Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

Duh pole yake aisee
 
japokuwa na wew umetupiga ni lazima damu iendane group na kama haiendani basi mtoaji damu awe na GROP O
Taratibu za kumtolea mgonjwa damu unazifahamu? Kama damu zipo kwenye benki, huwezi kumsubirisha mgonjwa ambaye anakaribia kufa kuwa lazima apate wa kumtolea.

Atawekewa sawa na kundi lake kisha wahusika watafidia.

Mimi ni Daktari, nina ufahamu mara mia zaidi yako.
 
 

Attachments

  • images (51).jpeg
    14.3 KB · Views: 2
Tunajuaje km alichague ipige mfululizo?
Si tushukuru kafa yeye mwenyewe angetoka na huo upuuzi wake kichwani angeua wangapi,
Kwanza unajiuaje kwa ajili ya mwanamke?
Mwanamke wa kumpenda sana ni Mama yako tu.

Tunajuaje kama hakufunga usalama?

Tofauti na kuepuka mateso ya ugonjwa mkali, hakuna sababu yoyote nyingine ya kujitoa uhai.

Mwanamke wa kumpenda zaidi ni mama ila sio mama pekee. Tupo wengine ambao ni living examples wa faida ya kuwa na mwanamke mwenye upendo.
 
Unapotoa damu haimaanishi ndio inapelekwa kwa mgonjwa wako, ile inaenda kutunzwa kwa ajili ya wengine.

Lengo ni kuwa kwa kuwa mgonjwa wako amepata damu iliyochangiwa na wengine basi na wewe yakupasa kuchangia wengine.
 
Sijui kama kuna ulazima magroup ya damu baba na mtoto yafanane,sio kweli.
 
Wapo,
Ila ni wachache sana,alafu sio sababu ya kujitoa Uhai au kutoa uhai wa mwanamke au huyo hawara wake.
Mi toka niligundua ugali ni mtamu sana na maharage yaani wanawake nawaona km binamu zangu tu.
Anaweza kulala hapo uchi niko hapo pembeni akakumbatiwa vizuri tu na asubuhi ikafika salama tu.
Nyege za hovyo zinaponza.
 
doctor hivi wanaume wawili wakifanya tendo la ndoa na mwanamke mmoja kwa wakati mmoja... Mtoto akizaliwa anakuwa na DNA Za baba wote au?
 
Hiki kisa kinanifanya nizidi kupata wasiwasi, sisi vijana wa sasa tuna bahati mbaya sana, sizan kama tutaoa aisee...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…