Mwamba alietunyoosha huyu hapa

Kwa sauti kubwa ya chawa wa sponsor " RUDISHENI NA CHUPI HIZO[emoji3][emoji3][emoji3]"
 
Upo sahihi kabisa mkuu!!
 
Yani ile foolish age ikupite hivi hivi umenyooka kama tula [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi ilinipita na kimbunga [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna ilompita na kama yupo baasi ukubwani aliruka steji Sasa hivi anasumbua aliko
 
Hongera zao mi Kwakweli nlikua na vitu vingi, kuna kipindi nlikua navutiwa na harufu za sigara sivuti ila nanunua naweka kwenye bag la shule basi begi madaftari vinanuka sigara tu nainjoi hadi basi
Std 6 mwananyamala Mimi,tatu,Khadija,Kilio,Amina na wakala wawili Adam makupelepele na mmanga wakapanga tukafundishwe kuvuta bangi ,tukapamga fresh kabisa ,1999 hyoooo....baasii SIKU imefika saa Moja jioni tukutane pale kibarazani kwetu twende bondeni Kule Kwa karibu na kwenye chemchem tukafundishwe mda umefika,tushatoka tunamsubiri Mmanga, ghafla dingi kaniita"We Rey Rey Rey"hapo ndo anarudi job,nkaitika ,familia ilikua imeenda bush tumebaki Mimi na baba tu, akanambia ninyoshee nguo afu uanze kupika ,wakaondoka nilimind mnoo,walivyorudi kesho yake wakanitenga rasmi wakasema Mimi Mtoto wa baba ntawaharibia ishu Yao hvyo wakanikata rasmi ktk crew Yao
Alhamdu lillahi Nashukuru Kuna walioshia kua mateja , tatu hakumaliza la saba ,std seven nkahama mwananyamala nkahamia Kinondoni,Kule Ada estate isingekua hvyo nisingesoma mimi mwenzenu
Mungu ambariki baba angu Kwa ukali ulinisaidia mnoo sijui ningekuaje mwenzenu
 
Uko sahihi malezi ni changamoto hasta yakiwa upande mmoj broohh
Tuombe Mungu sana
 
Hiyo crew hatari la nne 🤣🤣🤣 dah
Hongera kwa kuchomoka kule
 
Mhuhu...dada mkubwa kweli kweli...hongera kwa kukwepa Kua Teja.
 
Hiyo crew hatari la nne [emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
Hongera kwa kuchomoka kule
Std 6 hyo balaa watoto wa mwananyamala wasikie TU Kule uswazi nuksiii,yaani wamepinda, asikuambie mtu Kule enzi hizo roba za mbao kama zote baba alihama alismea alhamdu lillahi Kwa kweli ukali wa dingi ulichangia sana
Malezi ya uswazi Ni mtihani mnoo,asikuambie mtu,Mimi nasema mtoto wa manzese, mburahati, mwananyamala na kigogo akimaliza form four TU bila mambo shukuru usiangalie kafaulu au kafeli
Usiku siku Moja tumeenda Banda la video ,pale kwenye Banda la video kuanzia saa nne wanaonesha picha za EX Sasa baasi nimetoroka chumbani kwangu mmeenda na crew yetu kuangalia ghafla mdingi kumbe kaja room kwangu kaita hakuskia jibu akaambiwa kaenda video weee,kaja kuniita nkaitika natoka pale mlangoni Banda la video akarusha ngumi nikaiona nkaikwepa bwana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]akapiga kwenye mabati
Wee kufika home nkafunga mlango sijafungua mpk asubuhi mbio shule
Walikua wananiita mtoto wa baba wakanikataa kabisa ushoga
 
Mhuhu...dada mkubwa kweli kweli...hongera kwa kukwepa Kua Teja.
[emoji38][emoji38][emoji1][emoji38]ahsante mi mkubwa atii.... nashukuru ukali wa Mzee ulisaidia mnoo ktk malezi nadhani ndo amefanya na Mimi niwe mkali ktk malezi pia nimegundua Mtoto sio wa kukupotea masaa mawili machoni yaaniii ukiwa mzazi make sure Mtoto unajua alipo
Sisi dingi madrasa,shule ,nyumbani hizo harakati akiwa hayupo akirudi wote ndani mpk kesho akienda kazini ndo mnakua huru
 
Sure..though hayo malezi yanaitwa old model
 
Uko sahihi malezi ni changamoto hasta yakiwa upande mmoj broohh
Tuombe Mungu sana
Labda itokee Kifo tu lakini otherwise ni muhimu Sana Mtoto alelewe na Wazazi wote wawili.

Na lingine muhimu ni kuwa inapotokea Mtoto amekosea mbele yako Mama, kama una nafasi muadhibu hapo hapo usiseme kwa Mtoto eti Subiria Baba yako arudi akuchape.

Hii humfanya mtoto aanze kukudharau Mama na kumuogopa na kumheshimu Baba peke yake. Kwenye haya maisha Kuna Leo na kesho, Sisi wa Baba hatuchelewi kufa (Angalia ratios za vifo Kati ya Me/Ke)

Hao watoto unao walea kwa namna hiyo watakuja kukusumbua iwapo Baba akitangulia Mbele za haki.

Mungu atusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…