Wakristo kushika dini hatupigwi hata siku moja tukifundishwa dini lakini tunaijua dini vizuri kwa hiari na furaha kubwaMwl wa illmu ahera anaonewa. Alikuwa anatoa ujinga kwa wanaadamu.
Kwa hiyo kuna aliye kufa hapo?Nipe mwanao nimshushie mvua za bakora kama huyo jamaa hapo kwenye video, Tuone kama hatakufa.
well said!!!Sijaona kosa la huyo mwalimu. Waliompeleka mahakamani ni maadui wa maadili kwa watoto. Ila Waalimu kwa sasa wangeachana tu na ishu za kuchapa watoto kwa sababu jamii imeshakubali watoto wasiwe na maadili. Kila mtu abebe msalaba wake.
Don't comment if your brain is not mentally enough for reasoning.Kwa hiyo kuna aliye kufa hapo?
Uongo wasio na maadili wengi watoto wa kiislamuSio kweli ndo maana watoto wengi hawana maadili lazima waadhibiwe
Fatilia historia ya kusambaa kwa ukristo acha kelele.Wakristo kushika dini hatupigwi hata siku moja tukifundishwa dini lakini tunaijua dini vizuri kwa hiari na furaha kubwa
Uislamu unatumia viboko na nguvu kutaka watu wajue dini yao hakuna hiari wala mtu kupenda
Come again.Y note x note unazikumbuka mkuu
Mimi na ukoo wangu Ukristo hatkuupokea kwa upangaFatilia historia ya kusambaa kwa ukristo acha kelele.
Ukristo hata kutafsiri bibilia watu walifanya harakati kama za chadema😀😀😀na kuna walionyongwa unasema nini wewe.Hizi dini zinawatoa mishipa wajinga wajinga ila watu smart wanajua dini zote zimesambaa ila kwa ncha ya upanga na umwagaji damu wa kumithilika.
Punguza mahaba niuwe rudi shule usome vizuri historia mpaka hiyo dini yako inakufika watuvwangapi walikktwa vichwa kijana🤝
Fuatilia historia ya kanisa la Roma ujue ukatili waliowahi kuufanya.Mimi na ukoo wangu Ukristo hatkuupokea kwa upanga
Ila uislamu hadi leo wanaamini kwenye matumizi ya nguvu mtoto kujua dini
Sifa kuu maustaadhi uchwara wengi wanaamini ustaadhi lazima awe na fimbo vinginevyo somo halitaingia kwa watoto.anaamini fimbo ina uwezo wa kuingiza dini ndani ya kichwa cha Mtoto kuliko hata Alllah mwenyewe
kama unataka kujua Ugumu wa kusoma dini ya kiislamu kawaulize mapadri maana wao hakuna siku utasikia wanatusi dini za wengine manaa wamesoma na wanajua yooote wewe usiyoyajua.Mimi na ukoo wangu Ukristo hatkuupokea kwa upanga
Ila uislamu hadi leo wanaamini kwenye matumizi ya nguvu mtoto kujua dini
Sifa kuu maustaadhi uchwara wengi wanaamini ustaadhi lazima awe na fimbo vinginevyo somo halitaingia kwa watoto.anaamini fimbo ina uwezo wa kuingiza dini ndani ya kichwa cha Mtoto kuliko hata Alllah mwenyewe
Hawa watu wasioelewa vitu ni mtihani labda tusaidizane kuwafunza mambo.Huyu sidhani kama anaelimu zaidi ya diploma😄😄😄.Fuatilia historia ya kanisa la Roma ujue ukatili waliowahi kuufanya.
Hebu toa ujuha wako hapa. Huyo sulemani unamjua?Binafsi nimeangalia clip hiyo, sijaona kosa lolote. Tanzania kama tumeoitisha sheria ya kutoadhibu watoto shuleni waseme
Isitoshe hapo ni Madrasa ya kidini ambayo ruhusa kuchapa, na ukimwangalia hachapi kwa lengo la kudhuru
Nabii Suleiman anasema
Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; Lakini fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali.
Mithali 22:15
Ilimu ya Mnyaaazi!Mwalim wa ilimu
Seriakli hii ina mambo ya ovyo sana. Tangu lini serikali ikaingilia masuala ya dini?Mwalimu wa Madrasa, Musa Bashiru Musa (24) ambaye kipande cha picha jongefu (video) kilisambaa katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha akiwapiga fimbo za mikononi wanafunzi wake, amepandishwa kizimbani kujibu tuhuma zake.
Musa ambaye ni mkazi wa Mbagala Kiburugwa, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke na kusomewa mashtaka mawili ya kuwafanyia ukatili watoto wa madrasa, kinyume cha sheria.
Mwalimu huyo amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano, Februari 19, 2025 na kusomewa mashtaka yake na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Rabia Ramadhani akisaidiana na Nicas Kihemba, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Vick Mwaikambo.
Hao watoto sio wakucharazwa hizo fimbo kiasi hicho. Hasa hao wakike. Angalau angechapa hata fimbo moja au mbili basi.Mbona kama anachapa kawaida tu au macho yangu?
Wanachapa hao balaaMwalim wa ilimu