Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu
"Wajumbe wameambiwa wakipiga kura waipige picha au waweke alama katika karatasi ya kura. Ni mbinu ya kuwabana wapiga kura wampigie mgombea fulani ili uwe ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye. Msimamizi wa Uchaguzi asiruhusu kura kupigwa picha na kuwekwa yeyote alama nyuma au mbele."
Huku Lema akiweka post jana akisema hilo halitaruhusiwa kufanyika.