Pre GE2025 Mwamakula: Wajumbe wameambiwa kuipiga picha au kuweke alama karatasi ya kura kama ushahidi wa kuongezewa pesa baadaye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inaumiza sana kuona leo ndani ya CHADEMA inatajwa rushwa.
Na wewe umeamini hayo maneno Mzee, uchaguzi huu kuna uzushi mwingi sana, ningependa kuona mabadiliko Chadema, ila watu walio nyuma ya Lisu wamekuwa wa mihemko sana, wamekuwa na watu wa maneno ya kuokoteza yasio hata na mashiko, sasa ninajiuliza kama Lisu akifanikiwa itakuwaje huko mbele, ama ndio Siasa za kwenye mitandao zitaanza rasmi?
Ili asonge mbele, Lisu anatakiwa akae na watu wake, kumekuwa na wasemaji wengi sana, Taasisi haiwezi kwenda hivyo bila nidhamu, watasumbuana huko mbeleni.
 
Wanaweza wakapiga picha hiyo kura halafu waka forwadiana. Maana ukishapigakura nani ataku gurantee kulipwa hiyo hela. Baada ya kura kupigwa kila mtu atafute namna ya kuishi au kurdi alipotoka
 
Nasubiri kutangazwa kwa mshindi huku nikipiga jaramba la hatari mno la kujiondoa Chadema maisha yangu yote ikiwa tu Lissu hatokuwa Mwenyekiti
Kwani nani anajua hata uwepo wako ndugu. Ungefanya hivyo kimyakimya tu
 
kwani hawa jamaa si walisema wajumbe wachukue pesa ila kura wampigie kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi?

nini kimebadilika ghafla tena?🤣
 
Hakika
 
Kila mjumbe ana uhuru wa kupiga kura yake kwa mgombea anayemuona yeye anafaa; ni zaidi ya uwendawazimu kwa hao mashabiki wa Lissu kudhani wana mamaka ya kumshinikiza mjumbe ampigie kura mgombea wao.

Mwamakula unajiaibisha.

Lissu wako atashindwa vibaya.
 
Sijui ni Mimi tu, lakini mbona naona kama watu wa lissu ndo wanahangaika kuliko kawaida?!! Kila jambo wanalizua wao.
Wa Tundu Lissu hawahangaikI bali wanafyatua au kutegua hadharani mchana kweupe kwa sauti na kelele kubwa kila kombora linalotegwa na watu wa Mbowe huko sirini, gizani au mafichonI...

Wa Freeman mbowe wanafanyia mambo yao gizani kwa sababu si ya haki, si halali, ni ya uovu na ya kishetani...!

Ushetani hautaishinda HAKI...

Giza haliwezi kuishinda NURU....

Tundu Lissu ni NURU. Freeman Mbowe ni GIZA tupu....

Freeman Mbowe alikuwa mwana wa Nuru lakini shetani (CCM) kamdanganya na kuwa mwana wa Giza kuu...!;
 
Ok, muda si mrefu tutaliona hilo Giza.....
Yaani lissu awe mtu wa haki, tangu lini?!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…