Mwalimu wangu Master Herbalist Dr. Sebi akieleza namna ya ugonjwa wa UKIMWI unasababishwa na mucus au “ute”

Usifananishe Ng'ombe anayefugwa na Mmasai na Ng'ombe tunaokula sisi huku watu wa mijini kama wapo sawa Mkuu. Ng'ombe anaye kula Mmasai anakula nyasi orignall tofauti na ng'ombe tunaye kula sisi watu wa mjini wanakula nyasi aka majani yaliyotengenezwa na madawa ya kizungu ndio maana ukaona maradhi yapo mengi siku hizi.kila chakula tunachokula sisi watu wa mjini tunakula vyakula vyenye madawa ya suımu ya Maviwandani, matokeo yake Wanaume wengi hatuna nguvu za kiume maradhi yamekuwa siku hizi ni mengi. Kwa sisiWatu tunaoishi Mijini Tofauti na watu wanaoishi vijijini wanakula vyakula vya asili. Na hawapati maradhi ovyo ovyo.
 
Kwahiyo sasa hivi umefanya utafiti au ni uleule ujinga wa kumuamini mtu?
Nimeshafanya utafiti wa kumpa mtu mgonjwa wa ukimwi hakupona Huo Mlonge hautibu maradhi 300 kama wanavyosema watu wengine ni maneno ya uongo mtupu.Afadhali Mwarubaini ninaweza kukubaliana nao unatibu maradhi mengi kuliko Mti wa Mronge aka Mlonge moringa hautibu hayo maradhi waliyoyasema watu.
 
Ooooh!! Kwahiyo tafiti zako unazifanya direct kwa binadamu!! What if ikaleta madhara?
 
Ooooh!! Kwahiyo tafiti zako unazifanya direct kwa binadamu!! What if ikaleta madhara?
Hakuna madhara dawa za mitishamba kwani sio vidonge madhara yake ni madogo sana dawa za mitishamba kuliko madhara ya vidonge.
 
Hakuna madhara dawa za mitishamba kwani sio vidonge madhara yake ni madogo sana dawa za mitishamba kuliko madhara ya vidonge.
Mara "hakuna madhara" mara "madhara ni kidogo" tushike lipi?
Hayo "madhara kidogo" huwa unayaweka wazi kwa wagonjwa wako?
 
RIP Dr.Sebi anasema kuwa Mmea wa Moringa Aka Mlonge haufai kimatibabu kwa sababu Mlonge asili yake ni asidi na asidi ndio chanzo cha maradhi yote.
Hakusema Moringa haifai, ila inafaa kutumiwa yenyewe peke yake bila kuchanganywa na kitu kingine, hasa acidic foods kama karoti, spinach na maziwa. Moringa is a powerful wonder on its own.
 
Jamaa alikua anaenda kuheal the world wakamsepesha na yule msanii wa marekani nipsey hussle hata hakumaliza documentary ya Dr.sebi akasepeshwa,me ndio mana nasema haya magonjwa mengi yakutengeneza kuuza madawa yao!
 
AFYA NJEMA NI KITU MUHIMU SANA

Kuna mambo ninajifunza kulingana na mwenendo kwenye uzi huu:

1: Kuwepo watu wenye uelewa na kuutumia uelewa kwa kuaminisha zaidi ya uwezo wao.
Binadamu mara nyingi tunapenda kuonyesha uwezo tulionao, ila mara nyingi tunasahau kuwa na kiasi na kukubali pale uwezo wetu unapoishia. Hivyo wakati mwingine tunafikia kutoa taarifa ambazo haziwasaidii sana wenzetu bali kuwaweka kwenye mtanzuko zaidi.

Tutumie vyema maarifa tuliyonayo kwa umakini na kuwa na kiasi na ukweli ili kujenga afya njema ya kizazi chetu hiki na kijacho.

2: Kuwepo watu wasioelewa na wanafuata kila anachokisema mwenye uelewa.
Ni vyema kama ilivyo hapo juu, kuhakiki na kupata taarifa sahihi kabla ya kuanza utekelezaji wa chochote utakachokipata kwenye mtandao. Kwani wanaokitoa kwenye mtandao wanaweza kuwa na lengo hasi au chanya.

Hivyo, jihadhali ili usijikute kwenye mtanzuko zaidi pale unapotekeleza usiyokuwa na uhakika nao.

3: Watu kutokufahamu jinsi ya kupata taaarifa sahihi kila apatapo ujumbe juu ya chochote anachokipata kwenye mifumo ya habari.

Ni vyema kujiibidisha kutafuta taarifa sahihi kuhusu chochote unachokutana nacho. Hii inaweza kuganyika kwa wale ambao unaamini watakuwa na taariga sahihi na wenye nia njema.

4: Watu wengi kuwa kwenye mtanzuko wa uimara wa afya zao na kuhitaji majibu ya mkato.

