Dr Sebi Tells How He Cures A.I.D.S
THERE IS ONLY ONE DISEASE MUCUS.......
WHERE MUCUS IS THE HUMMAN BODY?
According to Dr. Sebi, there exist only one disease which is mucus. He contended mucus in skin, blood and lymphatic system and membranes causes many afflictions.
DR.SEBI ADVICE IF YOU WANT CURE REMOVE THIS:
Dr. Sebi warned “remove from your diet lactose, uric acid, carbonic acid, milk, starches and meat.”
He pointed out any patient who gets the above eliminated form his system begins to recover in 24 hours and by 2 weeks will be fully recovered.
Dr. Sebi speaks on there being only one disease
''THE IS ONLY ONE DISEASE MUCUS'' DR.SEBI
All manifestation of disease finds its genesis where and where the mucus membrane
has been compromises for example,if there is excess mucus in the broanchits tubes
the disease is bronchitis;if it is in the lungs the disease is pneumonia; in the pancreatic duct
it is diabetic;in the joints ,arthritis. More over mucus in the retina of the eye will cause
blindness;if it is found around the thyroid gland , cancer of the thyroid is the result.Basically,
disease will crise in the body wherever there's an accumulation of Mucus.
''MUCUS'' AKA UTE-UTE WA MAKAMASI NDIO CHANZO KIKUBWA CHA MARADHI YOTE MWILINI.UKIZIDI HUO UTEUTE MWILINI UNAPATWA NA MARADHI NA HUO UTE UTE WA MAKAMASI UNAZIDI KWA KULA VYAKULA VYA ASIDI TUJIHADHARI KWA KULA VYAKULA VYENYE ASIDI NYINGI MWILINI.
ALIYEGUNDUA DAWA YA UKIMWI: DOCTOR SEBI alichofanyiwa na ulimwengu unalia.
Dr Sebi:
Mucus is the cause of all disease.
This was the question posed to me in court, that why were we making these claims and why were we so successful and what was going on is that disease was never identified to us. If it was identified the question would not be asked now and then we all, all of us that are sick would be enjoying health.
Well, disease is the accumulation of mucus, breaking down the mucus membrane and that mucus covering groups of cells in your body, like for instance we have the mucus membrane in the body to protect us from the onslaught of bacteria as they are called, as they are called but this mucus membrane is for protection but now we eat acid foods and the acid foods break down the mucus membrane and thus cause it to flow with the blood covering other groups of cells now, cells that belongs to organs, depriving them of oxygen.
If the mucus goes to your nostrils they call it sinusitis, if the mucus goes to your bronchial tubes is bronchitis, if the mucus goes to the lungs is pneumonia.
They didn’t make any claims, they didn’t do anything, so naturally if one out of a flock of people that has not shown anything or stood up for their right if they had accomplished something. Well he was just part of the pack, and I wasn’t in disagreement with the attorney general because he did his job but it was his mistake by assuming that I was a part of the pack. I am not part of any pack, never has been, never could be
Download
720
AFYA NJEMA NI KITU MUHIMU SANA
Kuna mambo ninajifunza kulingana na mwenendo kwenye uzi huu:
1: Kuwepo watu wenye uelewa na kuutumia uelewa kwa kuaminisha zaidi ya uwezo wao.
Binadamu mara nyingi tunapenda kuonyesha uwezo tulionao, ila mara nyingi tunasahau kuwa na kiasi na kukubali pale uwezo wetu unapoishia. Hivyo wakati mwingine tunafikia kutoa taarifa ambazo haziwasaidii sana wenzetu bali kuwaweka kwenye mtanzuko zaidi.
Tutumie vyema maarifa tuliyonayo kwa umakini na kuwa na kiasi na ukweli ili kujenga afya njema ya kizazi chetu hiki na kijacho.
2: Kuwepo watu wasioelewa na wanafuata kila anachokisema mwenye uelewa.
Ni vyema kama ilivyo hapo juu, kuhakiki na kupata taarifa sahihi kabla ya kuanza utekelezaji wa chochote utakachokipata kwenye mtandao. Kwani wanaokitoa kwenye mtandao wanaweza kuwa na lengo hasi au chanya.
Hivyo, jihadhali ili usijikute kwenye mtanzuko zaidi pale unapotekeleza usiyokuwa na uhakika nao.
