Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sana kuna madrassa moja jirani na napoishi kuna situ wananyukwa haswa.Wanachapa hao balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana kuna madrassa moja jirani na napoishi kuna situ wananyukwa haswa.Wanachapa hao balaa
Mnyaazi MunguIlimu ya Mnyaaazi!
Nioneshe ni sehemu gani nimesema kila kosa mtoto apigwe?Acha nawewe ujinga. Mfano wa Serikali na kufungwa ni sawa na kosa la mtoto. Huko mahakamani kwenyewe kuna makosa ya vifungo vya nje, si kila kosa mtoto achapwe.
Ngoja nikufundishwe wewe, kuna mtoto alikuwa akichelewa shule kila siku. Anachapwa haswa, hakuna mwalimu aliyejitolea kukaa naye chini na kumhoji kwanini anachelewa ni mwendo wa viboko na adhabu za nje.
Mwalimu mpya aliyehamia hiyo shule, alikuwa na upendo sana. Aliamua kukaa na kila mtoto mwenye makosa ya kujirudia, huyu alimwambia anaishi na mama wa kambo na baba yake anaendesha magari makubwa, hayupo mara nyingi nyumbani.
Mtoto alisema anatakiwa afanye kazi zote za nyumbani, muda unakuwa unaenda akifika shule anachapwa. Ni mtoto ndiyo kaingia darasa la 5. Toka hapo wakajua tatizo lake, haya bila kuongea naye wangejua shida yake. Wakati mwingine shida si watoto ni wazazi na walezi. Wewe mtoto wako piga uwa ila jua ni mali ya Serikali.
Hahahaha kuyaelewa Yale maandishi bila viboko unaeza toka kapaSana kuna madrassa moja jirani na napoishi kuna situ wananyukwa haswa.
Takbir TakbirLazima washike Juzuu yote na Quran Tukufu ili washindee 30,000,000/= pale kwa Nkapa
Kuna ulazima gani wa kutumia lugha ile si watumie tu kiswahili.Hahahaha kuyaelewa Yale maandishi bila viboko unaeza toka kapa
Kwa nini ni lazima na nani alisema ni lazima na kwa mamlaka yapi??Copral punishment ni lazima.
Sasa unashabikia nini mtoto kuumizwa katika sehemu ya imani?Hili swali la imani sio langu labda mhusika wa tukio
Kwa hiyo huoni kama kumwadhibu mtoto hivyo ni kuvunja sheria?dini na mila zetu zisizovunja katiba na miiko ya maadili
Sasa mbona unajitoa ufahamu?Serikali imeweka sheria mtoto akikosea ahadhibiwe bila kujali yuko sehemu gani.
Lamsingi miongozo ya adhabu kwa mujibu wa sheria ifuatwe kutokana na umri na afya ya muhusika.
Viboko vinne kwa Mtoto wa miaka 5 kwenda juu ni sahihi.Sasa mbona unajitoa ufahamu?
Umri na adhabu vinavyoonekana hapo pichani vinaendana?
Hakuna sheria kama hiyo.Serikali imeweka sheria mtoto akikosea ahadhibiwe bila kujali yuko sehemu gani.
Acheni unafiki wa tanzania.Nipe mwanao nimshushie mvua za bakora kama huyo jamaa hapo kwenye video, Tuone kama hatakufa.
Hakukua na fimbo ya kumuua mtoto hapoMnaomtetea huyo mwalimu wa madrasa, je kama ndiyo tabia yake huwachapa kila mara? Watu wamemchoka ndiyo sababu wakamrekodi mtajuaje?
Kijana wa miaka 24, ila hana huruma na mtoto mdogo wa kike analia, anaendelea kumchapa na hapo mwishoni kamchapa mwilini. Huo ni ukatili, mtoto/watoto wakikosea njia si kupiga ongea nao na kuwakataza Mabaya.
Hivi mtoto mmoja angekuwa mgonjwa na alipochapwa hapo akanyooka mngesema hayo? Tujaribu kuongea na watoto zaidi ya kuwachapa. Mtoto wangu sijawahi mchapa, ila anasifiwa kila anapokuwepo kuwa ana nidhamu sana analelewa vizuri kinidhamu. Nimemuweka karibu, kirafiki na kuongea naye zaidi.
Kama watu ni rahisi kufundishika adhabu za kunyonga na viboko kwenye sheria zetu zimetungiwa nani?Mimi hata nikimuona mtu anamchapa Punda wake huwa namuonya na kumwambia huyu ndio anakufanya uende chooni na wanao kama unao, halafu unampiga akiwa kabeba mzigo mzito.
Kweli fimbo sio sababu ya kufundisha na sioni sababu zozote za kupiga
Wanangu siwachapi na wana nidhamu sana kwa sababu nawafundisha
Hawaibi wala kutukana na shuleni wako vizuri pia, wakija nyumbani wanajua wajibu wao, homework kwanza, mengine yanafuata
Kuna watu wanafikiri kupiga ni nidhamu ila utakuta wauwaji wengi ukiwahoji makuzi yao watakuambia tulikuwa tunapigwa mpaka mangumi ya kichwani
Kama wanafuatilia hivyo basi mashule wanapiga mpaka mtoto anakufa