Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hivi ukiwa na akili timamu, hii post inaonesha kweli hilo unaposema? Kama una akili timamu lakini!Duh, timu ya Mama Abduli maposho wanachanganyikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukiwa na akili timamu, hii post inaonesha kweli hilo unaposema? Kama una akili timamu lakini!Duh, timu ya Mama Abduli maposho wanachanganyikiwa
Na wewe umeamini hayo maneno Mzee, uchaguzi huu kuna uzushi mwingi sana, ningependa kuona mabadiliko Chadema, ila watu walio nyuma ya Lisu wamekuwa wa mihemko sana, wamekuwa na watu wa maneno ya kuokoteza yasio hata na mashiko, sasa ninajiuliza kama Lisu akifanikiwa itakuwaje huko mbele, ama ndio Siasa za kwenye mitandao zitaanza rasmi?Inaumiza sana kuona leo ndani ya CHADEMA inatajwa rushwa.
Wanaweza wakapiga picha hiyo kura halafu waka forwadiana. Maana ukishapigakura nani ataku gurantee kulipwa hiyo hela. Baada ya kura kupigwa kila mtu atafute namna ya kuishi au kurdi alipotokaWakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu
"Wajumbe wameambiwa wakipiga kura waipige picha au waweke alama katika karatasi ya kura. Ni mbinu ya kuwabana wapiga kura wampigie mgombea fulani ili uwe ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye. Msimamizi wa Uchaguzi asiruhusu kura kupigwa picha na kuwekwa yeyote alama nyuma au mbele."
Huku Lema akiweka post jana akisema hilo halitaruhusiwa kufanyika.
Kwani nani anajua hata uwepo wako ndugu. Ungefanya hivyo kimyakimya tuNasubiri kutangazwa kwa mshindi huku nikipiga jaramba la hatari mno la kujiondoa Chadema maisha yangu yote ikiwa tu Lissu hatokuwa Mwenyekiti
Kudhibiti rushwa kazi sana. Inahitaji utashi wa wajumbe tu.Duh, timu ya Mama Abduli maposho wanachanganyikiwa
kwani hawa jamaa si walisema wajumbe wachukue pesa ila kura wampigie kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi?Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu
"Wajumbe wameambiwa wakipiga kura waipige picha au waweke alama katika karatasi ya kura. Ni mbinu ya kuwabana wapiga kura wampigie mgombea fulani ili uwe ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye. Msimamizi wa Uchaguzi asiruhusu kura kupigwa picha na kuwekwa yeyote alama nyuma au mbele."
Huku Lema akiweka post jana akisema hilo halitaruhusiwa kufanyika.
HakikaRushwa haiendagi kwa namna hii....
Wanawezaje kutapeliwa kirahisi hivyo? Kama ndivyo watakuwa hawana akili kwa 100%...
Hakuna mjumbe mwenye akili sawasawa atakayefanya hivyo kwa utapeli uliowazi na mchana kweupe....
Watampa jamaa, wakimaliza ndiyo imetoka hiyo na hakuna atakayepata chochote ukiachilia hicho walichopata (kama kweli wamehongwa...)
Kwa kifupi ndo watakuwa wamechijiliwa baharini na jamaa atakuwa tayari ni mwenyekiti. Watamfanyeje..?
No way. Watakuwa wamepoteza vyote...
1. Trust kwa wanachama na wapenzi na mashabiki wao..
2. Pesa wanazofikiri wangetajirika kwa pesa za Mbowe...
3. Fursa ya kufanya mabadiliko ndani ya chama ambayo wanachama wao wanayataka..
In short, kwa maamuzi yao yanayoongozwa na tamaa ya fedha ya rushwa, yatagharimu furaha na amani yao the rest of their lives...
Mungu awasaidie na kuwarehemu...
Mungu wa mbinguni ktk Yesu Kristo awape akili na neema ya kufanya maamuzi sahihi yanayoongozwa na dhamiri zao safi...
Mtu anayetafuta uongozi kwa njia ya rushwa, huyo hatokani na Mungu wa mbinguni. Huyo baba yake ni Ibilisi shetani. Mkataeni, mwogopeni sana...
Kila mjumbe ana uhuru wa kupiga kura yake kwa mgombea anayemuona yeye anafaa; ni zaidi ya uwendawazimu kwa hao mashabiki wa Lissu kudhani wana mamaka ya kumshinikiza mjumbe ampigie kura mgombea wao.Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu
"Wajumbe wameambiwa wakipiga kura waipige picha au waweke alama katika karatasi ya kura. Ni mbinu ya kuwabana wapiga kura wampigie mgombea fulani ili uwe ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye. Msimamizi wa Uchaguzi asiruhusu kura kupigwa picha na kuwekwa yeyote alama nyuma au mbele."
Huku Lema akiweka post jana akisema hilo halitaruhusiwa kufanyika.
Watu wa Lisu hawatumii fedha kulaghai wajumbe hivyo sharti watumie nguvu ya kuzuia rushwa ili mshindi apatikane kihalaliSijui ni Mimi tu, lakini mbona naona kama watu wa lissu ndo wanahangaika kuliko kawaida?!! Kila jambo wanalizua wao.
Wa Tundu Lissu hawahangaikI bali wanafyatua au kutegua hadharani mchana kweupe kwa sauti na kelele kubwa kila kombora linalotegwa na watu wa Mbowe huko sirini, gizani au mafichonI...Sijui ni Mimi tu, lakini mbona naona kama watu wa lissu ndo wanahangaika kuliko kawaida?!! Kila jambo wanalizua wao.
Ok, muda si mrefu tutaliona hilo Giza.....Wa Tundu Lissu hawahangaikI bali wanafyatua au kutegua hadharani mchana kweupe kwa sauti na kelele kubwa kila kombora linalotegwa na watu wa Mbowe huko sirini, gizani au mafichonI...
Wa Freeman mbowe wanafanyia mambo yao gizani kwa sababu si ya haki, si halali, ni ya uovu na ya kishetani...!
Ushetani hautaishinda HAKI...
Giza haliwezi kuishinda NURU....
Tundu Lissu ni NURU. Freeman Mbowe ni GIZA tupu....
Freeman Mbowe alikuwa mwana wa Nuru lakini shetani (CCM) kamdanganya na kuwa mwana wa Giza kuu...!;
Sana, anajulia kweli kweli kuwapeleka hawa washambaMbowe mjanja sana.
TISS ndo ninTISS wako kazini!
Chadema wamewavunja moyo na kuwakatisha tamaa wapenda mabadiliko.Basi hiki chama hakifai, zimwi likujualo halikuli likakwisha. Nabaki na CCM yangu.
kuna wimbo ulitungwa kuhusu wajumbe eti walidhani watajenga kwa ujumbe wao, wajumbe kweli ni****Wajumbe kama wajumbe.... hakika adui yako muombee njaA