DOKEZO Mwalimu wa S/M Kimandafu ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru amfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 siku 2 mfululizo

DOKEZO Mwalimu wa S/M Kimandafu ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru amfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 siku 2 mfululizo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Preciousvision

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2026
Posts
888
Reaction score
1,205
Shule ya msingi Kimandafu iko Halmashauri ya wilaya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha. Mwalimu moja wa shule hiyo aitwaye Stella Gunda jana asubuhi mida ya saa 2 alimfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 aitwaye Angel Frank Mbise kwa kumwambia "ondoka sikutaki ktk kipindi changu" mwanafunzi huyo aliondoka na kurudi nyumbani.

Leo asubuhi alipelekwa shuleni na mamake, hakumpatia mtoto nafasi ya kujieleza badala yake alimsingizia uwongo kuwa mtoto alitoroka shule. Baada ya uwongo mamake mtoto alirudi nyumbani. Baada tu ya mama kuondoka alimfukuza tena darasani ma mtoto huyo alishinda nje akilia muda wote.

Huu ni unyanyasaji na ukatili mkubwa na mtoto kunyimwa haki yake ya kusoma kwa siku 2, huyu mwalimu ana kiburi na dharau anaweza kufanya lolote pale shuleni kwani yeye na mwalimu mkuu aitwaye Ndida Laizer wote ni wamasai hakuna wa kumfanya kitu.

Ndida mwalimu mkuu Gunda mwalimu mkuu msaidizi. Serikali ifuatilie suala hili haki itendeke, siyo mara ya kwanza shule hii kulalamikiwa, huyu huyu mwalimu hebu serikali ifuatilie ufundishaji wake huwa anawakosesha wanafunzi anavyotaka, ana gundu mpaka na watoto wadogo?

Huyu mwalimu ana roho ya kichawi siyo bure. Kuna mambo mengi yanafanyika shule ile tunaomba serikali isaidie watoto wetu watoto wao wamewapeleka English medium ila wananyanyasa wa kwetu kwa kuwa hatuna uwezo wa kuwapeleka huko English medium? Watoto wanaosoma shule za serikali ni wa kunyanyaswa?
 
Kama ana dharau na mambo ya hovyo, ina maana nyinyi kama jamii inayomzunguka huyo mwalimu mmeshindwa ku-deal naye kabisa?
 
Wala amna haja ya kujilaumu kwamba huna uwezo wa kuwapeleka E-medium, kaeni muongee na mwalimu kama ataleta kiburi, nendeni kwa afisa elimu..
Ila kaeni muyazungumze pengine mtoto kafanya jambo la ovyo mwalimu akapaniki.

Mimi kunamwalimu alinipigaga kibao nikiwa primary, ubaya nikwamba nilikua nachezea mate mdomoni kwahyo, alivo nilamba kibao mate yote yakamuogesha usoni..
Alinichukia sana mpaka namalìza shule, ila now ni mteja wangu.
 
Nimeshangaa sana , suala dogo kama hilo nalo ni la kumuumiza mtu kichwa? huyo ni mzazi mmoja tu anatosha kabisa ku-deal naye.
Mimi mazangu mkubwa (RIP) yeye matukio kama hayo yakuwaadabisha walimu anayaweza, ila kunasiku alipata fedhea.

Dogo alikataa kwenda shule akasema ameambiwa adeki shule yote.
Maza akajikata kichwa akavaa bukta eti na akabeba panga, akafika shuleni akaanza kupiga yowe kwanini wanamuonea mtoto wake na wakati shule imejengwa na kijiji.

Alipokuja kuambiwa kuwa dogo ndio kapiga mwalimu na kumtishia kisu akarudi nyumbani na aibu.
 
Kwanza pole sana, apumzike kwa amani, lakini hii imenichekesha aisee.
 
Shule ya msingi Kimandafu iko Halmashauri ya wilaya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha. Mwalimu moja wa shule hiyo aitwaye Stella Gunda jana asubuhi mida ya saa 2 alimfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 aitwaye Angel Frank Mbise kwa kumwambia "ondoka sikutaki ktk kipindi changu" mwanafunzi huyo aliondoka na kurudi nyumbani.

Leo asubuhi alipelekwa shuleni na mamake, hakumpatia mtoto nafasi ya kujieleza badala yake alimsingizia uwongo kuwa mtoto alitoroka shule. Baada ya uwongo mamake mtoto alirudi nyumbani. Baada tu ya mama kuondoka alimfukuza tena darasani ma mtoto huyo alishinda nje akilia muda wote.

