufuata za magharibi zilizofeli.
30,000,000/= sio ndogo unajuaSijaona kosa la huyo mwalimu. Waliompeleka mahakamani ni maadui wa maadili kwa watoto. Ila Waalimu kwa sasa wangeachana tu na ishu za kuchapa watoto kwa sababu jamii imeshakubali watoto wasiwe na maadili. Kila mtu abebe msalaba wake.
Nipe mwanao nimshushie mvua za bakora kama huyo jamaa hapo kwenye video, Tuone kama hatakufa.Hili ni tatizo la utumwa wa kifikra. Hatuwezi kuwa na watoro wasioweza kuadhibiwa.
Copral punishment ni lazima. Na kuchapa sio kuua mtoto
Nabii Suleimani a.w anasema
Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.
Mithali 23:13
Mwalimu wa Madrasa, Musa Bashiru Musa (24) ambaye kipande cha picha jongefu (video) kilisambaa katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha akiwapiga fimbo za mikononi wanafunzi wake, amepandishwa kizimbani kujibu tuhuma zake.
Musa ambaye ni mkazi wa Mbagala Kiburugwa, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke na kusomewa mashtaka mawili ya kuwafanyia ukatili watoto wa madrasa, kinyume cha sheria.
Mwalimu huyo amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano, Februari 19, 2025 na kusomewa mashtaka yake na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Rabia Ramadhani akisaidiana na Nicas Kihemba, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Vick Mwaikambo.
Kwahiyo unatembea kama Yale Ma-fiat 😀Kuna afande mmoja pale Makongo sec alikuwa anaitwa Afande Miraji (RIP) alinitandika fimbo kama anaua nyoka kiuno kilikaa wiki hakijaunga.vyema.
Y note x note unazikumbuka mkuuBila uwepo wa wazungu hapa duniani.
Waarabu na waafrika wange vuruga kabisa Amani ya dunia.
Zimefutwa shuleni na sio madrasaFimbo zimefutwa kwa sasa ni vile wengi hawajui ,mimi nishawahi kupigwa vimbo thelathini shuleni enzi hizo ,tena ilikuwa sio peke yangu ni karibia darasa zima kwa kosa la kuandikwa matusi.
Wanawake wanne walizimia walikuwa wana asili ya half cast ila hawa weusi walivumilia...Kwa sasa mambo ya kuchapana ni hatari sana hat sheria za kimataifa hazitaki.
Sio kweli ndo maana watoto wengi hawana maadili lazima waadhibiweSafi kabisa.
Haya mavaa kobazi lazima yadhibitiwe.
Dunia ipo kwenye kuwafunza watoto teknolojia, Yenyewe yapo bize kukaririsha watoto kiarabu na hekaya za vitabuni.
Fimbo mashuleni hazijafutwa.Zimefutwa shuleni na sio madrasa
Aliyekwambia maadili yanaletwa kwa adhabu ni nani?Sio kweli ndo maana watoto wengi hawana maadili lazima waadhibiwe