Hii imepelekea watu kutimiza lolote linalopatikana kwenye mfumo wa habari na matokeo yake kuumia au kujijeruhi baadaye. Hivyo kuendelea kutangatanga leo, kesho na keshokutwa juu ya nini hasa akifanye kwaajili ya uzima wa afya yake.

5: Hakuna unachokihitaji bila mipaka

Kuna viinilishe vya mwili unahitaji kwaajili ya shughuli zako za mwili za kila siku na kujijenga. Hakuna ambacho hakihitaji kiasi, hivyo ni vyema kuzingatia kiasi kwa kuwaona wataalamu wa afya husika ili kukupa maelezo sahihi.

6: Matatizo ya mwili yana misingi tofauti

Ni vyema kuelewa kuwa msingi wa matatizo ya mwili ni:

A: Kukosa vitendea kazi/viinirishe
Hapa ni vyema kujua vyanzo sahihi cha viinirishe na kiasi cha kuchukua na kwa mwenendo upi.

B: Kuwepo na viinirishe zaidi
Jibu sahihi ni kujua ni kiaai gani cha viinirishe unatakiwa kuchukua na kwa mwenendo upi.

C: Madhara ya viambata vya viinirishe.
Si kila kilichoko kwenye mimea au wanyama tunakihitaji kwa kiasi kilichomo humo au mjumuisho wake, hivyo kuna ambavyo havihitajiki kuchukuliwa ndani ya viinirishe huaika. Hapa ndo kwa Afrika tumefeli kwa kutokuwekeza/kuamua kuwekeza kwenye sayansi ya mimea na tiba za kiafrika ili kutambua kinachohitajika, kisichohitajika, ufanyaji kazi wa kinachohitajika, kwa kiasi gani na kwa mwenendo upi.

Hapa maamuzi yanahitaji utayari, utashi mwema na resources kuwekwa.

D: Mabadiliko ya mwili kulingana na mazingira yanaouzunguka mwili, tunavyovifanya na tunavyokula.
Mwili huweza kubadilika mwenendi wake kutokana na jinsi yunavyohusiana na vile binabyotuzunguka na vinavyoingia ndani mwetu.

E: Maambukizi toka nje au ndani ya mwili yanayohusisha viumbe wengine.
Kuna matatizo ambayo msingi wake ni kama hapo juu. Kulingana na aina ya maambukizi mwili huweza kuhimili au kutokuhimili kulingana na uwezo wa kinga ya mwili na aina ya maambukizi.

F: Matatizo yanayotokana na fikra zetu
Kuna wakati tatizo la mtu ni kutokana na mwingiliano wa mazingira pamoja na utendaji wa ubongo. Baada ya hapo mwili mzima huweza kuitikia tatizo kwa hasi au chanya.

G: Kuna kuanza kwa tatizo hapo juu A mpaka F kwa kujitegemea na baadaye kuingiza mchanganyiko wa yote hapo juu.
Hivyo, kumkuta mtu ana mchanganyiko wa mambo mengi sana kuanzia A mpaka F.

Ili kutoa tiba mwagaka kwa kiumbe (myama au mmea)/tiba sahihi, ni vyema kuyafahamu fika hayo hapo juu kama baseline/mwongizo na uweze kujitahidi kuyachanganua unapokutana na mgonjwa.

Hivyo, tuliojaliwa kufumbuliwa kwenye ulimwengu wa tiba ni vyema kuzingatia hayo hapo juu wakati tunatoa huduma zetu. Tusisahau kuwa sisi bado ni binadamu, tuna kiasi na mipaka na wenzetu wanaimani nasi basi tusiitumue imani hiyo kwetu vibaya.

Kwa mtindo huo, dunia itakuwa sehemu salama sana.
 
My goodness. Mbona tafiti zako, sijui nitumie neno gani sahihi... Lakini tunaweza ziita za hovyo? Sio ubinadamu wala utu kutumia mwili wa binadamu mwenzako kama gunia la mazoezi. Na ningepata mashaka sana kama ungepata majibu kwa tafiti kama unavyofanya.
Njia sahihi ya kujua kama viambata vya mlonge kweli vina madhara kwa virusi wanaosababisha UKIMWI ilikuwa kwanza ni kuwa-isolate halafu uwape dose zenye concentration tofauti tofauti, ili uje na majibu sahihi.
Mtakuja kuua watu
 
Hakusema Moringa haifai, ila inafaa kutumiwa yenyewe peke yake bila kuchanganywa na kitu kingine, hasa acidic foods kama karoti, spinach na maziwa. Moringa is a powerful wonder on its own.

Dr Sebi on Moringa....​



Msikilize Dr.Sebi anavyosema kuhusu Mlonge haufai kutumiwa kama tiba. Kama unajuwa kiingereza sikiliza vizuri sana.
 
Hahahah hili hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…