Huu ni unyanyasaji na ukatili mkubwa na mtoto kunyimwa haki yake ya kusoma kwa siku 2, huyu mwalimu ana kiburi na dharau anaweza kufanya lolote pale shuleni kwani yeye na mwalimu mkuu aitwaye Ndida Laizer wote ni wamasai hakuna wa kumfanya kitu.

Ndida mwalimu mkuu Gunda mwalimu mkuu msaidizi. Serikali ifuatilie suala hili haki itendeke, siyo mara ya kwanza shule hii kulalamikiwa, huyu huyu mwalimu hebu serikali ifuatilie ufundishaji wake huwa anawakosesha wanafunzi anavyotaka, ana gundu mpaka na watoto wadogo?

Huyu mwalimu ana roho ya kichawi siyo bure. Kuna mambo mengi yanafanyika shule ile tunaomba serikali isaidie watoto wetu watoto wao wamewapeleka English medium ila wananyanyasa wa kwetu kwa kuwa hatuna uwezo wa kuwapeleka huko English medium? Watoto wanaosoma shule za serikali ni wa kunyanyaswa?
Hii nayo ni ya kuleta jf...utaka usaidiweje?
 
wazazi wa siku hizi wako kama watoto wao,,, hayo mambo mwanafunzi anamaliza mwenyewe shuleni,,, na huyo mtoto inaonekana hapendi shule anatafuta sababu tu...
 
Shule ya msingi KIMANDAFU iko wilaya ya Arumeru Halmashauri ya wilaya ya Meru mkoa wa Arusha. Mwalimu tajwa hapo juu ni mwl mkuu msaidizi na mwl wa Hisabati darasa la 5, siku ya Alhamisi saa 2 asubuhi amlimfukuza mwanafunzi wa darasa la 5 aitwaye Angel Frank Mbise darasani ktk kipindi chake cha somo la Hisabati kwa kumwambia "Sikutaki ktk kipindi changu ondoka utoke nje" mtoto kweli aliondoka na kurudi nyumbani, mamake kuona mtoto amerudi nyumbani mapema isivyo kawaida alimhoji mwanaye kilichomsibu.

Kesho yake siku ya jana Ijumaa mama aliambatana na mwanawe shuleni kujua sababu ya mtoto wake kufukuzwa na kurudishwa nyumbani, huyu mwl katili aitwaye Gunda alimnyima mtoto nafasi ya kujieleza badala yake alimsingizia uwongo kwamba mtoto alitoroka shule na kupewa tena adhabu.

Baada ya hapo mama aliondoka kurudi nyumbani, baada tu ya mama kuondoka alimfukuza tena na kuamuru asingie kipindi chochote, mtoto alishinda nje akilia siku nzima.

Naomba serikali imsaidie huyu mtoto na kumwadabisha mwalimu husika, huyu mwalimu hakuna wa kumfanya kitu pale shuleni mwalimu mkuu ni Mmasai mwenzake ni mambo ya ukabila na ukatili shuleni. Mtu mzima km huyu mwl kumnyanyasa mtoto mdogo wa miaka 10 ni roho ya uchawi maana malengo ya uchawi ni kuharibu, kutesa na kuua. Yuko kutesa, kuharibu na kuwaua watoto wetu kielelimu na kuua future yao.

Huyu mwl ana kiburi, dharau na roho mbaya ya ubaguzi shuleni anaweza kumkosesha mwanafunzi makusudi hata km amepatia majibu sahihi ktk Hisabati au anaweza kukata tu kazi ya mwanafunzi asiisahihishe maana anajua hakuna wa kumwuliza.

Hana maadili ya utumishi wa umma. Hebu serikali isiruhusu mtumishi wa umma kukaa sehemu moja kwa muda mrefu wanajisahau hasa wakileta kujuana na kulindana kwa misingi km hii ya ukabila.
 
Baada ya hapo mama aliondoka kurudi nyumbani, baada tu ya mama kuondoka alimfukuza tena na kuamuru asingie kipindi chochote, mtoto alishinda nje akilia siku nzima. Naomba serikali imsaidie huyu mtoto na kumwadabisha mwalimu husika, huyu mwalimu hakuna wa kumfanya kitu pale shuleni mwalimu mkuu ni Mmasai mwenzake ni mambo ya ukabila na ukatili shuleni.
Huyo Mwl alisoma wapi ualimu? Ninachofahamu ni kuwa Walimu hufundishwa saikolojia na malezi ili waweze kushughulika na masuala kama hayo bila kuathiri taaluma ya mtoto

