Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #121
Sina mdogo wa kike, angenipa kazi sana ya kumchunga chunga asiwe na hizi harakati za kipimbiEvelyn Salt
ππππ wadogo zako wa kike wana kitu cha kujifunza. Ila mwamba kama alikuwa anajua ni urafiki tu kwa nini awe na wivu? Alishindwa hata kuwanyoosha wote wawiliπ€
Mimi sijamsumbua mtu hata π€£π€£π€£π€£Yaaji Eve uwasumbue wazazi halafu wewe uenjoy malezi, haipo hiyo. Hata mimi nasubiri kukinywea kikombe changu hapaπ€£π€£π€£
Baba alishapass away zamani sanaBaba alisemaje au alifanyaje?
Mbappe ndio nani?We sasaivi mbappe akikutongoza utamchomolea? Kama ni ndio niite KIDUME20 nimekaa pale π
Yaani walizaliwa wakalelewa vizuri, wakawa wanaenda madrasa na wengine mafundisho ya ubatizo wakasoma wakafaulu, wakapata kazi tayari na kuoa na kuolewa π€£π€£ watakatifu wote pita huku πWanajifanya wasafi maanina [emoji706]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe mambo ya cha mtu hakiliwi bure ni ya tokea zamani [emoji23]
Nikadhani ni ya hawa watoto wa Pharao zama hizi. Ukila buku yake anataka akuguse nyonyo
Khaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh kwa alivokuja na timbwili na kutujazia watu kurudisha ilikua bora aseee tena wenyewe ndio tunavifata ndani akisema tu leteee hao kuleta chap[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnanuchekeshaaaa.Aibu muhimu
Labda majirani wa zamani hawakuwa wanaa kama wa enzi hizi.
Ila kwa baba angu nifanye hicho kitu nitachapwa nizimie.
Nakumbuka adv
palikuwa na trip ya shule, na class yetu tukapanga trip kwa ile tarehe.
Home nikaenda kudanganya ni ile trip ya shule, nikapewa hela.
Mimi nikaenda trip ya darasa,, imefika saa 1 sijafika nyumbani sababu ya foleni za Dar.
Mshua kapiga simu shule [emoji23]
Aloo kuangaliwa jina hata kwa trip ya shule sikuwepo.
Mshua akanikaanga
Nikarudi home nikaipata fresh
Na kesho shule nikakipata cha moto βmishule ya jeshi tena inavyokuwaga na fimbo zao spesho zimekaushwa [emoji1787]
Aisee nilikula mboko
Naulizwa nilikokuwa nakosa majibu βhapo sitaki kulichoma darasa maana ni wangetandikwa wotee.
Naulizwa ulikuwa kwa mwanaume? Nasema hapana madam me hata sijawahi hata ukinikagua [emoji23][emoji23]
Sasa kwanini haukuwepo nyumbani na trip hukuwepo!?
Maswali yanasindikizwa na viboko.
Nilikoma sanaa
Tena wengine ndani Kuna baba na mama ila washenzii balaaaUjana una harakati zake acheni unafiki [emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1]jf Kila mtu malaika dadaaYani walizaliwa wakalelewa vizuri, wakawa wanaenda madrasa na wengine mafundisho ya ubatizo wakasoma wakafaulu, wakapata kazi tayari na kuoa na kuolewa [emoji1787][emoji1787] watakatifu wote pita huku [emoji16]
Hongera zao mi Kwakweli nlikua na vitu vingi, kuna kipindi nlikua navutiwa na harufu za sigara sivuti ila nanunua naweka kwenye bag la shule basi begi madaftari vinanuka sigara tu nainjoi hadi basi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1]jf Kila mtu malaika dadaa
Yani ile foolish age ikupite hivi hivi umenyooka kama tula π€£π€£π€£ mi ilinipita na kimbunga πππTena wengine ndani Kuna baba na mama ila washenzii balaaa
...baada ya hapo kwakweli ilikua aibu sana unatembea unajihisi kusemwa semwa tu yani ukipita watu wamekaa zao najihisi wanatusema[emoji23]kah kama nawaona mnavyobebelea vitu kupeleka nnje
πππππππKweli kabisa zamani unaweza kula hela na mwanaume akakupa ma good times ya kutosha na asikukule kabisa. Siku hizi mpaka umekula kilo yake ya kitimoto na savana moja jua shughuli ipo.
Siku hizi tuna vijana wa hovyo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa stori ya Mleta mada huenda alipata kulelewa kwa sehemu Kubwa na Mama peke yake (Pengine Baba alikuwa mbali kikazi/Walitengana na Mama/Alitangulia mbele ya haki).Duh, mliwatia aibu wazazi aisee, maza alificha wapi uso wake kwa majirani?
Ila malezi ni kitu kigumu sana...
Ulipotaja ilemela tu, umenikumbusha Dinah wangu na dimples zake. Alaaniwe sana wakati ule simu hakuna anakupa appointment mkutane mahali halafu hatokei.