3: Watu kutokufahamu jinsi ya kupata taaarifa sahihi kila apatapo ujumbe juu ya chochote anachokipata kwenye mifumo ya habari.
Ni vyema kujiibidisha kutafuta taarifa sahihi kuhusu chochote unachokutana nacho. Hii inaweza kuganyika kwa wale ambao unaamini watakuwa na taariga sahihi na wenye nia njema.
4: Watu wengi kuwa kwenye mtanzuko wa uimara wa afya zao na kuhitaji majibu ya mkato.
Hii imepelekea watu kutimiza lolote linalopatikana kwenye mfumo wa habari na matokeo yake kuumia au kujijeruhi baadaye. Hivyo kuendelea kutangatanga leo, kesho na keshokutwa juu ya nini hasa akifanye kwaajili ya uzima wa afya yake.
5: Hakuna unachokihitaji bila mipaka
Kuna viinilishe vya mwili unahitaji kwaajili ya shughuli zako za mwili za kila siku na kujijenga. Hakuna ambacho hakihitaji kiasi, hivyo ni vyema kuzingatia kiasi kwa kuwaona wataalamu wa afya husika ili kukupa maelezo sahihi.
6: Matatizo ya mwili yana misingi tofauti
Ni vyema kuelewa kuwa msingi wa matatizo ya mwili ni:
A: Kukosa vitendea kazi/viinirishe
Hapa ni vyema kujua vyanzo sahihi cha viinirishe na kiasi cha kuchukua na kwa mwenendo upi.
B: Kuwepo na viinirishe zaidi
Jibu sahihi ni kujua ni kiaai gani cha viinirishe unatakiwa kuchukua na kwa mwenendo upi.
C: Madhara ya viambata vya viinirishe.
Si kila kilichoko kwenye mimea au wanyama tunakihitaji kwa kiasi kilichomo humo au mjumuisho wake, hivyo kuna ambavyo havihitajiki kuchukuliwa ndani ya viinirishe huaika. Hapa ndo kwa Afrika tumefeli kwa kutokuwekeza/kuamua kuwekeza kwenye sayansi ya mimea na tiba za kiafrika ili kutambua kinachohitajika, kisichohitajika, ufanyaji kazi wa kinachohitajika, kwa kiasi gani na kwa mwenendo upi.
Hapa maamuzi yanahitaji utayari, utashi mwema na resources kuwekwa.
D: Mabadiliko ya mwili kulingana na mazingira yanaouzunguka mwili, tunavyovifanya na tunavyokula.
Mwili huweza kubadilika mwenendi wake kutokana na jinsi yunavyohusiana na vile binabyotuzunguka na vinavyoingia ndani mwetu.
E: Maambukizi toka nje au ndani ya mwili yanayohusisha viumbe wengine.
Kuna matatizo ambayo msingi wake ni kama hapo juu. Kulingana na aina ya maambukizi mwili huweza kuhimili au kutokuhimili kulingana na uwezo wa kinga ya mwili na aina ya maambukizi.
F: Matatizo yanayotokana na fikra zetu
Kuna wakati tatizo la mtu ni kutokana na mwingiliano wa mazingira pamoja na utendaji wa ubongo. Baada ya hapo mwili mzima huweza kuitikia tatizo kwa hasi au chanya.
G: Kuna kuanza kwa tatizo hapo juu A mpaka F kwa kujitegemea na baadaye kuingiza mchanganyiko wa yote hapo juu.
Hivyo, kumkuta mtu ana mchanganyiko wa mambo mengi sana kuanzia A mpaka F.
Ili kutoa tiba mwagaka kwa kiumbe (myama au mmea)/tiba sahihi, ni vyema kuyafahamu fika hayo hapo juu kama baseline/mwongizo na uweze kujitahidi kuyachanganua unapokutana na mgonjwa.
Hivyo, tuliojaliwa kufumbuliwa kwenye ulimwengu wa tiba ni vyema kuzingatia hayo hapo juu wakati tunatoa huduma zetu. Tusisahau kuwa sisi bado ni binadamu, tuna kiasi na mipaka na wenzetu wanaimani nasi basi tusiitumue imani hiyo kwetu vibaya.
Kwa mtindo huo, dunia itakuwa sehemu salama sana.