Pre GE2025 Mwamakula: Wajumbe wameambiwa kuipiga picha au kuweke alama karatasi ya kura kama ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye

Pre GE2025 Mwamakula: Wajumbe wameambiwa kuipiga picha au kuweke alama karatasi ya kura kama ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna mawili... Chadema ikarudi stronger baada ya uchaguzi,au ikafa kibudu baada ya "uchafuzi"..
Mbowe alipaswa kutumia busara sana,madaraka yakamlevya!
As the two sides have failed to compromise....whatever the outcome, let the party go to hell once and for good !!
 
Wakuu,

Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).

Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!

=====

Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu

"Wajumbe wameambiwa wakipiga kura waipige picha au waweke alama katika karatasi ya kura. Ni mbinu ya kuwabana wapiga kura wampigie mgombea fulani ili uwe ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye. Msimamizi wa Uchaguzi asiruhusu kura kupigwa picha na kuwekwa yeyote alama nyuma au mbele."

Huku Lema akiweka post jana akisema hilo halitaruhusiwa kufanyika.

Wakiweka Tu viaalama tunahesabu zimeharibika
 
Kwani nani anajua hata uwepo wako ndugu. Ungefanya hivyo kimyakimya tu
Inakuuma nini wewe mpaka unifuate ilihali ukijua uwepo wangu hauna faida, kwa tarifa yako wewe huna uchungu wowote na Chadema

Wewe ndio wale maccm mnaoharibu Chadema kwa manufaa yenu na matumbo yenu
 
Back
Top Bottom