1784355994780.jpeg
 
huyo mtoto atakuwa hana adabu kama mzazi wake.
yaani mwalimu amnyanyase mwanao tu awaache watoto wengine wote.
Ikiwezekana mwalimu mkuu akutie bakora kabisa
 
Utamfukuzaje mtoto asisome? Walimu wengine wana mashaka sana. Tunaomb wachangiaji msiingize udini ktk hii mada
Huwezi kuanza kuhukumu kwa kusikiliza maelezo ambayo ndani yake yanasura ya majungu , mambo ya shuleni ni mengi sana na mamno ya hawa wanafunzi wa kizazi hiki ni mengi sana,usipo kuwa na utimamu wa akili utalaumu sana ila ukifika shukeni ukasikiliza kisa vizuri unaweza kuoata maelezo tofauti kabisa na kilicho letwa hapa, tujifunze kuchunja na kutanua fikra zetu.

Nakumbukamwaka fulani nilienda shule kufuatilia jambo fulani kuhusu mjukuu wangu, nikakutana na kesi inayo fanana na hii,bint kawawekea wenzake upupu kwenye maji ya chooni halafu kapewa adhabu kagoma, karudishwa nyumbani akaite mzazi , kufika nyumbani kasema mwalimu fulani hanipendi ananitongoza kila siku ananipiga kwa vile nimemkataa kwa hivyo mnihamishe shule ile sirudi tena mzazi anakuja kupata barua ya wito anafika shuleni anakutana na msururu wa matukio ya bint yake mbali na hilo na kuweka upupu kwenye maji ya chooni, jawa watoto wa kizazi hiki wachonganishi sana sasa voongozi wakiwa wanabeba mambo kwa mihemko wataumiza sana walimu wawatu pamoja na kwamba wapi pia walimu wengine ambao wana kiuka miiko ya kazi yao.
 
huyo mtoto atakuwa hana adabu kama mzazi wake.
yaani mwalimu amnyanyase mwanao tu awaache watoto wengine wote.
Ikiwezekana mwalimu mkuu akutie bakora kabisa
Kama sio chuki binafsi zimetawala pale, mwalimu mwenyewe wa kike au waliziguana na mama wa mtoto mtaani wamechukuliana bwana chuki anahamishia kwa mtoto, navojua kama mtoto hana adabu walimu wanajua namna ya kumuadhibu (sio hii iliyozuka masiku ya karibuni mtoto kupigwa hadi anafariki) walimu wa siku hizi sijui mafunzo yao vyuoni yamebadilika?
 
"THE CLASSROOM MANAGEMENT SECRET THAT HAS NOTHING TO DO WITH PUNISHMENT OR REWARDS."
Early in my teaching career, I believed that the best way to control a classroom was through punishment for bad behaviour and rewards for good behaviour.
It worked—but only for a short time.
Some students behaved only because they wanted a reward, while others behaved only to avoid punishment.
Then I discovered something that changed my classroom completely.
The real secret to classroom management isn't punishment or rewards. It's building relationships and creating a classroom where students want to learn and do the right thing.
WHAT GREAT TEACHERS DO DIFFERENTLY
1. BUILD RELATIONSHIPS BEFORE ENFORCING RULES
Students are more likely to respect teachers who know their names, listen to them, and genuinely care about them.
Connection comes before correction.
2. SET CLEAR EXPECTATIONS FROM DAY ONE
Don't assume students know how you expect them to behave.
Explain your classroom rules clearly, model them, and apply them consistently.
Consistency builds trust.
3. KEEP STUDENTS ACTIVELY ENGAGED
Many behaviour problems begin when students are bored.
Use discussions, group work, storytelling, demonstrations, educational games, and practical activities to keep students involved.
Engaged students are less likely to become distracted.
4. CORRECT THE BEHAVIOUR, NOT THE CHILD
Instead of saying,
"You are a troublesome student."
Say,
"That behaviour is not acceptable, and I know you can do better."
Correct with dignity and respect.
5. PRAISE POSITIVE BEHAVIOUR MORE OFTEN
Notice students who are making good choices.
Simple words like,
"Well done," "Excellent effort,"or "Thank you for being responsible," encourage others to do the same.
6. BE CONSISTENT AND FAIR
Students quickly notice favoritism and inconsistency.
Apply the same standards to everyone and be fair in your decisions.
A fair teacher earns lasting respect.
7. MODEL THE BEHAVIOUR YOU EXPECT
If you expect respect, show respect.
If you expect punctuality, be punctual.
If you expect kindness, be kind.
Students often imitate what they see more than what they hear.
The best-managed classrooms are not built on punishment or prizes—they are built on positive relationships, clear expectations, consistency, and mutual respect.
 
Back
Top Bottom