Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kueleweshwa kuhusu hizi seamoss tunauziwa kwa Sasa?? Je Ni salama kwa kiwango gani??
Asante Herbalist Dr MziziMkavu
Mlonge hauna faida yoyote ule watu wanausifia ili wapate kuuza na kupata pesa bora Mwarubaini kuliko monge.Duh hapo Dk ameshachanganya watu maana wapo waliounadi mlonge balaa
Hiyo ya kunywa mkojo mimi hapana. Mwili ukishatoa kitu basi kimeshakuwa taka mwili.Mkojo tena..!!?
Hii kali Kiongozi..!
Mkojo hauwezi kuniletea matatizo mengine kweli mkuu..?
Mmmmmmhmn nadhani hapa kuna namna ya kubalance ila sio kuacha kabisa. Kimsingi wamasai wangekuwa hawana maisha marefu na chakula chao ni nyama na damu na maziwa plus miti shamba.Hakuna Njia ya kuondoa Asidi ndani ya mlonge haufai kutumiwa kama dawa. Usile Karoti,Mchicha, mtindi, maziwa, kuku wa kizungu pamoja na mayai yake, usile nyama ya ng'ombe,nyama ya mbuzi ,nyama ya kondoo,Ugali wa Dona. Na vilivyobakia kula kama kawaida
Ndio nilikuwa sijamsoma Mwalim wangu RIP DR.SEBI. nilikuwa mjinga wa kuamini kitu pasipo na kukifanyia uchunguzi.
Dr Sebi on Moringa Mlonge sio dawa ya kutibu maradhi kwani Mlonge una asidi nyingi hauwezi kutibu maradhi yoyote yale.
Hawa watu kuna wakati ukiwasikiliza sana wanaweza kukwambia usipumue kwani kupumua kunaigiza hewa chafu mwilini.Mmmh...
Ila kuna uzi hapa jukwaani unaelezea ni namna gani mlonge unaweza kutibu maradhi mbalimbali,mmoja wa wachangiaji katika huo uzi ni wewe mwenyewe, mbona umebadili mawazo yako ghafla..?
Au kipindi hicho ulikua bado haujamsoma Dr Sebi..?
Huyu mleta uzi nae hajielewi. Dona ni unga ambao unapendekezwa na sio hatari. Dona ni unga ambao haujakobolewa nafaka imesagwa straight. Sasa yeye anasema usile vyakula vilivyokobolewa ndipo vikasagwa.Aisee..!
Basi watu tunapotoshwa sana Kiongozi..!
Familia yetu iliacha kutumia unga wa sembe muda mrefu sana na kuanza kutumia unga wa dona,hiyo ni baada ya kusikia kuwa unga wa dona ndio mzuri kiafya..!
Nimetafuna sana makaroti baada ya kuambiwa kuwa yanasaidia kutibu macho (me ni myopic)...
Nimetafuna sana michicha..!
Nimekula sana mlonge..!
Lakini kumbe hivyo vyote ni hatari kwa afya ya binadamu..!!!
MziziMkavu unga wa dona una shida gani aisee...
Maana nikiwaelekeza ndugu zangu tuache kuutumia inabidi niwe na maelezo yaliyonyooka..!
Nasikia hata ukigongwa na nyoka dawa yake nikunywa mkojo wa mtu mwingine. Hapana chezea Afrika na tiba mbadalaHiyo ya kunywa mkojo mimi hapana. Mwili ukishatoa kitu basi kimeshakuwa taka mwili.
Sasa kunywa tena mkojo ambao ulitolewa na mwili kama taka mwili ni wazi unaupa shida ya kuchataka tena taka badala ya virutubisho. Mimi nadhani mtu akifanya hivyo apate sasa vinywaji na vyakula vinavyorutubisha na kuimarisha mwili sio kuua.
Unajua wanasema mtego upo kwenye namna watu wanatafuta maarifa na kuyatumia. Huyu anaetoa elimu yupo sahihi kwa upande m'moja ila statement ya kusema usitumie ni statement ambayo inatumika vibaya sana.Kwani ukifanya simple chemical reaction ya acid+ base---- salt +water
Si tayari naharibu acid kwenye vyakula hivyo na kula chakula kikiwa salama?[emoji16][emoji16]
Coz swala la kuacha mtindi litaluwa ni gum
Kwahiyo sasa hivi umefanya utafiti au ni uleule ujinga wa kumuamini mtu?
Anachanganya ukweli na uongo kuleta confusion.Kwani utapeli wake nini