Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

Huyu mwamba anatuletea story za kijiweni
 
Uongo namba 1. Hakuna uhuasiano wa group la damu na paternity. Mtoto anaweza kuwa group tofauti kabisa, tena lisilofanana na baba wala mama yake. Uthibitisho wa parenthood ni DNA na haina uhusiano wakati wa kuongezewa damu. Mtu yeyote mwenye damu group moja anaweza kumwongezea damu mtu yeyote, haihitaji undugu.

Mnapotoa damu hospitali mnafanya tu replacement, wala hawahitaji kujua una group gani, hospitali tayari zinakuwa na blood bank zimetayarishwa kwa ajili ya kuwasadia wenye uhitaji. Ndugu mnapoombwa damu lengo ni kuhakikisha hospitali haiishiwi damu, hawaangalii group la damu bali usafi wa damu. Damu safi tu (yaani haina maambukizi mfano VVU, virusi vya homa ya ini nk) huhifadhiwa kwa matumizi.

Uongo namba 2. It is technically impossible mtu kujitwanga risasi 5 kichwani.

Humu ndani kuna watu wanatunga story za kijinga sana.
 
Mleta mada ni kilaza kama panda, sio lazima dam ya baba ifanane na ya mtoto
 
acha kutunga fix wewe hujui hata mambo ya hospitali, mtu na babake wanaweza kabisa kuwa na damu group tofauti, sio lazima yafanane and still ni biological father wake, ulivyo na fix hujajua kinachoonesha baba halali ni vipimo vya kinasaba (DNA)
Halafu ulivyo na fix mtu atajipigaje risasi tano!? 😂
ninyi la saba mlomaliza shule mnasumbua
 
Sio kweli, mtoto anaweza kuwa na kundi tofauti la damu na baba yake. Mfano mzuri binti yangu baba yake ni group A lakini yeye ni group O ambalo ni langu mimi mama yake so siku wakipima watakuwa na makundi tofauti ya damu.
Kinachopima uhalali wa mtoto ni DNA na sio group la damu.
 
Hii chai ya kijiweni kama chai zingine. Group la damu halina uhusinao wewe kuwa baba wa mtoto. Mtoto aaweza kuchukua group la mama au la baba au asiwe na group la yeyote kati ya baba na mama.



 
Hii chai ya kijiweni kama chai zingine. Group la damu halina uhusinao wewe kuwa baba wa mtoto. Mtoto aaweza kuchukua group la mama au la baba au asiwe na group la yeyote kati ya baba na mama.
Hadithi njooo,uongo njoo utamu kolea
 
Hahhh hii chai risasi Tano kichwan🤔 Yani risasi Moja tu hata kuishika hyo bastola hutoweza
 
Risasi tano kichwani.. huyo alikuwa Ni zombi au MTU WA kawaida according to your story?..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alikuwa anakichwa kimeundwa na zege risasi tano kichwani noma sana
 
RRi
Risasi.tano kichwani mkuu Yani kajipiga ya kwanza ya pili ya tatu na Bado ubongo una activate? Mh

Lakini ahsante kwa kuwa kumbusha wazee wa gym
 
hii ni uongo umeona kwenye filamu za kinaigeria
 
Ukitaka tuiamini simulizi yako hii tupe kwanza ufafanuzi wa kina hapo kwenye kupima damu.

Mi najua masuala ya uongezwaji wa damu, hupimwa blood group, wingi wa damu pamoja na magonjwa.

Ilikuwaje yeye kuonekana damu yake haifai kuongezea wanaye, alikuwa na matatizo gani?

Au ulimaanisha Dna na si kundi la damu?

Na kama ni kundi la damu, kwani mzazi wa kiume lazima afanane kundi la damu na wanaye wote?

Uache mbambamba jibu kwanza hayo maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…